Ihefu SC 1-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League - 13/04/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 122

  • @allenjkatabazi4320
    @allenjkatabazi4320 6 місяців тому +3

    Unyama tuuuu!

  • @MagdalineKwezi
    @MagdalineKwezi 6 місяців тому +3

    Oooyee Simba jamani,Hivi leo kama hamngepata penalty,ina maana mngekuwa mmefungwa?

  • @scopy0428
    @scopy0428 6 місяців тому +4

    Jaman mkikutana na Mashabik wa Simba msiwatanie maana kwa sasa wanapitia kipind kigumu sana

    • @RICHARD-bg1fx
      @RICHARD-bg1fx 6 місяців тому

      Tutawatania hadi wakome kudadadeki zao 😂😂😂😂

    • @thadeusmarkiminja2282
      @thadeusmarkiminja2282 6 місяців тому

      Yanga pia walipitia walijiona kuwa ni miungu acha wachanwe.leo kwako kesho kwangu.lakini ni mpira na utani tu tusiumizane.

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @bhokeyakobo5923
    @bhokeyakobo5923 6 місяців тому +1

    Asante ihefu

  • @mussansoleziplutnumz2097
    @mussansoleziplutnumz2097 6 місяців тому +1

    Mzingaa unajua sana

  • @BrazaVille-we1hs
    @BrazaVille-we1hs 6 місяців тому +15

    Nimeinyaka juu Kwa juu Leo wakwanza😂😂.

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 6 місяців тому +1

      Faida yake ni nn??

    • @ashelimwamlima602
      @ashelimwamlima602 6 місяців тому +1

      Nawashangaaga kwel kwel ukiwa wakwanza na WANAOOMBA LIKE faida yke n nn sijui like zinawalipa
      Utasikia "ninekuwa wakwanz Naombeni like zang"

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 6 місяців тому +2

    Tunaipenda Simba yetu mpaka mwisho ila mabadiliko lazima niupepoflan tunapitia

  • @MussaSongo
    @MussaSongo 6 місяців тому

    Huyu fred ni ngombe Anamosa goli yeye na goolkiper

  • @ashelimwamlima602
    @ashelimwamlima602 6 місяців тому +2

    MTUACHE MPAKA TUFENAYO
    "SIMBA nguvu moja"

  • @GervasMwageni
    @GervasMwageni 6 місяців тому

    Mko sawa na ihefu

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 6 місяців тому +1

    Mbn simba inacheza vizuri tu inatengeneza nafasi vzr tu😊

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому +1

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

    • @dengahmediatz1230
      @dengahmediatz1230 6 місяців тому

      @@IvanChrisantus ila sportpesa anaipenda sio

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      @@dengahmediatz1230 inawezekana huwez tofautisha tofauti ya chata ya sportpesa na m-bet

  • @IsayaKisyeri
    @IsayaKisyeri 6 місяців тому +1

    Walikua na mategemeo ya match hiii na ya tarehe 20 kuweka mategemeo yao ya ubingwa Sawa je na tarehe 20 wanaham ya point 3?

  • @tmcproduction123
    @tmcproduction123 6 місяців тому +1

    Simba inatia huruma

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 6 місяців тому +1

    Jamani mashabiki wa Simba tunateseka sana

  • @TabithaLeonard-qk9zw
    @TabithaLeonard-qk9zw 6 місяців тому +1

    Tunaoteseka ni sisi mashabiki😢

  • @IsayaKisyeri
    @IsayaKisyeri 6 місяців тому +1

    Lowest team lowest expectations

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 6 місяців тому +1

    Simba mavi mbovu uyo tajiri wa Simba jiandae kula hasara kwa timu hii

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @JosephCharles-b8b
    @JosephCharles-b8b 6 місяців тому +1

    Bora trh 20 msipeleke timu uwanjani maana kipigo cha Mbwa koko kinawahusu kumamae

  • @abdallahkuga6443
    @abdallahkuga6443 6 місяців тому

    nikweli

  • @EliahKayombo
    @EliahKayombo 6 місяців тому +1

    Wana simba tusife moyo mchezo wa mpira una matokeo katiri sana

    • @anifasekumbo9273
      @anifasekumbo9273 6 місяців тому

      UMEONAE WANAPENDWA WAKIFANYA VIZURI TU BINADAMU NOMA SANA

    • @HidayaNaseeb
      @HidayaNaseeb 6 місяців тому +1

      Ndo Kila siku sasa

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 6 місяців тому +2

    mpeni miquson muda mrefu uwanjani jamani ana mavituvitu hamjamjua tuu

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @HamisiMilaji-e1u
    @HamisiMilaji-e1u 6 місяців тому

    Aatari

  • @EliahKayombo
    @EliahKayombo 6 місяців тому

    Poor marking ya back ndio furaha ya igefu bado wanakaba kwa nacho

  • @chukialberto4659
    @chukialberto4659 6 місяців тому

    Naona Simba ameanza kutengeneza ushemeji na Ihefu kimyakimya😂😂😂😂

  • @Hibernation-2008
    @Hibernation-2008 6 місяців тому +1

    Simba hii mechi ya yanga utashangaa inashinda dabi haitabiriki

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 6 місяців тому

    viongozi simba ndio shida unamwacha phiri, baleke hao walioletwa hawana kiwango hata nusu hawafiki kitu kingine kocha aliyeletwa falsafa yake ni kulinda kuliko kushambulia halafu unamlazimisha afundishe mpira wa pasi fupi fupi hamna kitu hapo, mpaka leo haijulikani kwanin mgunda hayupo kwenye benchi la ufundi na ujinga wa kufanya pre season nje ni upumbavu maana hiyo hela ingetumika kuongeza muda wa pre season na pre season ingefanyika hapa hapa kwa ujumla simba haina mikakati wala mipango

  • @covertv8081
    @covertv8081 6 місяців тому

    Hii ndio simba 2nayo ijua

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 6 місяців тому +1

    Bila penalty awashindi

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

    • @abdallahal-khaify
      @abdallahal-khaify 6 місяців тому

      Umekosa la kusema ndugu!! kwani haikuwa penalti? kama ingekuwa penalti ya kugaiwa ndo ungestahiki kusema maneno hayo .

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 6 місяців тому +1

    Simlikuwa mnasema et lhefu mnawaweza sasa kiko wapi 😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅

    • @MussaRasul
      @MussaRasul 6 місяців тому

      Ihefu leo Katoa droo ndio ushindi kwake aende akatambe utopoloni huko

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm 6 місяців тому

      Tar 20 madunduka poleni 5g tena

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi​@@MussaRasul

  • @JustineKimaro
    @JustineKimaro 6 місяців тому

    wew benchika mpira ndio umeisha hivyo uondoke na wenzio unabak kwenye benchi ngoja taree 20 ifike yan ww chakufanya anza kukunjaga nguo ujiandae kwa safar maana tare20 kama sio 5 ni 8 na hilo litimu lenu

  • @AmidaMangota
    @AmidaMangota 6 місяців тому +1

    Je yani mpka msemeeee😂😂😂😂😂

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @rechalbarama6758
    @rechalbarama6758 6 місяців тому

    Sidhani kama ally salimu anafiti sana kwa sasa bado tunamuhitaji kipa mmoja wa wa kulizoea lango sijajua ni nn kocha anawaza ila makipa kila siku kubadilishwa si sawa

    • @ShabanKaimba
      @ShabanKaimba 6 місяців тому

      Simba tinaweza tu na subira❤❤❤

  • @JustineKimaro
    @JustineKimaro 6 місяців тому

    oooooh ihefu watoto haya sasa mnafungwa na watoto aise tatizo mnaongea mpaka mnajimaliza muege mnaeka akiba ya maneno kula chuma hiyoooooooo meche ya kiume kesho mwananchi

  • @dicksoncyprian9511
    @dicksoncyprian9511 6 місяців тому

    HUYU KEVINI NASHONI ASAJILIWE SIMBA ANAJUA KUKABA

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 6 місяців тому

    Saivi simba hataukiibeba haibebeki jamani timuyetu

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 6 місяців тому

    HOVYO HOVYO kabisaaa

  • @ChristianSamwel
    @ChristianSamwel 6 місяців тому

    Ukibebwa bebeka simba nguvu moja

  • @KawangaHamza
    @KawangaHamza 6 місяців тому

    tupo na simba etu

  • @naomimbise-zp1xm
    @naomimbise-zp1xm 6 місяців тому +1

    Penalty omewabeba😅

  • @mathiasmakeja217
    @mathiasmakeja217 6 місяців тому +1

    Hahahaha simba tukaoge maji ya mukuyuni

  • @onlinecomedy8420
    @onlinecomedy8420 6 місяців тому

    Uchawi upo daah😂

  • @IslamuMasudi
    @IslamuMasudi 6 місяців тому

    Simba tumefeli

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 6 місяців тому

    Kila siku nyie mnafunga kwa penati😂😂😂😂

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 6 місяців тому

    Mrejesheni boko hatuna no 9

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 6 місяців тому

    nguvu moja ila duh kocha kiukwer anavunjika moyo

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

    • @ocaml8698
      @ocaml8698 6 місяців тому

      Kocha hana mbinu za mchezo, ameshindwa kuwatumia vzr wachezaji alionao.
      Huyu kocha akifeli plan A ustegemee ushindi na ndy maana akipata goli sub zake mara nyingi ni ulinzi hana mbinu zaidi ya ku defence.
      kwhy timu pinzani zikiweza kuzuia muda mrf na wakapata goli, inaharbu mipango yake na hana mbinu ya kutegua mipango ya mpinzani, ndvyo alivyo. Fuatlia michezo yake utaona hili, si Simba tu hata huko alikopita yupo hvyo.
      Tunafumbwa na profile kubwa aliyonayo lkn ana shida huyu kocha hana mbinu nyingi.
      Kumbuka mechi ya Yanga na usm Alger hapa bongo na kule kwao utaona hili, usm Alger na Al Ahal alifunga moja akapaki bus, angalia game za mapinduz Zanz na hata hapa hiz za ligi hasa zile zenye ugumu wa matokeo utaona hayo, huyu ni tofauti na Nabi na hata Gamond.
      Hana mbinu zaidi, ameshindwa kuwatumia vizr wachezaji alionao.
      Na atabakia sana viwanjani baada ya mechi😂😂

  • @JustineKimaro
    @JustineKimaro 6 місяців тому

    mishabiki ilivyo shabikia kwani mlijua mtafunga tena

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 6 місяців тому

    Mnatia huruma,tarehe ishirini je?????🤣🤣🤣🤣🤣 Goli nanee

  • @OswardDanielSahali
    @OswardDanielSahali 6 місяців тому

    Huy mtangazaji ni mnyama kabx

  • @admirabisikiduduye1516
    @admirabisikiduduye1516 6 місяців тому

    Huku ndio kukata pumzi

  • @noelkaale5952
    @noelkaale5952 6 місяців тому

    Simba hii mbovu kabisa hata inabow

  • @amirikiponda3993
    @amirikiponda3993 6 місяців тому

    Subirini tarehe 20......😂😂

  • @rajabukalenzo1636
    @rajabukalenzo1636 6 місяців тому

    MO ARUDI KWENYE KITI CHAKE.

  • @Liy-ou6fz
    @Liy-ou6fz 6 місяців тому

    Utopolo mnaowasema wana simba mmejisahau sana tuachie hapo😂😂

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

    • @JohnsonMartin-cb5ru
      @JohnsonMartin-cb5ru 6 місяців тому

      @@IvanChrisantus inaaashiria nn

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      @@JohnsonMartin-cb5ru " sexual immorality ( especially sexuality, homosexuality and devil worship " , soma kitabu Cha ufunuo sura ya 12 na 13 utaelewa zaidi.

  • @FranciscoMichael-xi3ms
    @FranciscoMichael-xi3ms 6 місяців тому +1

    Wabovu san makolo

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 6 місяців тому

    Simba ipumzikee tu sasa 😂😂😂😂😂 mbovu ipelekwe gereji

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 6 місяців тому

    Rahaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @Ambwene
    @Ambwene 6 місяців тому +1

    BONGOZOZO ANATIA HURUMA 😂😂😂😂

  • @dicksonmakunenge4614
    @dicksonmakunenge4614 6 місяців тому

    Ukuta wa yeriko

    • @Shekhkisofa
      @Shekhkisofa 6 місяців тому

      Simbaaaaa wabov San sisi kamamashabik tunaumia simbaaaaa inacheza kamahawatak

  • @IsabelaConstantino-ns7kx
    @IsabelaConstantino-ns7kx 6 місяців тому

    😂😂😆😆

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 6 місяців тому

    Timu mbovu hii kweli kweli hakuna timu inayodharaulika kama hii.. usajili WA kijinga kijinga matunda yake HATUCHUKUI UBINGWA na kufungwa kupo pale pale tu zeni maneno yangu mutakumbuka

  • @faidha23
    @faidha23 6 місяців тому

    😂😂😂😂 washashona vijora Makolo

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @JacksonNikodem
    @JacksonNikodem 6 місяців тому

    Simba saivi sokit niyakuua wat kwapulesha 2

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 6 місяців тому

    Ihefu wamefunga Gori la uwezo sana

    • @LabaniAkyoo
      @LabaniAkyoo 6 місяців тому

      Kama Wana uwezo wangefunga la pili,utopolo wee

    • @kimbolly1329
      @kimbolly1329 6 місяців тому

      ​@@LabaniAkyootunakuona wew mweny uwezo umefunga la pili kolomelody mkubwa wew

    • @eliuskamwelwe1018
      @eliuskamwelwe1018 6 місяців тому

      @@LabaniAkyoo Aya mama

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 6 місяців тому

    Fabrice ngoma linakimbia kama halitaki sijui kwann wanaling'ang'ania kila siku jinga hili kila siku halikabi na ndio kazi yake daaahhh taka taka hii

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf 6 місяців тому

    KULA CHUMA ICHO MNAJUA SANA KUROPOKA NCHI NZIMA MKAOMBE RADHI KWA MANGUNGU TRY AGEYN

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @FRANSISCOSANGA
    @FRANSISCOSANGA 6 місяців тому

    tutafanya nini jamani timu yetu tupo bado pamoja ila tuombe tu viongozi wafanye mabadiliko yenye tija

  • @contawarmohamed6227
    @contawarmohamed6227 6 місяців тому

    😂😂

  • @IvanChrisantus
    @IvanChrisantus 6 місяців тому

    Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

    • @FredyMichel-b8j
      @FredyMichel-b8j 6 місяців тому

      Tumia akili ni chater ndo inacheza 😂

  • @omaryndeu2577
    @omaryndeu2577 6 місяців тому

    simba wako f

  • @FestoKomba-v4b
    @FestoKomba-v4b 6 місяців тому

    Simba hao wachzaji ni wazeee

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 6 місяців тому

    Mnyama ameoza😂😂😂😂😂 mtajiju mbwa nyie

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 6 місяців тому

      NGURUWE MLA MIHOGO WEWE UMEOTA CHOGO 😂😂😂😂😂 MACHOGO FC

    • @JeskaPatrobass
      @JeskaPatrobass 6 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 6 місяців тому

    Wakundu wa msambiazi

  • @AmidaMangota
    @AmidaMangota 6 місяців тому

    Wachezaji awajuii konga wanampa kibarua kizito iyo simba hata aje mocha gang mutampa lawama

    • @selemanmaganga-le4zg
      @selemanmaganga-le4zg 6 місяців тому

      Duuu!?🤭 Konga na mocha ndio nini?😮

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 6 місяців тому

      ​@@selemanmaganga-le4zg😂😂

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 місяців тому

      Adi muondoe iyo chata ya m-bet kwenye jezi zenu , iliyo mfano wa nyoka na namba 666 , Yeshuah hapendi

  • @HabibaPukwa-xm4to
    @HabibaPukwa-xm4to 6 місяців тому

    Benchika aligom kutoka uwanjani

  • @MkwaleSh
    @MkwaleSh 6 місяців тому

    2𝕞𝕖𝕡𝕚𝕘𝕨𝕒 𝕒𝕡𝕠