EXCLUSIVE!! ANNASTACIA MUKABWA AFICHUA ROSE MUHANDO ALIKO NA HALI HALISI YA AFYA YAKE
Вставка
- Опубліковано 3 січ 2025
- Please watch: "(63) SIZE 8 AFUNGUKA KUHUSU WOKOVU WAKE/SISIKIZI SECULAR ARTISTES/KWANINI AKOTHEE ANAFAA KUOKOKA "
• SIZE 8 AFUNGUKA KUHUSU... -~-
Tulisafiri hadi MOMBASA kumtafuta Dada ROSE MUHANDO na kutaka kujua UKWELI. Hatimaye mwimbaji wa nyimbo za injili ANNASTACIA MUKABWA awafunga midomo wale wanaoongea taarifa za kupotosha kumhusu Mwimbaji ROSE MUHANDO toka Tanzania. Kwa mara ya kwanza afichua hali halisi ya ROSE MUHANDO Sikiliza alichokisema
#ROSEMUHANDO #ANNASTACIAMUKABWA #ANNASTACIAMUKABWA #MSETOEASTAFRICA
COVERAGE & EDITING: GADIEL RICHARD WATCH YOUR FAVORITE SHOW IN EAST AND CENTRAL AFRICA , #MSETO_EAST_AFRICA NA #MZAZI_WILLY_M_TUVA
I do not know you sister but I love the way you are led by the Holy Spirit- God bless you-you are quite an inspiration. I wish all of us Christians emulated you. Oh my!
Mungu azidi kukupa ujasiri Dada mukabwa uendelee kumhudumia Rose na Yesu akamponye!
I cried ... couldn't eat..prayed .. when I saw that video of Rose..I know God will make her rise again. God bless you Anastasia. It's not in vain. All will be well... Willy be blessed ...you have make sure to Get real truth. .Most of media personalities wameoza akili especially wa Tanzania
Amen
The grace of God is so sufficient even in the most difficult situations. Big up Anastacia, this is the true meaning of friendship. Kenyans, we love Rose Muhando, we will always stand by her no matter what!
Waweru Sarah :our Sister Rose Muhando Hz been judged wrongly by many. may God heal her & allow her to Testify upon The goodness of The Lord.🙏 Father in Heaven, Redeem ur servant Rose for The Glory of your Name, In Jesus'name I pray🙏AMEN.
Waweru Sarah ❤
It's true
ua-cam.com/video/bZnxs0hPyhQ/v-deo.html
@@saadmaridadi7743 ua-cam.com/video/bZnxs0hPyhQ/v-deo.html
This is what we call true friendship,God bless you our sister and rose will be on her feet again
I am the Lord that healeth thee...I am the Lord your healer..Gods Message to Rose Muhando🙏🙏🙏🙌🙌
Ahsante mtangazaji kwa taarifa nzuri pia umeitendea kazi tasnia yako.
Dada Annastazia,we are happy for you.May God bless you abundantly..
From Tz
Amina , Amina 🙏 rafiki wa kweli wakati wa shida yako , Mungu akubariki dada anna na dada yetu rose bwana aendeleze uponyaji wake hakuna kinacho mshinda muumba bingu na dunia na vyote tuvionavyo , yeye ni jana na leo kama alimponya ayubu na kumbariki atashindwa nini kwa rose 🙏 Tunarudisha nguvu na heshima kwako baba , kiti chako kiko mahali pa juu sana umezungukwa na utukufu 🙏 Tunakuitaji mchana na usiku
Asanteni sana wa Kenya kwa kujitolea kumsaidia Rose. Huo ndio undugu. Thumbs up!
Fanya kazi Ya Mungu dada, Na baraka ni zirunde Mungu . Quick recovely Our one n only Rose Muhando .
Mungu awabariki wote wanaochangia Kwa namna moja au nyingine kuhakikisha kuwa anarudi katika hali yake mwanzoni. Haya ni mapito tu. Dada Wa watu atapona tu kwa jina la Yesu!
Mungu awabariki wote wanaomsadia rose kwa kifedha na maobi
God bless you Mukhana,you are Rose's Elizabeth,keep it up dear. I still pray for Rose she was a big blessing to me.
Amina sana Anastazia Mungu akubariki kwa maneno yako ya busara. Hakika Mungu wetu ni mkuu yeye ndiye awezaye kuponya na kuokoa. Hakika ametenda juu ya Rose Mhando. Ahimidiwe Jehova
Amina
It is well...
Amen 🙏 sifa zote zimurudirie mwenyezi Mungu kwa kumu chunga dada Rose Muhando natunaendelea kumuombea uponyaji katika jina la Yesu
Mungu mwenye rehema akubariki Annastacia😢you are one in a million
Asante mama Ann Mungu akubariki kwa yote na uzidi kuwa na moyo hyo, tunamwombea mama wetu wa kuroho rose apone na aendelee na kazi ya Mungu
Wah! Hio testimony kubwa Sana mungu akubless Sana dada annastacia 🙏🙏
God is good all the time.....may God bless u Anastasia... quick recovery dada Rose.
Rose you will not die,,you will live to declare the goodness of God in the land of living
Huyo mwana muziki shujaa ningependa apelekwe kwa prophet tb joshua church of all nations nigeria.Mungu amuonekanie
Amen Anastasia mungu akubariki akuzidishie mno.
Quick recover sister rose in jesus name
Mungu akusimamie Dada Anna, naamini Mungu hashindwi na kitu atamponya.
A lot of heavenly blessings to you sister Anastasia....May God see you through and bless the work of your hand......for sure He alone knows our future...Humbly plz don't be tired of what God as choosen you to be in the life of sister Rose.........May God help you,hold your hand as you accomplish this great mission...Sister many are the words of men but God as the final word.Job went through a hard situation but he never gave up.....plz on your next visit tell my sister Rose never to loose hope...she as a great mission ahead... And she should be brave as the lioness of fierce.......
Mungu akubariki sana Anastacia pia Namuombea Rose Muhango uponyaji wa haraka. Watanzania watangoja umbea wao utimie bt Mungu atawaibisha. Mie ni kenya from Gulf
Mama Anne Mungu akubariki na aendelee kukutumia kwa utukufu wako..... thanks for wisdom words n statements...
God extend your healing powers to dada Rose Muhando. Willy na dada Anastacia God bless u for clearing the air
Be blessed Annastacia it takes a Godly heart to do all this. Umesema vyema tusiwe wa haraka kusambaza au kuhukumu atujui mapito yetu Itakuwa vipi. Kama wimbo inavyo sema tukimwona mwezetu anashida tu muombe. Tumkumbuku dada Rose Muhando kwenye maombi.
Quick recovery Rose Muhando and God bless you Annstacia❤️
quick recovery Dada yetu Rose
Quick recovery rose muhamdo God bless
Love you mum anastacia you did well God bless you
tunakupendasana
Annastazia MUNGU akubariki sana kwa kazi nzuri tumeitwa na MUNGU kuinuana na sio kuchekana Leo kwa Rose lkn hatujui kesho itakuwa kwa nani. Asante kwa kuujenga mwili wa kristo
God bless you Annastaciah Mukabwa.
May God heal Rose muhando .
She has been a blessing to many
May God bless u Mama,N May God heal Rose Muhando I have faith Rose atasimama tena kwa imani 🙏
Mungu akubariki dada anastazia
Get well soon dear Rose Muhando we love you and be blessed Annastazia kwa uliyofanya kwa Rose Mungu akulipe mema dada nakupenda sana.
MUNGU akubariki hadi ushangae Dada Anna, your are true friend for sure, hakuna silaha iliyoinuka kinyume chenu itakayofanikiwa kamwe!!!
God please heal rose coz we still need her for more deliverance of many Souls..rem she's is your chosen one among many..sometimes I don't eat when I think of mama Rose..it pains my hrt bt what I know is we serve a big God who never fails..quick recovery mum
Hongera Sana mtumishi, MUNGU azidi kukubariki zaidi na zaidi
Ooh i even cried God bless u dada Anna...Yesu akutetee na kupigana na wote wanao pingana nawe katika hili..na muombea Rose since nmeona video..MUNGU AKUBARIKI MNO.
Love you Anastasia mpende rozi Sana twangoja nyimbo wew na rozi muhando
Mungu yu Enzini..Asante Dada Anastacia kwa huduma yako, Mungu akubariki..Rose atatoboa kwa Jina la Yesu
Mungu akubariki dada...Mm nampenda sana Rose Muhando.Namuombea Mungu amponye.
you made tears came over my cheeks today is Rose,!?!*&% tomorrow? that's the life in the world there are mountains and valleys,. thanks Ann, thanks Mr. speaker, sorry for laghters People let's pray for sister and mother Rose Muhando ,, "Rossy wherever you are may the Lord raise you in Jesu's Name amen" Bernard in Kampala Uganda.
Be blessed Anastasia ,Dada Rose muhando ,Mungu Wa mbinguni aachilie uponyaji juu yako,kwa jina la yesu christo
Ann, Mungu Akutende Mema Kwa Kusimama Na Rose..Still Nazindi Kumwombea Mungu Amponye Alenjeze Hari Yake Ya Kawaida👏
Thank you very much name sake for assisting our sister Rose! Wewe Mungu atakubariki zaidi mpaka ushangae!You've also thot me that l should have a heart of helping ppl bcoz When Rose was assisting you to reach where you are 2day,she didn't know one day you will help her to get to the Hospital, will continue to pray for her, and this time round akipona Nyimbo zake nitakua fire!
Ana God bless...you are a true friend....rafiki wa dhati.....Rose will come out stronger...and i love the song by Anna and Rose
Mungu akupe uponyanji Rose i love you .God is with you
Ameen,Ameen Anastacia Mungu akubariki a uponyaji uwe juu ya Dada yetu,Mwimbaji wetu Rose.Eeeh Mungu wape ujasiri Familiya yake kipindi hiki cha matibabu yake,Ameeeeeen.
May God bless you Anastasia .. wishing rose mhando quick recovery..
Love yu Ana, unaongea kwa hekima na kwa akili sana. Mungu akuzidishie hekima hiyo. Tuendelee kumuombea. Penda wewe saaaaaaaaaaana. Akitoka hospitali mbane sana asiongee chochote kwenye media, atulie kwanza. atakachompa Mungu kuongea ndo aongee ikiwezekana atulie kabisa
Amina, ni kweli kabisa !
Kila jambo Lina mwanzo na mwisho na kila kipindi na watu wake Kama kipindi Cha Nuhu kikapita Cha Musa kikapita na Yohana mbatizaji na Yesu pia kikapita mbona hamuendi na nyakati don't force donkey to drink water huu wakati Mungu anainua wengine
Me too penda wewe sanaaa..msijali tuko pamoja kwa maombi...one love
Tumaini letu ni kwa mungu sote.
Mmmmmmh! Haya hongera sana Dada. Ubarikiwe kwa kazi ngumu uliyoamua kuibeba
neema ya Mungu iwe juu yako, na Mungu akamponye mtumishi wake Rose Mhando
mungu amutete pia kenya mbarkiwe sana
Mungu akubariki Anastanciah. Rose wetu, mama yetu twakuomboea dua njema. Shetani ashindwe
am gland that u stood with ur fellow ..Nasi tunaomba naye. God bless u for Noble work.
Thank you bwana M TUFA kwa kuwaonya Wambea wanao muaribia Rose muhando jina,
Thanks so much Anastasia. God will reward you in a huge way!! May the healing hand of our God touch Rose
Mungu yu mwema maombi mengi juu yako mama yetu Rose,asante kwa busara zenu dd Anna pamoja na mwanahabar wetu Mungu awazidishie hekima na busara.Ameen
Love you sana ma. Mungu akulipe kwa kazi hii unayoifanya, azidishe mafuta yako. Uwe baraka
Dada Anacitancia Mungu akubariki saana kwa kukubali Mungu kukutumia kumsaidia Rose mtumishi wa Mungu,kazi yako si bure,nimeiona hekima ya Mungu kwako,Kristo Yesu akusimamishe panapo nafasi from Tanzania
Mungu akubariki Sana Dada Ann kwa huduma yako njema. na ole waowanaomualibia Jina waibike. rose atapona mungu yupo. God is faithful to her.
Dada Anastasia ni mungu tu anajua kile umetenda.Dada Rose anahitaji UPENDO sio kuthalilishwa.Nyimbo zake zimekuwa nguso kwa wokovu wangu.Mungu akubariki sana
Amen kwa mungu. .mungu akubariki sana dada Ann
MUNGU akubariki sana dada,,,ANASTANSIA ZAIDI MIMI BINAFSI NAKUOMBA MTUMISHI WA MUNGU ANASTANCIA USIMUWACHE DADA ROSE MUHANDO KWA VYOVYOTE MUSAIDIE ZAIDI HADI ARUDI SAWA TUNAZIDI KUMUOMBEA KILA WAKATI MUNGU ATAMPONYA IN JESUS NAME
Nice,mature and decent talks.Be greatly blessed.
Amina Mungu amponye rose in Jesus name, annastazia Mungu akubariki Sana
Nampenda sana Rose Muhando na niko na Yakima na mani kuwa atapona na aendelee kuifanya kazi ya Mungu. God bless u Annastacia
Godbless you Dada Anna.mtangazaji uko vizuri unajua kaz yako
Mungu azidi kumkumbuka dada Rose,Wakenya twazidi kumuombea Mungu kwa kila hali anayo pitia.
ubarikiwe sana Annastasia kwa kumsaidia dada Rose muhando na mungu amponye Rose.
Asante sana Anastacia Mukabwa Mungu na akubari pamoja huyo mwana habari kwa kufanya roho i yangu itulie na za wengine wanao mpenda Rose tuzidi kumuombea Rose Mungu atatenda jambo kwa kuwa hakuna jambo ngumu kwake
Used to go to church with Annastacia some years ago back in Kenya she’s such a humble soul God will Bless you mama🙏
ua-cam.com/video/bZnxs0hPyhQ/v-deo.html
Thank you God,she iz alive. Endelea kumpigania apone naamini kwa Mungu hakuna lishindikanalo kila kitu chawezekana. Ameen
God has the final say. Thanks dada Annastacia. God heal Rose God bless Annastacia.
Congrats Tuva. Hapo umeongea ukweli kabisa hamna haja kusambaza Habari za uongo kuhusu Rose Muhando. Anastacia God bless you
AMEN blessed dear we LOVE ROSE MUHANDO and we PRAY GOD to deliver her and restore her faith
We need media like this one short and clear thank u dada Anastasia for taking care of her na wengine waimbaji wote muungu azidi kuwa nanyi na ahibariki kazi ya mikono zao. Pia nami pia bado nazidi kumweka kwa maombi na mungu atasimama nayeye kwakila Jambo
My sister Anastasia
Be most blessed for allowing wisdom to rule over you
God bless you
Keep doing what you are doing for our sister in faith
Thank you Willy for this interview
be blessed Ann, and healing is your portion Rose, cha Mungu ni cha Mungu tu na hakuna kitakacho jaribu mipango ya Mungu, eee Mungu utukufu ni wako tu, na mataifa watajua kuwa ni wewe tu uliye na mamlaka dunia yote.
Mungu amponye Dada yetu Rose,nimewapenda sana Mzazi Tuva na Dada Ana,be blessed more
Mungu na amlinde mama yangu Rose; kwani nyimbo zake ni za kumfanya kila mmoja wetu awe kwenye njia sawa ya kumfuata Jalali. Mungu akubariki pia Mama yangu Anastacia.
Hongera sana dada Anna kwa hatua ulifikia kumsaidia dada yetu Rozi.Yesu aendelee kukubariki katika huduma yako.
Amen Dada mukabwa,mungu akubaliki sana kwa kumchunga rose.Naamini atasimama tena,na nitaendelea kumuombea.
Am happy to know Rose is getting treated, I want to hear Rose sing for God again and she will by the Grace of God.
Ubarikiwe mtangazaji Kwa kutujuza. Be blessed Annastazia for your serving Rose's life. Our prayers are with her.
Mungu ni mwema nimesikia nafuu kusikia ako salama Mungu akubariki Ann
God bless you so much Anastasia mama wa nguvu ,hakuna kitu inashinda mungu I remember nilikua mungu kupitia nyimbo za Rose muhando
Be blessed Ann.mungu amponye dada rose
God is great.Mungu ni Mwema na ni Mkuu.
Huyu mama abarkiwe juu mungu amemtumia kwa haki naukweli nawaombea maisha marefu sana kisha wakuje kuungana hao wawili watoe nyimbo nawata barkiwa kwa jinaka yesu muokozi wetu....
....Nipishe nipite song, ....Hivyo ndivyo ulivyo song...Babeli...Salama salama kwa Yesu. We know God is transforming her daughter. May God's will be done.
Damu ya Yesu ilio mwagika msalabani ina guvu nyingi sana na inaponya. na achilia uponyaji wa Yesujuu ya maisha ya Rose muhando Anastasia mungu akubariki sana kwa kutumikia hekima
Amen,,Mungu akubariki dada na Rose naamini atainuka tena.
At last da Annastacia umeitikia kilio na wito wangu nilio post kwa Facebook account yangu kuwa Da ROSE akuhitaji/ atuhitaji sasa.... Nafurahi sana kusikia yupo salama...Mungu na atuzidishie nguvu katika huduma na Da ROSE mungu akuguse MARA TENA..AMINA inuka MUNGU keshakuponya
quick recovery Rose, thanks to Mkabwa God bless you
Mungu Aku bariki dada Annastacia kwa musahada ambao ume fanya kwa Dada Rose.
God bless you Anastasia mukabwa, may Almighty God add you more grace and strength
Dada ubarikiwe sana na Mungu aliyekuwezesha kufanya hayo yote kwa ujasiri na Mungu azidi kukufungulia Milango ya baraka
Nimeomba sana nikililia mungu akumbuke Rose na yale mazuri alitenda kumsifu Mungu.Asante Yesu kwa habari njema tunazopata.Get well Rose we love you.
Anastasia asante sana nami pia ni ombi langu Rose muhando mungu amukumbuke kama alivyo tubarki naye pia ni wakati wake.
She will come out victorious and God bless you Anastasia Mukabwa .....
Dada Anacitancia Mungu akubariki saana kwa kukubali Mungu kukutumia kumsaidia Rose mtumishi wa Mungu,kazi yako si bure,nimeiona hekima ya Mungu kwako,Kristo Yesu akusimamishe panapo nafasi from Tanzania
Mungu awape mwisho mwema waimbaji wake...barikiwa sana Dada yangu Anastanzia