Mmmmh😃😃😃Yaani nimecheka Kama mazuri yaani huyu Dada anayesimulia haeleweki kabisa anachokiongea mm nasikia lutobangija, lutobangija hakuna hata nilichoambulia kweli unaweza kushindwa kusimulia kitu ambacho unakijua kwa asilimia kubwa kwa sababu ya lugha ya kiswahili imekushinda kuongea.Kweli nimeamini kiswahili ni lugha mama.Asante Sana Afisa mtendaji wewe ndiye umeeleza vizuri tumekuelewa.
Mimi nasema ukweli wangu izo story sijazielewa kabisa nilicho kielewa ni iyo mihogo inakuaga mitamu sana yote kwa yote nipeni namba story imenichosha😂😂😂😂
MAYOO LEKAGHA SI YOMBAGA KISUKUMA KISWAHILII UTAKIMANILE HUYU DADA ANAONGEA NINI SASA KWANINI MSIMWELEKEZE AELEZE POINT BADALA YA KUELEZA UTUMBO KAMA HUO
Hata mie sijaelewa nasikia akaenda akaja sasa mihogo akaugua sasa nasikia nyingi ni akaenda na sasa akaenda sasa sijui hata anasema nini huyu fada haeleweki sijui hatamtangazaji kafahamu
Hizi kiswahili zimeongewa humu nimechanganyikiwa kuliko maisha inavonichanganya 😂😂😂
Kijijini raha, Chakula hakina madawa.Vitu fresh from shamba
Eeee mungu wetu tutie nguvu tumalize mwendo salama
Mmmmh😃😃😃Yaani nimecheka Kama mazuri yaani huyu Dada anayesimulia haeleweki kabisa anachokiongea mm nasikia lutobangija, lutobangija hakuna hata nilichoambulia kweli unaweza kushindwa kusimulia kitu ambacho unakijua kwa asilimia kubwa kwa sababu ya lugha ya kiswahili imekushinda kuongea.Kweli nimeamini kiswahili ni lugha mama.Asante Sana Afisa mtendaji wewe ndiye umeeleza vizuri tumekuelewa.
Mwandu Elizabeth ,kwa kweli hata mimi huyu dada sijamwelewa kabisa! Maelezo yake hayana mtiririko mzuri kisha haeleweki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mimi nasema ukweli wangu izo story sijazielewa kabisa nilicho kielewa ni iyo mihogo inakuaga mitamu sana yote kwa yote nipeni namba story imenichosha😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tapeli wa kisukuma
Hahaha
😂😂😂😂😂😂😂😂mihongoo jamn wasukum mna nn Kiswahili kigum daaaah
😂😂😂😂😂😂jumanne akaja 😅😅😅juma tano akaenda😂😂😂😂😂Eeeh Mungu Kiswahili kigumu
Hahaha htr
Hahahaaa daa mtihani tanzania yetu
¹11qq1qq1qõ lol
Huyo dada anasimulia habari ileile au tumechanganyiwa mafaili??? 😂😂😂😂😂
lakini Geita kuna mambo
Huyu baba anachanganya hata pakusema kama anasema baada kiufupi sijaelewa chochote mwenzenu😂🤷♂️
Hahahaha tena huyu dada alikua yuaongelea storry hii kweli mbona naona alichanganya maelezo leo mme nieza ayo
😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani we baba eti nikachija na kuku
🤣🤣🤣🤣
Millard Ayo sasa dish linayumba, jitathimini!!
MAYOO LEKAGHA SI YOMBAGA KISUKUMA KISWAHILII UTAKIMANILE HUYU DADA ANAONGEA NINI SASA KWANINI MSIMWELEKEZE AELEZE POINT BADALA YA KUELEZA UTUMBO KAMA HUO
Taratibu basii Enock .
Kiswahili bado kumbe Tanzania mm hata cjaona nn kimesimuliwa hapa ipi ni point ya muhimu Sasa eehee jaman
🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani hizi "baada na kabla" matumizi yake yamenilewesha.Hapa polisi wana kazi
Kila kitu jamani anahadithia nilimsalimia akaitikia nilimuita akaitika kila kitu hajaacha kusema
Mimi nimetamani hio mihogo tu
😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
Kabla zimekuwa nyingi jamani🤣🤣🤣
Halafu anatumia neno kabla badala ya Baada wasukuma bwana
Mbona matukio mengi yanatokea geita tu
Jamanieeee sijaelewa niko bize na mihogo. Yaketu huku yauchungu
🤣🤣🤣🤣 Huy Dada kanimaliza sijui Ata anaongea nn chakura chakura
Hahahaha 🤣🤣🤣 umenifanya nimecheka kwa sauti huenda Kiswahili hakijui maana hata mimi sijamuelewa hata kidogo
Chaaakuraa
😂😂😂 akaja Mimi nyumbani
Duuh kiswahil kigumu wakenya wanatushinda wakati ni lagha yetu hahaaaa
Huyo anaejibadilisha yuko wapi tumuone mbona mmemficha
Kiswahili ndo shida ila n ctory ya kuccmua, shikamoo kiswahili
Hamna la maana hapa
Mtihani mihogo imenoga hata hiyo stori sijaiyelewa lakini poleni kumkaribisha mtu musiye mjua
Huyu msichana ata hamna point yani anaongea mambo ya chaakuraa tu😁
😅😅😅😅chaakuuraa
😄😄😄😄
Aisee, huku geita
hatukumjua km ni mwanamke adi siku alivokamatwa
Uyu dada ata sijamuelewa
Mbona akaenda zimekua nyingi
Sasa hii Nini milard
Jamani dunia hii acha nicheke mie kama mazr,,
Dunia ya mwisho hii misenge kama yote Allah atusalim salama na adhbu zake maan mtihan kw kwl
Stori ya bidada haifahamiki
iyo ni kwel jaman sio uongo maana ata mi nilishuhudia
Shikamoo kiswahili eti anae mtoto baada ya miaka 2🤣🤣
Duh story ata haieleweki
Alikuwa mgeni"hatimaye mke?!! Na ni mwanaume
🤣🤣🤣🤣🤣nyabusuuu
Kabla kabla hizi yaani sijaelewa chochote jamani 🤷🏼♀️🙆🏼♀️
Hata mie sijaelewa nasikia akaenda akaja sasa mihogo akaugua sasa nasikia nyingi ni akaenda na sasa akaenda sasa sijui hata anasema nini huyu fada haeleweki sijui hatamtangazaji kafahamu
Story hata haieleweki, sijaelewa hata kitu hapo, sijui hata kinachoelezewa hapo. Tuleteeni simulizi za kueleweka jamani.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ni hatari sana
@@salomewandya7257 🤣🤣🤣😂😂
Jamani mihogo hiyo kumbe. Huko bado munamihogo mizuri hivi
Shikamoo kiswahili , bora angeongea lugha tu
Sasa hilo shoga huko kijijini anavaaje?tuonyesheni hilo shoga tulione shoga lakijijini 😅😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣
😁😁
Nyabusu umeolewa??????nimependa story yako kiswahiliiiiiiiiiiiii...chiza sanaaaa
ua-cam.com/video/mqwevdSf6YA/v-deo.html
MASAA YA KUJIBIWA DUA ZAKO NA MUNGU,JUU YA SHIDA ZAKO.........*#
Mbn kabla hii inakataa🤣
🤣🤣🤣🖕
Baada imekuwa kabla kabla
😂😂😁😁
Aliyemwona huyo sokwe wa kwanza like fasta
Aaaaaaaaaaaaaaa siwaelew me cjui mnaongea nn
Luga gongana
Subuhanallah
ANGALIA HII CONNECTION DUUUUH WABONGO HATARI: ua-cam.com/video/oPe68wWtTQM/v-deo.html
Huyo babangija kweli hakujua kuwa ni mwanaume huyo?
Wote wasenge ao weeee
ua-cam.com/video/mqwevdSf6YA/v-deo.html
MASAA YA KUJIBIWA DUA ZAKO NA MUNGU,JUU YA SHIDA ZAKO.........*#
ANGALIA HII CONNECTION DUUUUH WABONGO HATARI: ua-cam.com/video/oPe68wWtTQM/v-deo.html