Gavana wa Kericho Dkt. Mutai aonya wakaazi kutoendeleza uhasama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024
  • Gavana wa kaunti ya Kericho Dkt.Erick Mutai amefurahishwa na hatua ya Rais William Ruto kuwateua viongozi wanne kutoka chama Cha ODM kwenye Baraza la mawaziri wake .akiongea katika kitongoji Cha nyakacho,Gavana Mutai amesema kutokana na uteuzi wao, wanasiasa na wananchi sasa wanapaswa kuwa makini wasishikilie uadui katika siasa kwani siasa hubadilika wakati wowote.

КОМЕНТАРІ •