Mchungaji Anaetumia Nguvu Za Giza KUFANYA Miujiza. UTASHANGAZWA NA YANAYOTOKEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 78

  • @SammuelNiyibizi
    @SammuelNiyibizi Місяць тому +3

    Asante saana muchaguliwa wa Bwana,tuwe macho Siku hizi ni za hatari.

  • @JaibiFujita
    @JaibiFujita 6 днів тому

    Wanapenda sana miujiza jopo mungu haipokei miujiza ilee

  • @ProsperChristopher-j3g
    @ProsperChristopher-j3g Місяць тому +6

    Sahihi dada yangu makanisa ya Leo hayana roho na kweli 😢😢 MUNGU atusaidie kwahili maana yaliyotabiriwa Sasa yanatimia manabii watakuwa wengi ila siku ya mwisho itajulikana 🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @NuhuBilia
    @NuhuBilia 13 днів тому +1

    Watu wa mungu tuwe macho katika nyakati hizi za mwisho yesu anakuja nabii wa uongo wameongezeka

  • @LucasMathias-i9x
    @LucasMathias-i9x 7 днів тому

    Umeeleza story yako vzr, je imetokea nchi gan na sehemu gani. Mbna hivyo hujasimulia

  • @SamwelKatanzi
    @SamwelKatanzi Місяць тому +3

    Mjue Sana Yesu atakuokoa na nyakati hizi za Hatari, Jenga Imani yako Kwa Mungu usi waamini Wanadamu ,Manabii wa uwongo ni wengisana yote haya ni dalili za Mwana wa Adamu kuja kulichukuwa kanisa ,Wateule tuwe macho Yesu yupo Karibu kurudi.

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 2 місяці тому +29

    Hii nayo nafikiri ni namna nzuri ya kuhubiri umefanya vizuri sana ila caption za picture usiweke ambazo hazina utukufu kwa Mungu mfano unaonyesha mdada matiti yapo nusu yanaonekana pia wamejipamba kitu ambacho ni kinyume na mafundisho ya biblia. MUNGU akubariki tumia jukwaa hili kufundisha kwa njia ya simulizi kukemea dhambi

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 2 місяці тому +2

    Kaz nzuri kipenz chukuwa mauwa yako 🎉🎉❤❤

  • @NGIKAMASHIGULU
    @NGIKAMASHIGULU Місяць тому +2

    Uko sawa dd

  • @NalparakuoAnn
    @NalparakuoAnn 12 днів тому

    GOD BLESS U

  • @mtakimasinde6116
    @mtakimasinde6116 Місяць тому +3

    Daah umetisha sana dada 😀👌💯

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv Місяць тому +3

    Watu wengi wanapenda sana miujiz ambao hawajui inatoka wapi

  • @HanspopeIsmail
    @HanspopeIsmail Місяць тому

    kondoo wa Yesu tuwe macho siku hizi za mwisho kujiadhari na manabii wa uongo.MUNGU atusaidie🙏🙏

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Місяць тому +3

    Wakristo wanapenda sana miujiza ili waweze kukuamini ndiyo sababu wachungaji wengi ni wachawi

  • @MartaFrancisco-i7b
    @MartaFrancisco-i7b 2 місяці тому +1

    Kanzi nzuri sana! Mungu akubariki sana

  • @IbrahimOtieno-n3k
    @IbrahimOtieno-n3k Місяць тому

    Ongera sana❤

  • @PastorErickjmi
    @PastorErickjmi Місяць тому +3

    Mungu akubariki sana wewe ni Wasamani

  • @YohanaKabaraza
    @YohanaKabaraza Місяць тому

    Ubarikiwe story nzutvsana

  • @JoyCute-mz5so
    @JoyCute-mz5so Місяць тому

    Wanawake ndio wengi😂😂

  • @aboobakari9902
    @aboobakari9902 2 місяці тому +6

    Wakwnzo leo like zenu❤❤❤❤❤❤

  • @MarthaNdekile
    @MarthaNdekile 2 місяці тому

    Nzur Sana ❤ barikiwa

  • @AnnMartha-wk8ry
    @AnnMartha-wk8ry Місяць тому

    Movie kali sana ❤❤

  • @JoyCute-mz5so
    @JoyCute-mz5so Місяць тому

    Mwisho WA Duniani

  • @JosephMaico-f7t
    @JosephMaico-f7t Місяць тому

    Mungu wetu àtusaidie dhidi yà haya

  • @IchakaiKane
    @IchakaiKane Місяць тому

    Asante sana

  • @DanAbakutu
    @DanAbakutu Місяць тому +2

    Kweli kabisa

  • @KushcofWanjohi
    @KushcofWanjohi Місяць тому

    am watching

  • @DominicaUggy-em8vc
    @DominicaUggy-em8vc 2 місяці тому

    Kazi nzuri dada

  • @FideleJakisa
    @FideleJakisa Місяць тому

    Léo Watu wengi wanapenda niujiza na uponaji,utajiri,ndoa

  • @ngwilaemmanuel
    @ngwilaemmanuel Місяць тому

    🎉 nice my dear

  • @MutendelaDaniel
    @MutendelaDaniel 2 місяці тому

    Asante nawewe pia

  • @TupokigweNdidi
    @TupokigweNdidi 2 місяці тому +1

    Ni keeling best

  • @JumaaKibungo
    @JumaaKibungo Місяць тому

    Story nzur sana iIa tuongezee saut uko kwako

  • @InnocentMusamari
    @InnocentMusamari Місяць тому

    Uislam ni dini ya kimajini

  • @manasendubula-zn8fl
    @manasendubula-zn8fl 2 місяці тому +2

    Mauaji ya kiroho kimya kimya😢

  • @ZuhurahLennah
    @ZuhurahLennah Місяць тому

    Tumuabud mung wet katka roho na kweli

  • @CHARLESBONIPHASS
    @CHARLESBONIPHASS Місяць тому

    Kusoma neno la MUNGU lijae ndani yetu

  • @GladysAkuku
    @GladysAkuku 4 дні тому

    Bora watu hupona, kwa mifano umeomba mungu kwamda mrefu yet nothing charged what would u do

  • @NGIKAMASHIGULU
    @NGIKAMASHIGULU Місяць тому +1

  • @GladysAkuku
    @GladysAkuku 4 дні тому

    I can't blame pastors is god that I blame

  • @Kennedyodhiambo-v4y
    @Kennedyodhiambo-v4y Місяць тому

    Wenzangu tudhihathari na makanisa mengine

  • @GeraldMbaga-u6e
    @GeraldMbaga-u6e Місяць тому +1

    sana

  • @EuniceMachage
    @EuniceMachage 2 місяці тому

    Good

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv Місяць тому

    Shoga yangu sasaiv unachelewa kutulete simulizi 😢

    • @Simulizinalilly
      @Simulizinalilly  6 днів тому

      Najitahidi dear Hiki kitu n kigumu sio rahisi Ila najitahid

  • @JosephmutungaNzioki
    @JosephmutungaNzioki Місяць тому

    Lakini bona ameeka nguo ziko na msalaba wa yesu

  • @MohammedtakiBhalloo-w3q
    @MohammedtakiBhalloo-w3q Місяць тому +1

    kuna kanisa lip songea mjimwema pasta anakataz kuja na bibria

    • @hezekiamhapa7395
      @hezekiamhapa7395 Місяць тому

      Watu washtuke wakimbie wanangoja Nini hapo hakuna munhu

    • @hezekiamhapa7395
      @hezekiamhapa7395 Місяць тому

      Kwa mikakati hii wakristo inatakiwa kujipanga na kumtafuta MUNGU kisawasawa

  • @tusifuesther4833
    @tusifuesther4833 Місяць тому

    Asante sanaa dada

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 2 місяці тому

    ❤❤

  • @DarvenSteven
    @DarvenSteven Місяць тому

    Mimi apo ndo naogopa

  • @BlayKalinga
    @BlayKalinga 2 місяці тому

    Mhmh hiyo nayo mpya

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni Місяць тому

    Nzuli san

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому

    Wote wachawi

  • @suleimanzahor6878
    @suleimanzahor6878 2 місяці тому +1

    Uislam ndo dini ya haki

    • @Nehemiaayo-b8c
      @Nehemiaayo-b8c Місяць тому +3

      ndoo majini yenyewe sasa uyo haki yako

    • @issujar.j.francis3220
      @issujar.j.francis3220 Місяць тому +4

      Ndugu uko sahihi kwa kulinganisha dini. Ila mpango wa Mungu si dining bali Wokovu kupitia Yesu Masihi ndio mpango wa Mungu kama mtu anataka kwenda mbinguni. Yesu anakupenda, mwamini Yesu uokoke, uende mbinguni. Manabii wa uongo wapo, wachungaji wa uongo wapo. Lakini Mungu anabaki kuwa Mungu.

    • @Luggy2024
      @Luggy2024 Місяць тому

      🎉​@@issujar.j.francis3220 big amen 🎉

    • @DanKanyange
      @DanKanyange Місяць тому +3

      ​@@Nehemiaayo-b8c Uislam ndiyo dini pekee ambayo Shetani ni muumini wake. Muhammad pekee ndiye aliyefanikiwa kumsilimisha Shetani akawa Muislam.
      Kweli dini hiyo ni ya haki, ni haki ya waislam na Shetani Lucifer muumini mwenzao.

    • @joshuajackson5367
      @joshuajackson5367 Місяць тому +2

      Huku kwa majini kabisa

  • @Annachayo
    @Annachayo Місяць тому +1

  • @peacemaker209
    @peacemaker209 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤

  • @EmanueleLajabu
    @EmanueleLajabu Місяць тому

  • @AnnahMwingira
    @AnnahMwingira 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @AlexGeofrey-q7u
    @AlexGeofrey-q7u 29 днів тому

    ❤❤❤❤❤