Kila Mwenye pumzi na akalisifu Jina La Ko eh Mungu wa Majeshi. Pongezi kwa Essence of Worship kwa kutuletea nyimbo za kumsifu Muumbaji wetu. Mungu na akawa bariki na kuwainua katika maisha yenu. Mnavyo litukuza Jina la Mungu nyi akawatukuze mbembe za wafalme wa na wakuu wa Dunia.
Hallelujah watumishi wa Bwana..... Hongera kwa kazi nzuri.....tunawapata uzuri kabisa toka Jamhuri ya Muungano wa watu wa Kalobe.....We are really blessed na huu wimbo.
Mapinduzi makubwa saaaana yamziki wa live Tz... Wimbo mkali saaaana wapiga vyombo shikamoo 'waimbaji mmeutendea haki wimbo, mwongoza wimbo una voko lahatari sound engineer pokea maua yako....
Aisee mnapangilia vizuri mno... Mnafurahisha... Utukufu wa MUNGU uwafunike.. Nabarikiwa.. Jina lako litukuzwe.. kwa vinanda na vinubi twalisifu jina lako... Huhuhuuuuu❤❤❤..Essence of worship mna mafuta yenu ya utumishi🎉
Wangap tumerudia zaidi ya mara nne bila kujali bundle wala dakika. This Man Godwin kuna kitu anaweka kwa Sauti yake.... Proper sana. Keep it Up MOG. Respect to you @Joshua Charles and @Gwamaka for this Powerful service to God.
Tuliwa miss sana kwa huo muda ambao hamkuachia nyimbo hatimaye mmetuletea kitu kikali Mungu awabariki team yote ikiongozwa na mtumishi Gwamaka Mwakalinga
Kama unabarikiwa na huu wimbo nione likes...
Kama uko pamoja na essence of worship gonga like hapa
Jina lako litukuzwe milele. If we wont worship Him, even mountains can. True...This is a blessing.
Bassist anakunywa soda gani jamani😃 so blessed.
My thinking,ana hatari sana huyu
Apewe soda kwakweli 🙌
😂😂😂
His name is John Peter ama JP bass ndo chair wa Agape Gospel band
Bassis ajuwa kazi
much love from Zimbabwe, loving the song❤
Iconic... this man G. O. D. W. I .N ❤❤❤🎉 the Holy spirit flows within Him. Amaizing vocals . May the name of Jesus Christ be exalted
I literally have goosebumps every time nikisikiliza huu wimbo🙌🙌...kuna namna sio wa kawaida🔥
Kila Mwenye pumzi na akalisifu Jina La Ko eh Mungu wa Majeshi. Pongezi kwa Essence of Worship kwa kutuletea nyimbo za kumsifu Muumbaji wetu. Mungu na akawa bariki na kuwainua katika maisha yenu. Mnavyo litukuza Jina la Mungu nyi akawatukuze mbembe za wafalme wa na wakuu wa Dunia.
Beautiful song
God is taking you people to another level
Watching from Kenya🇰🇪🇰🇪
Nawapenda
Peana hi kwa watu wa kiambuu
Tumekuja kulitukuza jina lako🎉 maana wewe unastahili 🙌🙌 Jina lako litukuzwe✨💃 Unastahili Jehovah 🙌
More blessed watumishi kwa kaz nzur
Bassist mambo fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥💓🇰🇪🇰🇪
bassist on fireeeeeeeeeeee ukitumia earphone ndo utaelewa huwezi elewa kama HUNA D mbili hahahahahah
Kina lakoliimidhiwe.. Hallelujah
Zaburi 145:21 "Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana; Wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele"
Eagerly waiting
Jina lako litukuzwe
Beautiful song asee
It's the trumpets for me🙌 🔥🔥
Mungu azidi kuwabariki sanaaaa Essence of Worship
Umemuona Jona wa agape
Hallelujah watumishi wa Bwana..... Hongera kwa kazi nzuri.....tunawapata uzuri kabisa toka Jamhuri ya Muungano wa watu wa Kalobe.....We are really blessed na huu wimbo.
From Mbeya city we glorify Lord our creator
The wordings, ambience and the coordination is on point
Wow, amazing
Mapinduzi makubwa saaaana yamziki wa live Tz... Wimbo mkali saaaana wapiga vyombo shikamoo 'waimbaji mmeutendea haki wimbo, mwongoza wimbo una voko lahatari sound engineer pokea maua yako....
HAYA WALIOSEMA JP 🎸 ANAPIGA SEBENE TU NJOENI MPOKEE ADHABU HUKU😂😂🔥🔥🔥 BASS LINE YA MOTO
Itabidi waheshimu😂😂
Waiting eagerly ❤
Amen ❤❤❤❤❤
🙌🙏🏾🔥Hakika Jina la BWANA wetu Yesu Litukuzwe ndani yenu, nanyi ndani yake, kwa neema ya Mungu wetu na ya Bwana Yesu Kristo. 2 Wathesalonike 1:12
Litukuzwe jina lako Bwana......jina kuu kuliko majina yote.
Wow beautiful song wow
Jina la Bwana litukuzwe
Waiting eagerly
3:34
Everything is on fire, bassist,drummer,keyboard player,
Waiting.....
Am here waiting. Something anointed is about to be released. In 23 Minutes.
Aisee mnapangilia vizuri mno... Mnafurahisha... Utukufu wa MUNGU uwafunike.. Nabarikiwa.. Jina lako litukuzwe.. kwa vinanda na vinubi twalisifu jina lako... Huhuhuuuuu❤❤❤..Essence of worship mna mafuta yenu ya utumishi🎉
Essence of worship mweeee😂😂😂😂
Naona baba amekaa anawatazama.. Aloooo.. MUNGU anajivunia ninyi
I'm waiting now
That's great
🙌🙌🙌🙌🦅
❤❤barikiwa watumishi
Namkubali Sana huyo DRUMMER... "Unanibariki Sana kaka" .... "Mungu akutunze" .
Hallelujah 🔥🔥🔥
One minute to goooooo🎉🔥
Wow ❤😊🤗May glory be to him🤗
Wow.. jina lako litukuzwe milele. 1735..
The dance❤️
Mungu anaketi katikati ya sifa HALLELUJAH
Powerful praise song 🔥
🔥🔥🔥💯
I'm waiting for that blessing
Wow❤
Àseee noma sana bassist kaua sana
that music jamaaaaani nice arrangement 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I cnt have enough of this praise song
Huyo jamaa ni nomaa mpk anaboaa 😂
We Worship Jesus 🙏🙏
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko ndani
Tutakosaje Yani😂ndani sanaa
Nabarikiwa sana may God bless you 🙌🙌
Hallelujah praise Jesus 🎉❤
Utukufu kwa MUNGU
Ooh powerful
Likes zenu jamn❤
Music unatembea balaa, MD kazi nzur, na masauti kama yote duh! Utukufu kwa Bwana wetu Yesu Kristo. ❤❤❤
👏👏👏
TUSIPOCHEZA MBELE ZAKO MILIMA ITACHEZA 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🪘🪘🥁🎷 JINA LAKO LITUKUZWE
Binafsi nimekwisha barikiwa
Jina la bwana litukuzwee
Ameen Jina Lako YESU litukuzwe
Wangap tumerudia zaidi ya mara nne bila kujali bundle wala dakika. This Man Godwin kuna kitu anaweka kwa Sauti yake.... Proper sana. Keep it Up MOG. Respect to you @Joshua Charles and @Gwamaka for this Powerful service to God.
❤❤❤❤❤❤
I felt some thing good when I saw Minister Gwamaka is out of this poem/song. Kwamba maono yamekua/revealed.🎉
❤❤❤
my anthem
Blessed ❤
Beautiful 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
My family
Be blessed team
Very Nice🎹🎹🎺🎺🎺
Kwakwl it is GLORIOUS JMN
Tuliwa miss sana kwa huo muda ambao hamkuachia nyimbo hatimaye mmetuletea kitu kikali Mungu awabariki team yote ikiongozwa na mtumishi Gwamaka Mwakalinga
Motto 💥🔥🔥🔥
Heee nyie mmemsikia sololist lakini anaimba hadi goosebumps😂😂😂😂🎉🎉🎉🥰🥰🥰
Mungu ainue huduma yako Godwin unaimbisha vizuri na unatumika sana Mtumishi👏🏿👏🏿
Aaaah!! Hallelujah!! My brother @Godii!! This song blessed me greatly!!
Wow... Am so blessed essence of worship thank you so much Mungu hawabariki pia Sana kwa kazi nzuri mnaifanya kwa ufalme wa Mungu 🙏🙏🙏
praise jesus 🎉🎉🎉
Following from Eldoret Kenya 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
🔥🔥
Nilikua nawamiss tu❤
Hallelujah Hallelujah 🙌 🔥 🔥 🔥
huu mziki umeenda shule nzuri kabisa
Glory is to God hakika ni ibada njema🙌🏿
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Unastahili kutukuzwa Bwana
Yaan mimi nakosa La kusema si kwa mafuta haya 🎉🎉🎉🎉
😭😭🙏❤️❤️❤️such a great song
First song during live recording to set an amazing atmosphere on that special day❤❤
Lovely mbarikiwe kwa viwango vya juu
Essence Mungu awabariki sana
🔥 🔥🔥🔥 the Anointing wuuh
❤❤ essence of worship
Mziki umelia 😊😊
Bassist umetishaaaa
Hallelujah
Tumekuja kulitukuza hina lako BWANA
@essence of worship
JP Bass 🔥🔥🔥🤗🙌🏾