Alhamdulillahi,tunakushukuru kwa kutujuza sheikh wetuTukithirishe kuwaombea dua ndugu zetu Wapalestina.Allah ni muweza wa kila jambo.Kuna Waislam wengi Hawajui mambo kama haya yanavyokwenda.Shida ya masheikh wetu wengi wanaona mambo kama haya si mambo yanayouhusu Uislamu.
Ust mm nakuelewa ndg yang vita hv ndo vimenijulisha wanayoyaficha vifuan mwao hakika ukiona mtu anafurahia mauwaj ya Gaza . Jua tu tatzo lao ni chuki dhidi ya uislamu.
@@annasolomon9855 kwani wadhani hata wakikutana ndio vita vitakwisha,wewe hufatilii mwenzangu hapa issue ni kumaliza viongozi wote wa Hamas na kama wangetaka vita kuisha basi wasingemuua Ismail Haniya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kinacho fanyika sasa hivi duniani ktk nchi za magharib ni chuki kwa waislam na waarabu na wageni kwa ujumla hata kama huko Africa kuna watu wana waona mayahudi na wazungu ni watu wa maana kwao wasubiri waone kinacho endelea ..
Inawezekana Inazingatia mambo mengi inawezekana hata rafiki yake Urusi kamshauri asubiri kwanza.Lakini pia Iran anawezakutumia kutolipiza kisasi kama msukumo na shariti la kuitaka Israel Isitishe mauaji ya Wapalestina.Pia kumbuka Iran Iko peke yake wakati Israel Iko na Ulaya,NATO na Marekani
Wapezi wa palestine dondosha like yako hapa🇵🇸🫶
ALLAH ATALETA NUSURA KWA NDUGU ZETU WA PALESTINA
ALLAH AJAALIYE MAMUFTY DUNIANI NZIMA WATANGAZE JIHADI ZIDI YA WAISRAIL AMIN
Subhana Allaha 😭 yaraby tuna kuwomba 🤲 wape nusura dungu zetu hawa wa palestina 🇦🇪🇦🇪
Alhamdulillahi,tunakushukuru kwa kutujuza sheikh wetuTukithirishe kuwaombea dua ndugu zetu Wapalestina.Allah ni muweza wa kila jambo.Kuna Waislam wengi Hawajui mambo kama haya yanavyokwenda.Shida ya masheikh wetu wengi wanaona mambo kama haya si mambo yanayouhusu Uislamu.
Ndo nikikuwa naisubiri❤❤❤
Hamas wasi kubari marekani wanataka hamas waji sahau alafu walete ma shambuliz
Makafiri wote lao moja,waislam ubinafsi kiburi ubaraka dharau kujiskia bora kudharauliana,kudharau amri na suna za uislam
Tunaomba .muunge group la michango mtupe link tuchangie wapalestine sie wengne hatujui tudonate vp kwenye clip za wachangiaji wanaotushaur kuchangia
Ust mm nakuelewa ndg yang vita hv ndo vimenijulisha wanayoyaficha vifuan mwao hakika ukiona mtu anafurahia mauwaj ya Gaza . Jua tu tatzo lao ni chuki dhidi ya uislamu.
Allah arinde wa Palestine na utawara wakishetani wakizayuni waraniwe
Basi wao ndo wabaya Hamasi , Basi waendelee kufa 😂😂
@@annasolomon9855kama huelewi kaa kimya wewe usie kuwa na huruma
Nibora wamefanya lamaana
Usiseme ni Bora Hamasi wapo chin ya mahandaki lakini wanaokufa ni raia😂😂 et unasema ni bora😂😂
Huo ni mtego wa kumshika kiongozi wa Hamas,Sinwar
Sio mtego watu wanakufa tofauti na Hamasi unasema mtego.. mfyuu watu wengine bana kwa hio unataka wengine waendelee kufa??
@@annasolomon9855 kwani wadhani hata wakikutana ndio vita vitakwisha,wewe hufatilii mwenzangu hapa issue ni kumaliza viongozi wote wa Hamas na kama wangetaka vita kuisha basi wasingemuua Ismail Haniya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kinacho fanyika sasa hivi duniani ktk nchi za magharib ni chuki kwa waislam na waarabu na wageni kwa ujumla hata kama huko Africa kuna watu wana waona mayahudi na wazungu ni watu wa maana kwao wasubiri waone kinacho endelea ..
Kabisa kaka
Irani hawez tena kulipiza kisas maan muda ushakuwa mkubwa
We nimuongo kesi haijawahi kuoza
NISWAALA LAMDA TU SUBIRI MTEGO UNAWEKWA SAWA
KISASI LAZIMA WALIPE HATA KAMA KWA KUITUMIA HAMAS AU HIZBULAH
Inawezekana Inazingatia mambo mengi inawezekana hata rafiki yake Urusi kamshauri asubiri kwanza.Lakini pia Iran anawezakutumia kutolipiza kisasi kama msukumo na shariti la kuitaka Israel Isitishe mauaji ya Wapalestina.Pia kumbuka Iran Iko peke yake wakati Israel Iko na Ulaya,NATO na Marekani
@@salumhassanallymkurdistan7006Sasa watalipia kisasi wakati Israel ukifanya hata shambulio Moja tu lazima wakinukishe 😅😅