MAKALA EP1 : SITI BINTI SAAD (The Mother of Taarab)
Вставка
- Опубліковано 18 вер 2024
- #taarab #sitibintisaad #themotheroftaarab
Pata kufahamu zaidi kumhusu malkia na mwanzilishi wa muziki wa Taarab duniani. Pia muimbaji wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuweza kurekodi muziki katika santuri (CD). Si mwengine, muite 'Mtumwa' almaarufu 'Siti binti Saad'.
Ifahamike kuwa sina umiliki wowote wa nyimbo zilizotumika katika makala haya. Nyimbo zilizotumika humu ni kama zifuatazo:
1. Muhogo wa Jang'ombe by Nadi Ikhwan Safaa & Siti binti Saad.
2. Mpenzi Rejea by Siti binti Saad
3. Kijiti by Bi. Kidude
4. Njia Ungurusumbwe by Siti binti Saad
MAKALA HAYA HAYAKUNUIWA KUMKWAZA MTU YEYOTE. ENDAPO MTU YEYOTE ATAKWAZIKA BASI NAOMBA ANIWIE RADHI KWANI SIO KUSUDIO LANGU KUMKWAZA MTU YEYOTE.
Shukurani zangu za dhati ziwafikie wahusika wafuatao kwa kufanikisha makala haya:
• Stesheni ya 103.9 MMUST FM, Kenya
• Shaaban Robert (mwandishi wa kitabu cha 'Wasifu wa Siti binti Saad')
• Kampuni ya DW kupitia Google photos
• Naima Mohammed (Mtangazaji, 104.6 DST FM, Tanzania)
• Saada Ramadhan, mdau wa taarab, Tanzania
• Kampuni ya PC Shot kwa uelekezi
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE BUTTON.
Sikiliza wimbo wangu mpya, VIBAYA, kupitia mtandao wa Boomplay - www.boomplay.c...
Follow me:
Instagram - / princecloudydesultan_
Facebook - / princecloudydesultan
Twitter - / princecloudy254
FOR BOOKINGS:
bookprincecloudy@gmail.com
+254727082864 / +254750558420
Channel administered by Zojak Worldwide on behalf of Dapstrem Entertainment - Prince Cloudy de Sultan
All rights reserved. ©2022
Wow! 🎉
🙏🙏
Kazi safi nimependa hio story
Shukran 🙏❣️
Habari nzuri na ya kufaa. Nilisoma habari zake nikiwa shuleni kupitia kitabu cha Shaaban hapa Kenya.
Asante sanaa
Mm nimependa sana msimuliaji sioni kama Kuna ubaya kumfahamu❤
😅😅😅🙌
Nmeipenda sanaa hii storia❤❤❤💋
Asante 🙏❤️
Lete zengine Yani kambae naangalia movie kabisa aisee sure umeua sana
Soon 😊
Nime penda hii storyline,, sasa ndo najua mziki wa taarab,,ilipoanzia..
Asante kwa kufuatilia. 🙏🙏
Watu wa zamani Yani walikuwa na sura zao za kizamani tayari 😂😂😂 daa sema nini simulizi nzuri sana kaka
😅😅 asante
Talented bro🤗🤗💯💯💯💯so creative
Thank you 🙏❤️
What an interesting feature! She was a great woman and her story of progress is remarkable.
Indeed. Thank you for following. ❤️
Na Yule
Asia kind hatar tuletee historia yake
Alright
Alicha wa toto wangapi na wapo wapi
Mmoja na keshafariki na ni baba wa marehem Haji wa melody