MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 16/08/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Tazama kipindi cha Mshikemshike kikiwa na habari kemkem za michezo ikiwemo Vital'O kuitumia ujumbe Yanga SC kuelekea mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
    Coastal Union ipo tayari kuivaa FC Bravos kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

КОМЕНТАРІ • 9

  • @user-th4gk9yk7g
    @user-th4gk9yk7g 25 днів тому +1

    Asante azam mushike mushike ni makala bora kabisa

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 25 днів тому +1

    Mwenzako msemaji wa Azam alisema wataenda kuwaonyesha watu panapo vuja. Akaishia kichapo cha 4-1. Sasa wewe unafata 🇹🇿🔰✔️

  • @erickmedard7931
    @erickmedard7931 25 днів тому

    Nakubali sana AZAM TV

  • @RafikiSumka
    @RafikiSumka 25 днів тому

    Kuchukua inawezekana yanga Nia tunayo uwezo tunayo kazi ni Moja TU kuchukua ubingwa wa africa

  • @mohamedrashidi4172
    @mohamedrashidi4172 25 днів тому

    Namuomba sana mung vitalo washinde

  • @AmiduJohn-b1x
    @AmiduJohn-b1x 25 днів тому

    Nakupa

  • @MichaelRobert-l6w
    @MichaelRobert-l6w 25 днів тому

    Naitwa Michael Robert mimi nimshabuki wa Simba ila rimu zetu babo inatakiwa tukaze

  • @AnoliasiKope
    @AnoliasiKope 24 дні тому

    Yanga mchukue ubingwa naacha ushabiki mm

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 25 днів тому

    Ndugu mtangazaji hiyo mi Milioni unayo itangaza ndiyo unazidi kumchanganya Magoma na kutembeya na mafaili yake ya Yanga maana atazidi kudata