Mashallah tabarakaallah Allah awalipe mema na awaongoze hao mabinti kwa njia iliyo nyooka hadi mwisho . Nawe sheikh kishki Allah akupe umri mrefu Amen ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wa aleykum mussalam warahmatullahi wabarakaatu Alieandika comment hii na mmi nisomae. Twamuomba Allah subhaanahu wata'ala atuhifadhi, atusamehe madhambi yetu.. yote ya siri na ghaibu., ndugu zetu waliotangulia Allah awarehemu. Atujaalie sisi maisha marefu na tuishi kwa twaa yake. Aaaamin yaa rabii
Masha Allah, Allah awabaarik wakaz wa Malaysia kwa tafrija yenu kwa Sheikh wetu, Allah akujalie urudi salam Sheikh wetu, kila hatau ulonyanyau kwend na kurud kufany jamb hili la Kheir na ni ktk njia yake Allah, Azifanye ni thawabu zisizo na idadi, na akujaalie ilmu uloitafuta kwa ajili yake ikawe yenye manfaa dunian na akhera, namuomb Allah uwe miongon mwa waja wake anao wapenda mno na alinadi jina lako ktk mbingu yake na kwe arshi yake kua anakupenda , amiin amiin amiin 🤲
Kusoma ni vizur zaidi ili umche Allah kwa ufasaha usidharau elimu tumeambiwa tuitafite elimu kama watu wasipo soma kizazi Cha kesho kitasomeshwa na nani.mtu annwita shekhe amsomee Dua kwanini?? Kwa sababu Hana elimu tusome tusome tujuw dini yetu Kwa upana
Walaykum Salaamu Warahmatullah Wabarakatuh
MashaAllah Tabarakallah 🌹
Waalykum salaam warhamatullah wabarakatuh
MASHA ALLAH ALLAH AWABARIKI ❤❤
Mashaallah mola awalipe dunian na akhera kwa mlichomfanyie shekhe wetu kwa tafrija hiyo mola awalipe Kila la kheri inshaallah
Mashallah tabarakaallah Allah awalipe mema na awaongoze hao mabinti kwa njia iliyo nyooka hadi mwisho . Nawe sheikh kishki Allah akupe umri mrefu Amen ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wa aleykum mussalam warahmatullahi wabarakaatu
Alieandika comment hii na mmi nisomae. Twamuomba Allah subhaanahu wata'ala atuhifadhi, atusamehe madhambi yetu.. yote ya siri na ghaibu., ndugu zetu waliotangulia Allah awarehemu. Atujaalie sisi maisha marefu na tuishi kwa twaa yake.
Aaaamin yaa rabii
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh amiiiiin
Amen
AMEEN YAA RABB WA JAZAKALLAHU KHAYRAN.
Shekh allah akujalie kher wallah zetu ni dua tu kutoka masaini na utupiganie tupate ufadhili wa kujengewa msikiti niko mkoa wa manyara babati
Masha Allah, Allah awabaarik wakaz wa Malaysia kwa tafrija yenu kwa Sheikh wetu, Allah akujalie urudi salam Sheikh wetu, kila hatau ulonyanyau kwend na kurud kufany jamb hili la Kheir na ni ktk njia yake Allah, Azifanye ni thawabu zisizo na idadi, na akujaalie ilmu uloitafuta kwa ajili yake ikawe yenye manfaa dunian na akhera, namuomb Allah uwe miongon mwa waja wake anao wapenda mno na alinadi jina lako ktk mbingu yake na kwe arshi yake kua anakupenda , amiin amiin amiin 🤲
AllahuAkbar AllahuAkbar AllahuAkbar , Laailaha illaAllah, AllahuAkbar AllahuAkbar Walillahil Hamdu❤
Jamani sheikh naomba nasisi wafatiliaji wa social media uwe unatutaja kwa dua zako.
Mashaallah shekhe nuludin kishki Allah atujalie uwemfano wakuigwa katik heli
❤❤❤❤masha Allah pale napaona nilipo kuwa naishi❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
BARAKALLAHU FIIKUM.
MAA SHAA ALLAH TABARAKA ARRAHMAAN.
Manshallah nasi tunamsubili tumfanyie tafrija
Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 Kwakweli ni Furaha tupu Alhamdulillah 🤲
Aaaamina ya Rabby 🤲 kwako pia
Mashallah shekhe kishiki allah akupeumriref naafyanjema❤
Allahumma Amiin yaa Rab'bi Allahumma Amiin yaa Rab'bi 🤲🏾
MASHAALLAH ❤❤
Masha Allah Tabarakallah ❤❤❤
Mashaallah Mashaallah 🙏❤️
Ameen yarrab 🤲
Masha Allah tabarakallah alhamdulillahi rabilaalamiin
Mashaa الله Mashaa الله Mashaa الله.
Nakupenda sheikh kishk kwaji ya Allah
Pongezi sana shekhe KISHIK
Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi ❤❤❤
Maa. Shaa Allah mabrouk shekh wetu kishki
Maasha Allah baarakallah
Mashi ❤️ unataka ukasome jaman nani atatangaza 😢jomon
Kusoma ni muhimu upate maalifa zaid kuliko ukabaki nakidogo ulichonacho
@kautharjay5868 jaman but it's not ok
MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika Allah amuhidhi sheikh Nurdini Kishki
Mashallah ❤
Mashaallah mashaallah ❤
Mashallah Allah akuifadh sheikh kishk
Masha halha
Mashallah mashallah
Mashallah🎉
MashaAllah
Masha Allah
Jazaka Allah khayran
Amiiiiin
مبروك يا شيخ كيشك
Waislamu inatakiwa tupendane kama hivi na laiti kama tutakuwa na upendo huu basi tutafika mbali mno.
Shkeli kwa Malaysia
Maashallah mashallah
Manshallah
Kwa kweli Sheikh kiahki ametusurprise sana katika hili.
Amechukua degree ya kwanza kimya kimya na leo amechukua Master's Allahu Akbar
Amiin yaaarabi
allah kareem
Masta iyo ni kama sifa tu sasa tusilewe na sifa muimu ni kumcha mungu inshallha
@@JumaChabanempondinho-t8y Mh
Kusoma ni vizur zaidi ili umche Allah kwa ufasaha usidharau elimu tumeambiwa tuitafite elimu kama watu wasipo soma kizazi Cha kesho kitasomeshwa na nani.mtu annwita shekhe amsomee Dua kwanini?? Kwa sababu Hana elimu tusome tusome tujuw dini yetu Kwa upana
Ungesema hivi hiyo elimu ulioipata ikusaidie katika Ibada wewe na watu wengine
Manshallah nasi tunamsubili tumfanyie tafrija
Masha ALLAH
Mashallah ❣️