NDOA YAKWANZA ILIYOVUNJA REKODI DUNIANI ABUU & ZAINABU ITATAZAMWA NA WATU MIL 10

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 265

  • @FloraFales-ui9cp
    @FloraFales-ui9cp Рік тому

    Ongeleni sana mwenyezi mungu hawalinde, napia mkumbukeni sana mungu latina ndoa enu. By flora

  • @efrasiabosco4661
    @efrasiabosco4661 Рік тому +7

    Mmependeza. Sana tunawatakia kila laher ndoa yenu iwe na aman

  • @geofreyg.mtensa4559
    @geofreyg.mtensa4559 2 роки тому +2

    Nice niwapongeze, wanandoa, apo wamekosa wimbo wa injili kwa ajili ya baraka zaidi, Mungu awabariki

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 роки тому +4

    ongera sanaaa"ndoa yenu ikawe nafraha nabaraka teleee🌹🌹🌹

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 Рік тому +4

    Mashallah jina la mama angu zainabu na baba angu abubakari jamani nawatakia kila rakheri,

  • @jpofficiallytv6094
    @jpofficiallytv6094 2 роки тому +6

    Waoooo ni Moja ya hatua zainabu , ila nimesoma naye shule Moja

    • @nurinramak522
      @nurinramak522 Рік тому

      Nmesoma nae kazima secondary tabora😊

  • @chamillairakoze6465
    @chamillairakoze6465 2 роки тому +3

    Hongereni maharusi ❤️❤️❤️💃💃💃💃

  • @totooz5853
    @totooz5853 2 роки тому +7

    😂😂😂😂😂camera man mbiguni uendiii...yni wachukua hyo mama mwenye makeup ya uso tu kila atakapoenda

  • @salhachumi1814
    @salhachumi1814 Рік тому +3

    Maharusi hongereni Ila alomlemba huyo mama mapodaaa ana balaa

  • @janethmoshi5608
    @janethmoshi5608 2 роки тому

    Alie mpka mek up jamn ajuwii usoni namikono tofauti kbx uxo umempodoa sana. Weeh, !!

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 Рік тому +1

    Naombeni nielekeze hiyo saloon 🤣🤣🤣🤣

  • @LyidiaCharles-kl8kg
    @LyidiaCharles-kl8kg Рік тому +1

    Mungu away baliki

  • @upendodagras6603
    @upendodagras6603 2 роки тому +11

    Kuna mekap nimeiona duuuuuh mpaka mwenyew kakimbia🤣🤣🤣🤣

    • @peaceisrael8158
      @peaceisrael8158 2 роки тому

      Hata mimi nimeiona nikaishangaa

    • @ashabually9313
      @ashabually9313 2 роки тому

      Sio makeup hao wa Comoro wanaita lies ndio wanavyopaka

    • @sama0365
      @sama0365 2 роки тому

      Umeona pia ehh

    • @HASASON
      @HASASON Рік тому

      @@ashabually9313 wa Comoro wa Kigoma? 😂😂😂😂

    • @Fatmarajab1175
      @Fatmarajab1175 Рік тому

      Hiyo sio mekap ni vumbi la congo 😁😁

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 2 роки тому +5

    Duh mwenzenu mambo ya kucheza ivo mbele za watu aiseee Bora niolewe kimy Kimy t mambo ya ukumb na mahol apana kabisaa😄😄😄😄🙌🙌🙌

    • @saiditwalibu5244
      @saiditwalibu5244 2 роки тому

      We mshamba, utaweza wapi mambo haya🤣🤣

    • @mwajumsleman9070
      @mwajumsleman9070 2 роки тому

      @@saiditwalibu5244 acha niendelee t Kua mshamba😄😄😄😄jmn mie akuuu mambo mengine yanipite t

    • @Fatmarajab1175
      @Fatmarajab1175 Рік тому

      Wewe kama Mimi tu siyapendi haya mambo 😁😁

  • @chimolamchembe-vl9wz
    @chimolamchembe-vl9wz Рік тому +1

    Nakubali sanaa

  • @DerickNgowi-mf5pe
    @DerickNgowi-mf5pe Рік тому +1

    Gaun la bi harus sijalielewa na aliyemfunga lemba mmmmmh apana kwakweli

  • @NzeyimanaNadine-x5y
    @NzeyimanaNadine-x5y Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂alie mpotoa mbingu ataishia kuisikia arufu😂😂😂

  • @annamaryboniphace-et1eg
    @annamaryboniphace-et1eg Рік тому +1

    Mungu awape maisha marufu

  • @charlesrugendo9699
    @charlesrugendo9699 Рік тому +1

    Mmetishaaa

  • @khadijaibrahim5842
    @khadijaibrahim5842 2 роки тому +3

    Mashaallah 🥰

  • @AminahShabani-rq3kt
    @AminahShabani-rq3kt Рік тому +1

    Umendeza Sana 🎉

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 роки тому +6

    Hongereni wanandoa mungu awabariki katika kila hatua ya maisha yenu ya ndoa amen 🙏.

  • @DerickNgowi-mf5pe
    @DerickNgowi-mf5pe Рік тому +1

    Leo nilikuwa nasoma tuu coment sikuwa na kaz nyengine

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому +3

    Mc hongera kwa kaz yako pamoja na wajina tv

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 роки тому +3

    Mh jmn bora niwe natural jmn akuuuuu 😂😂😂

  • @radhiawarahul8432
    @radhiawarahul8432 2 роки тому +7

    🤣🤣🤣🤣Kuna mtu kapakwa mekap km kavaa mask usoni jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @newtinskitilloca7065
    @newtinskitilloca7065 Рік тому +1

    Hongera

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому +9

    Nime muona dada anamekapu hadi emsi kaipenda eti mwanamke mekapu kakimbiya uyo mwenye mekapu

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 2 роки тому +21

    Makeup artist jamani Mungu anakuona😊

  • @hashally3614
    @hashally3614 2 роки тому +5

    Makeup ni nomaa🤣 kuna moja kajipaka poda kama sicrub wasiwasi hana furaha kama yote😀

  • @aishatwaha7863
    @aishatwaha7863 2 роки тому +3

    😃😃😃😃make up

  • @happygideon4861
    @happygideon4861 2 роки тому +2

    Hii video naitazama kila sku mc nawe mbea eti sifa ya mwanamke makeup mbavu zangu jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hiyo saloon kiboko

  • @mariaissaya1460
    @mariaissaya1460 2 роки тому +2

    😅😅😅😅😅 makeup jaman.....alaf yeye mwenyew ajali Wala Nini😅😅😅😅😅

  • @julianapetro3897
    @julianapetro3897 2 роки тому +2

    Mc.amestukia hizo mekap hahahaha uwiiii

  • @BonasnsekelaBonasnsekela-ql7qn

    Bonas nsekela

  • @AraphaKusyoka-cx8wg
    @AraphaKusyoka-cx8wg Рік тому

    Mashallah

  • @SaadaMpambije-yv8jt
    @SaadaMpambije-yv8jt Рік тому

    Wakina ntumie hii video Whatsapp mimi ndo uyo dada wa wheelchair

  • @yusphbankinako9406
    @yusphbankinako9406 2 роки тому +1

    Sherehe nzur

  • @martinmussa3457
    @martinmussa3457 2 роки тому +4

    Hongera Sana mdogo angu Abuu

  • @elizabethbwakila3982
    @elizabethbwakila3982 Рік тому +1

    Mbona kapendeza tu

  • @witnessandrew5609
    @witnessandrew5609 2 роки тому +1

    Waooooow traaaaam iyoooo ongereni Sana mmependeza hatar

  • @edinakokukoku1872
    @edinakokukoku1872 2 роки тому

    Kuna sura za mekp na mekp za sura dj walete😅😅🤣🤣

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

    Duu mkp ya huyo dada hahaaaa anatisha

  • @samwa9496
    @samwa9496 Рік тому +1

    Wamependeza sana wachawi wabaya

  • @happygideon4861
    @happygideon4861 2 роки тому +12

    Hizi make up vip jamani saloon iliyompaka makeup huyo mama huendi mbinguni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣walah kamkomesha sio vizuri

    • @Johanah7721
      @Johanah7721 2 роки тому +1

      🤣😂🤣🤣🤣🤣 tena kamkomesha sana daaaa nimecheka🤣😂😂😂😂

  • @NajmaKitambulilo-bo3nx
    @NajmaKitambulilo-bo3nx Рік тому +1

    Ndoa pambeee

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 Рік тому +1

    Mumedamshi,🥰😘

  • @prettyerasto8733
    @prettyerasto8733 2 роки тому +2

    Nilichogundua hawakupakwa makeup ni foundation bila make up aisee ka nyanii

    • @Anniesoft1
      @Anniesoft1 2 роки тому

      Kwani harusi yako ? Yako nakuuliza? Waache kwa raha zao. Utamwitaje mtu nyani?

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah allah awajaalie kher ktk ndoa yenu mzae watoto wenye kher na nyie

  • @zainaseleman3043
    @zainaseleman3043 Рік тому +1

    Jaman achan kukosoa hakuna mkamilifu

  • @knowl3giy536
    @knowl3giy536 Рік тому +1

    MUNGU awabariki saana ndoa idumu

  • @rahmaomary8021
    @rahmaomary8021 2 роки тому +1

    Alie muona mtu kapaka mekapu kama kinyago anione😂😂

  • @esthermkumbo-i8g
    @esthermkumbo-i8g Рік тому

    jmn uyo dada kabila gan

  • @sharifadashina9872
    @sharifadashina9872 2 роки тому

    Ayii hahaha Good luck🤗🤗🤗🤗

  • @abdallahsaid9360
    @abdallahsaid9360 2 роки тому +1

    Hongereni Bibi na bwana harusi

  • @josephinejosephineaidan4263
    @josephinejosephineaidan4263 2 роки тому

    Hongereni maharusi ila washangiliaji Sasa izo make up vinyago tupu

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +3

    Izo mekap cio za nchi hiii wallah

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 2 роки тому

      😂😂😂😂😂😊😊

    • @faustinaurio3703
      @faustinaurio3703 2 роки тому

      Zinakaa manjano 😄😄🤔

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣 ila kwakweli 🤣🤣

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 2 роки тому

      @@faustinaurio3703 ndiyo kesha olewa lkn nyie midomo tindiga kaeni na gubu lenu nguru bangi nyie.

    • @faustinaurio3703
      @faustinaurio3703 2 роки тому

      @@gulionigulioni3234 sijasema kuhusu bi arusi wapambe walichemka hata wewe waona ngamia wewe

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 2 роки тому +4

    Mekap sio mchezo🤣🤣🤣🤣

  • @zehe449
    @zehe449 2 роки тому +1

    Ty

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 2 роки тому

    Tobaaaaa uyo mmoja jmn kajisiriba make up t

  • @marthakitinusa9696
    @marthakitinusa9696 2 роки тому

    Jamn ukumbi unaitwaje huu?

  • @dijakizanga9081
    @dijakizanga9081 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣 hyo mekap nomaaaaaaaa San

  • @florakibona8042
    @florakibona8042 2 роки тому +2

    Jaman sio kwa make up hizi kama majini 😂😂😂😂

  • @muniramtika3614
    @muniramtika3614 2 роки тому

    Kwani lazima liwipo ilo swali mmekutana wp!!? Uswahil😏😏

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 роки тому +2

    Wache wacheze kwa adabu kama walivyo lelewa wasifanye vitu vya kuiga

  • @atanaskafwimb8955
    @atanaskafwimb8955 2 роки тому

    Hongeren

  • @londzee-zt8on
    @londzee-zt8on Рік тому +1

    Google☺☺

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 2 роки тому +2

    Kwani wametoka mkoa gani jamani

  • @getrudathomas535
    @getrudathomas535 2 роки тому

    Duh hizi mecup aliyempaka Mungu anakuona

  • @aishakimaro9758
    @aishakimaro9758 2 роки тому +7

    Kupatwa kwa poda

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 роки тому

      Acheza kiruwa ngoma ya Tanga hiyo poda

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 2 роки тому

      @@fatmaalnabhani3609 vijiba vya roho nyie wasichana, nyie ni wachawi nini cha ajabu hapo wakati ndoa hamuijui na hamtaijua. Endeleeni kudanga na kuwapelekesha wajinga kwa mpalange.

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 роки тому

      @@gulionigulioni3234 mpalange labda ni wewe unafanyiwa ujinga huo

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 2 роки тому

      @@fatmaalnabhani3609 ha ha ha kwani kuna nani aliepata kilema kwa kuwaburudisha kwa mpalange? Ni kawaida mbona

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 роки тому

      @@gulionigulioni3234 Ahhh makubwa hayo jamani mbona sio njia ya kisawasawa, watu wavuja Mavi ovyo

  • @mauasalum3140
    @mauasalum3140 2 роки тому +4

    Watu wamepodoka hatr😄😄😄

  • @maimunashaban4932
    @maimunashaban4932 2 роки тому

    Duh! Kuna MTU kavaa gauni LA maua a see bora angepaka poda2 kdg

  • @minahhussein1412
    @minahhussein1412 2 роки тому +1

    Huyu aliempaka makeup huyu dada atafika mbinguni hoii

  • @mapendoimani2462
    @mapendoimani2462 2 роки тому

    Huyo jamani nani kampiga make up amekimbia mmh jamani hizi makes up ukikosea unainekana kituko

  • @neemaneema9969
    @neemaneema9969 2 роки тому +2

    Ukumbi umependeza Mashallah

    • @mohamedishemtuhu8305
      @mohamedishemtuhu8305 2 роки тому

      Uyo mwanamke ingekua Mimi nicngeoa japo nipo kininini lakini najua kuchagua

    • @mohamedishemtuhu8305
      @mohamedishemtuhu8305 2 роки тому

      Waislamu Mila zakikriso

    • @mohamedishemtuhu8305
      @mohamedishemtuhu8305 2 роки тому

      Sasa hao ni wakristo au waislamu ebu nisaidieni jamani maana majina Niya

    • @mohamedishemtuhu8305
      @mohamedishemtuhu8305 2 роки тому

      Ovyooo

    • @mohamedishemtuhu8305
      @mohamedishemtuhu8305 2 роки тому

      Inna lilahi wanna ilaihi rajium kweli niwaiclam nyie huo Sasa sio uislam jamani ndoa zetu hatuendeshi namna hiyo nendeni mkaulize wajuzi hakuna sherehe kamaizo kwa waislamu

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 роки тому +1

    jitahidi kaka utatoboa tu kusherehesha

  • @EudiaGervas-dl9sf
    @EudiaGervas-dl9sf Рік тому +1

    Vichekesho

  • @vumiliambugh1039
    @vumiliambugh1039 2 роки тому +2

    Dada apo alokupaka makeup bila shaka ni mke mwenza

  • @mamuutemu3026
    @mamuutemu3026 2 роки тому

    Alio paka awo wa dada makeup aki hii mbingu ataisikia kwa redio

  • @bonymauzo3673
    @bonymauzo3673 2 роки тому +1

    Mhmh au Ni mmmh (ex) Janama maanasiokwa makeup hiyo🤣🤣🤣🤣 jamani ye aogopi?

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 2 роки тому +1

    😀😀😀😀ms kachamba Mac up ymtu hapo

  • @marthahozza2964
    @marthahozza2964 2 роки тому +3

    Kwakweli lazima itazamwe na watu milion 10 maana makeup ina utofauti

    • @winniemboya5894
      @winniemboya5894 2 роки тому

      Kajimwagia powder 😂😂😂

    • @happygideon4861
      @happygideon4861 2 роки тому

      Alomminia mwenzie hiyo mipoda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂saluti kwa kweli

    • @hoglamumbee344
      @hoglamumbee344 2 роки тому

      Nyie mmefanya mm niangalie video nitafute poda

    • @maryhenry3698
      @maryhenry3698 Рік тому

      Makeup balaaa daaa. Mpambaji alikuwa anajifunza nn

  • @hellenbenny8913
    @hellenbenny8913 Рік тому +1

    🥰

  • @thuwaibakassimhaji3271
    @thuwaibakassimhaji3271 2 роки тому +1

    Sio makosa yake, huyo aliempamba

  • @katotoriznath6233
    @katotoriznath6233 2 роки тому

    Ndio maana sio vizur kwenda na watoto 😂😂🙈🙈

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому +3

    Hatareee sana mapouundoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jasminshemsanga8727
    @jasminshemsanga8727 2 роки тому +1

    Make up ya bibie mmmh

  • @zenabali568
    @zenabali568 2 роки тому +2

    Jamani kwani commendy -makeup ama 🤣🤣🤣

  • @solangebagal3496
    @solangebagal3496 2 роки тому +1

    Kweli izo mak up ni Noma n'a nusu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 2 роки тому +2

    Kwani wamepaka nini!

  • @Johanah7721
    @Johanah7721 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uyo mdada alifanya makusudi au maana sio Kwa iyo makeup 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tumasaid6538
    @tumasaid6538 2 роки тому

    Sherehe ina visa iyo poch aliyo beba bb harus sasa😂

  • @janenjeri427
    @janenjeri427 Рік тому +1

    Mwenye makeup kilo mbili .alisahau kupaka shingoni na mikono haaaaaah

    • @marycelestin6586
      @marycelestin6586 Рік тому

      Shoga maharus wa hvyo wny shekere ( money ) zao mjin sema hakumpaka shingon .....kibongo mpaka mikononi hzo masaki , osterbay mpnz , waachen tu binadamu hatuna dogo tunaona kasoro tu , mbona hamsifii vzr 🤔

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 роки тому +2

    Mashallah ndoa ikawe ya kheri

  • @jacklinebrightness4513
    @jacklinebrightness4513 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣hyo kweli mekup

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 2 роки тому

    Huyo mwingine kapaka scrub au

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +1

    Jamani mmeziona hizooo poda?😁😁😁😁😁😁

  • @winniemwaurah9311
    @winniemwaurah9311 2 роки тому

    Siwangeacha kujipaka ivio aki kuliko.kukaa.Kama paka

  • @rahmasalim5252
    @rahmasalim5252 2 роки тому +1

    Poda mbna imetaradadi😅😅😅🥰🥰🥰