LAANA YA MAYAHUDI HILIANZA KIPINDI CHA FIRAUNI WAKAOKOLEWA MISRI WA KAKUFURU KUKUBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @HabibaSaid-q1m
    @HabibaSaid-q1m 7 місяців тому +2

    Allah akupe umri mrefu shekh wetu uzidi kutoa ukwel

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 24 дні тому +1

    Karibu,kitimoto,mnajifanya wema kumbe pumbavu ,mnakula kitimoto,

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 20 днів тому

    Masha allah

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 11 днів тому

    Ikiwezekana siku moja tupate historia hiyo kwa Myahudi mwenyewe na Mpalestina wenyewe ,
    Ili angalau mambo ya kufikirika yasiwepo,
    Maana sahivi unakuta Mmakonde anakusimulia hivi Mchaga anakusimulia vile,
    Shekhe anakusimulia kivyake na Mchungaji kivyake ,
    Njia nzuri zaidi ni kwamba hao hao wanaopigana kila mmoja akidai Nchi ni yake watusimulie

  • @user-jb2gg3nr9w
    @user-jb2gg3nr9w 8 місяців тому +1

    Mungu akupe maisha marefu

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 8 місяців тому +1

    Sheikh Mohammad upo vizuri

  • @kenethmwangoka981
    @kenethmwangoka981 Місяць тому

    allah ataijalia israel itawashinda makafiri wote mana allah aliwapatia israel nchi ile watoto wa nyota ya daudi itawabeba vita watashinda

  • @mikidadiyusufu5666
    @mikidadiyusufu5666 24 дні тому

    huyo siyo miraji huyo ni mradi ama mlaji

  • @Faraja-j2z
    @Faraja-j2z 19 днів тому

    Kama nyie hampendi kuishi mbona mkipigwa mnalia

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 24 дні тому +1

    Wewe hupendi kuishi? Acha usenge,Israel ni Taifateule la Mungu,jaribu uone

    • @user-pu6dr5bu9l
      @user-pu6dr5bu9l 21 день тому

      Israel nitaifa la mungu wenu wakufilana mikundu au

    • @AGM19697
      @AGM19697 20 днів тому

      ​@@user-pu6dr5bu9lMmmh hayo mambo nyie na waarabu wenu ndio waanzilishi ila mnajificha tu.
      Nenda sehemu za waislamu popote pale ushenzi huo ndio umekubuhu ila mnajificha, wenzenu wameamua kuwa wazi tu na nivyema kuwa wazi ili tukusaidie kubadirika, sio nyinyi mnafirana kisirisiri huku mmevaa makanzu yenu na tasbii mikononi na salama leku kibao wakati wengi sio riziki tunawakueni sana eti mnahita uchafu huo sunat

  • @Sobo740
    @Sobo740 Місяць тому

    Mwamba una madini Co poa

  • @isayashayo4777
    @isayashayo4777 7 місяців тому +2

    Hauna lolote shehe jehanamu inakuhusu vita vya wale ndugu zetu wayahudi viache kama vilivyo maana huna nguvu yeyote wewe ya kushindana na sisi mf mzuri angalia mkiliongoza taifa lazima liyumbe

    • @AbdullahMzee
      @AbdullahMzee 23 дні тому

      Nawewe huna nguvu nahuna hatimiliki ya Pepo anayo mwenyezi mungu

    • @AGM19697
      @AGM19697 20 днів тому

      Wanatakiwa wampokee Yesu wapate nafasi ya kwenda Mbinguni

    • @AGM19697
      @AGM19697 20 днів тому

      Marekani hajapeleka ndege kuipiga Gaza, ndege zimeenda kuilinda Israel ikiwa Iran itashambilia, hakuna mwanajeshi wa Marekani au Ulaya anayepigana Israel ila wapo Waisrael wanaokaa nchi hizo wamerudi kwao kuipigania nchi yao.
      Kifupi hapo kinachopiganiwa ni eneo la The Dome of the rock palipo na msikiti wa Al aqsa (Eneo lililokuwepo hekalu la Wayahudi lililojengwa na mfalme wa Israel zama hizo aitwaye Suleiman)
      Ni ahadi ya Mungu katika maandiko Israel itarudi na hekalu litajengwa upya na waisrael watatoa dhabihu zao upya kama hapo kale.
      Israel itakuwepo mpaka Yesu atakaporudi japo watapata msukosuko mkubwa katika vita vya Almagedonia

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 27 днів тому

    Unajiita MirajiHemedi achana na kumuongelea huyu Sheikh anaongea historian inayofahamika Duniani kote. Dunia inafahamu huyu sheikh anachokiongea. Usiwe mshabiki wa kitu usicho kielewa.

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 24 дні тому

    Muongo pumbavu,😮😅😊

  • @MirajiHemedi
    @MirajiHemedi 3 місяці тому +4

    Sasa ninyi waisilamu hamtambui ya kuwa Israel ni nchi ya wayahudi? Yelusalem ni mji wa mfalme Daudi nabii wa Zaburi MYAHUDI. sasa uweje mji wa waperestina , au uweje mji wa waisilam kama si uchokozi? Lakini haki itasimama, Mungu aiiyewatoa wana wa israel yaani wana wa Yakobo,kutoka misri na kuwapeleka kanani yaani Israel ni Bwana wa vita atawapigania waipate nchi yao yote ambayo ni kubwa sana. na hata sasa hawajafikia ile mipaka halisi ya nchi ya israel inayojulikana kibibilia wajitahidi.

    • @user-pu6dr5bu9l
      @user-pu6dr5bu9l 21 день тому

      Vp ule msikiti nao niwa waisrael au

    • @AGM19697
      @AGM19697 20 днів тому

      Ata ujio wa Yesu Dunia ilipitia kwa wayahudi na alizaliwa Nazareth, akakulia Galilaya na akaazia kazi Utumishi wake Jerusalem na Alisulubiwa hapo hapo na kufufukia hapo hapo na atakapokuja tena na nyie mnalijua hilo ni hapo hapo Jerusalem.
      Acheni ubishi jamaa zetu Waislamu mpokeeni Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wenu mpate uzima wa milele Mbinguni

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p 14 днів тому

      Ss ww yahudi mweusi ivi una maandiko walau WA kitabu kimoja kichwani mwako au kubweka tu,ilo mnalolita Taifa teule la Mungu unajuwa kuwa mji mkuu wake TELAVIV ndio Makao Makuu ya ushoga ivi kwa akili zenu fupi vp Taifa la Mungu husimamiwa na washenzi mataifa yanayotetea ushoga ya magharibi na yanayopora rasilimali za mataifa mengine,Ina maana Mungu amekosa kuchagulia mataifa yaliyostarabika mpaka awachagulie washenzi wenziwe huku kwa ufinyu WA akili na maarifa kuaminishwa Taifa la Mungu.Mungu ni mwema hawakubali wasiokuwa wema acha ujinga.

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 12 днів тому

      Kwani uyo Daud ni mkiristo?

    • @AGM19697
      @AGM19697 12 днів тому

      @@mussammanga7791 Daudi sio Mkristo wala muislamu. Alikuwa wa dini ya kiyahudi, dini ambayo mifumo yake Mungu alimuelekeza Musa kwa Wayahudi na alimpa amri kumi ambazo ndio msingi wa dini mbili yaani Uyahudi na Ukristo

  • @SimonKefa-lz1kd
    @SimonKefa-lz1kd 21 день тому

    Wewe hupendi kuishi,!!?, mkundu wako unaongea upuzi sana.

    • @AGM19697
      @AGM19697 20 днів тому

      Msimtukane ila muelimisheni tu kuwa Yesu anampenda sana na anataka kumuokoa.
      Anapaswa kumkibali na kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake, hapo atapata nafasi ya neema ya kwenda mbinguni pamoja na Yesu.
      Mtu anapofunguliwa na Yesu anajaa upendo na neema tele, anakuwa mbali na majini, mapepo na shetani na kuwa mtu mwema sana

  • @dani72130
    @dani72130 10 місяців тому

    huna lolote

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 8 місяців тому

      Wewe Dan wewe ndio huna lolote unawapenda watu hawana MPANGO na wewe Tito 1:1mpaka aya yamwiaho uwene Paulo anavyowasema mayahudi mayahudi hawaujui ukiristo wala bibilia haitambui wakiristo mmerogwa.mayahudi wameuwa manabii kupita kiasi.!!!

  • @raymrash
    @raymrash 8 місяців тому

    Palestine sio ardhi ya waarabu. Sensa ya mwaka 1882 chini ya Ottoman empire ilionyesha uwepo wa wayahudi, wakristo na waarabu. Hakukuwahi kuwa na taifa huru linaitwa Palestina, wala mfalme wa Palestina. Kihistoria hiyo ni ardhi ya Wayahudi ingawa wote Wana haki ya kuishi hapo.

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 7 місяців тому +1

      Alikwambia nani? wapi ulisoma kama hujuwi njoo usomeshwe.
      Nabii Ibrahim asili yake wapi, alipokwenda kuhamia Kanaan(Gaza) aliwakuta wanyamaa?
      Jibu hayo maswali baadae nitakupa elimu ukitaka.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 місяців тому

      ​@@mussammanga7791Wewe unamjua Ibrahim,kabla ya Israel kufika pale walipo yalikuwepo makabila saba na Mungu aliwafukuza ndipo waisrael wskafika na kukaa hapo,hapakuwepo waparestina

    • @user-pu6dr5bu9l
      @user-pu6dr5bu9l 21 день тому

      WA Israel ndy hawAtaki wapalestina waishi pale ndy wakorofi wanaua raia wasiokua na hatia wazee wanawake watoto nahawataki kuwena taiga la Palestine wao wanaingza silaha nchin kwao lkn Palestine wasiingze silaha huo ukoloni hauwezekan

    • @AGM19697
      @AGM19697 20 днів тому

      ​@@mussammanga7791Kwanza gaza ilipo sasa ndio eneo lile lile la mwanzo ndio maana Israel halitaki anataka Jerusalem yake ambayo ulikuwa mji mkuu wa baba yao Mfalme Daudi na maeneo mengine mengi muhimu.
      Pale Ibrahim alielekezwa na Mungu ahamie yeye na uzao wake wote, ahadi hiyo pia alipewa mtoto wke Isaka na mjukuu wake Yakobo (Israel)
      Walikuwa utumwani Misri na Mungu akamtuma Mungu awarudishe tena pale pale.
      Israel ilishakuwa na Wafalme wengi marufuku kama Sauli, Daudi, Suleiman etc.
      Israel ilikaliwa na warumi na baadae kuisambaratisha miaka 2000 iliyopita ila Maandiko matakatifu yalishasema kabla ya Mwisho Israel itarudi na hekalu la Suleiman litajengwa upya japo ndio pale pale eneo la the Dom of the rock na Wayahudi watarudisha tena dhabihu zao hekaluni.
      Israel itapata msukosuko mkubwa sana kwenye vita ya Almagedonia ila ndipo itakuwa mwanzo wa mwisho na Yesu atakuwa malangoni.
      Mpokeeni Yesu awe Bwana na Mwokozi kwani karibuni atarudi kuwachukuwa walio wake

    • @HumudNassor-pg6lq
      @HumudNassor-pg6lq 13 днів тому

      Kafirane uko hujuwi tulia