CHAWA WA BASATA & ZUCHU - USWEGE MURDERER

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 бер 2024
  • Follow Me on
    Instagram; invitescont...
    Twitter; UswegeMurderer?s=09
    #Uswegemurderer #Zuchu #MusicalComedy #Harmonize #Uswege #KalizaUswege #VunjaMbavu

КОМЕНТАРІ • 453

  • @RichMavoko-nx8cn

    😂😂😂😂😂😂 wa kwanza nipe like zangu 15 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @soudyruge-fi9xv

    Futa hii Uswege upost upya ili niwe wa kwanza kucomment na me niombe like 😂😂😂

  • @user-qh3bw4sb4z

    Hivi jama like zinasaidia Nini tupeane michongoo

  • @JerubaalXerxes

    Kiswahili ni lugha tajiri kwenye tafsida. Maneno mengi yana context zaidi ya moja... ila umetisha...

  • @ChenchiKing

    Uswege Unajuw Xan Mpak Kero Kwa Wengine😂😂😂

  • @dondeprincer9527

    uswege ndo baba lao kuchekesha💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂

  • @user-ns4oj9cw1j
    @user-ns4oj9cw1j 14 годин тому

    Uwivu umemzidi ndio maana anaimba matusi hivyo,,,ajawahi kupendwa na mtu msarufu,,,basi utachuja wewe,,huyo anakudanganya simba utamuona

  • @EmilykuvunaKonzi

    ZOTE ni ukweli umetufungua na ndugu 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉chukua Maya yko❤❤❤❤🎉

  • @yondoBernard

    wapili jamani nipeni like

  • @judithkantimbo4369

    😂😂😂USWEGE hakii akili hunaa

  • @Shukutu
    @Shukutu  +95

    Kama unamkubali Uswenge weka link apo ❤❤❤❤

  • @ombeninyemba6428

    Daaah kweli ngono tuu wanaimba hawa wasafi

  • @rashowshine7849

    Zuchu""" Mara moja moja navutaga ganja😂😂

  • @naimarishedy1523

    Kazi Nzuri mwanangu uswege wachonge kinyago kipelekwe basata😊😊😊😊😊

  • @johnrichard5482

    Daaah.... Kweli We

  • @mtalammathayo5184

    Uswege weye ni noma sana upewe🎉🎉mahuwa Yako tu

  • @noahchepe8036

    😂😂😂 the murderer umetisha sana. kiujumla nyimbo nyingi zimekua za matusi sana

  • @RobertJohn-zq7rv

    Legend Uswege ,unyama ni mwingi ila nasubiri upite na Ali kiba kwenye shughul yake Kuna udabwi mwingi tunakusubiri utuletee 🙏

  • @TopkingChuwi

    Grand travaux éventuels, courage frère 🙏🙏

  • @sesilialaga5403

    Ahahaha chapati uwez kula Moja hapo inakuwa iviii papapapapa