RASMI TFF WATOA TAMKO DABI IJAYO REFA ATATOKA NJE TZ,KAMATI MASAA 72 YAMFUTA LESENI YA UREFA KAYOKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 День тому +1

    Mapendekezo yenu ni upuuzi mnataka ligi irudi ilikotoka

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 День тому +1

    So kweli wachezajiii wannee ligiii itashukaaa mazimaaa wee vipiii

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale День тому

    Hapo kwenye kukatwa point Kwa Kwa ajil ya uchaw saf
    YANGA yangu hapaa itatesekaaaa

  • @LucianaSintufya
    @LucianaSintufya День тому

    Sisi sikubali maana si mnavyombo vyenu vya habari na wachambuzi Kila Kona wanawalipa bahasha na gsm, ndiyo maana mnaitukama Simba kila mahala mbwa wakina nyooo

  • @ALOYCEATHANAS-kd8bb
    @ALOYCEATHANAS-kd8bb День тому +1

    Sasa mbna kama wanataka kuwapangia makocha kwan ni lazma watumie magolikipa wazawa

  • @yusuphmwaigomole3104
    @yusuphmwaigomole3104 День тому

    Nataka nishuhudie penye kukatwa point tatu yanga au Simba😄😄

  • @myovelayeronimocy2829
    @myovelayeronimocy2829 День тому

    Mnapokuja na mapendekezo yenu ni vyema mkafikiri kuhusu watu wanaowekeza pesa zao kwenye vilabu

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 День тому

    Wewe umeongea ujinga mtupu ..sijaona mada inayo husu marefa wala rushwa..wazamini wa team zaidi ya7....

  • @yusuphmwaigomole3104
    @yusuphmwaigomole3104 День тому

    Vijana walau wanne hampo serious kwa mechi moja

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale День тому

    Kuna Tim hazina vijana 😂😂 MNATAKA kuziuaaaaa

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 День тому

    Sasa hiyo ni tff ya madomo waandishi wa habari ili nao wapige pesa . Na mimi natowa wazo pendekezo langu wana habari watowe michango kwa TFF Milion moja kila mwana Habari hilo pendekezo langu

  • @PeterMataba-r4o
    @PeterMataba-r4o День тому

    Huyu jama ana tatizo la afya ya akili, mpira wa sasa ni biashara, nani atawekeza kwenye ujinga huo unauelezea?

  • @juniorplatnumzy1343
    @juniorplatnumzy1343 День тому

    Tunako elekea sasa ni mungu kutunusuru tuu

  • @AmbrosYohana
    @AmbrosYohana 8 годин тому

    Huyu bwege ni memkwa uelewa sifuri au katumwa

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 День тому

    Kila binaDamu Ni mshirikina. Kuna kuomba, kuamini, na kuabudu. Yote hayo ni kubahatisha. Hivi Hosipitali kubwa ya kutibu kobe ambao wanaishi Mika mingi kuliko binaDamu IKOWAPI
    ACHANA NA NENO USHIRIKINA litawaponza wejeni fini tu

  • @RashidiKiduduye
    @RashidiKiduduye 17 годин тому

    Acheni zenu bwana

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 10 годин тому

    Upuuzi mtupu sijaona ht lamaana kwahayo2 bado sana

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 День тому

    Nasemaje ha yo mapendekezooo mmechemkaaaa sio kweli hatutakiiiii ujinga wenu huo

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale День тому

    Mapendekezo ya watoto wa mtaaniii

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale День тому

    Wote mliopendekeza mlizaliwa njee ya ndoaaaaa

  • @wiliammakomele450
    @wiliammakomele450 День тому

    Mmevimbiwa matumbo jamanii

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 13 годин тому

    Mtu mmoja kudhamini timu nane mbona hujaliona au kwa vile wewe ni uto kwako halisumbuwi?

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale День тому

    Hiyo ya magol KIPA Kwan nyie ndo mnawalipa misharaaa

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 День тому

    Tunaitajiii tuongezee wachezajii wewe unapunguzaaa

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale День тому

    Makocha wazawa wa nin wana mambo ya kijingaaa sana

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 День тому

    Mapendekezo yenu ni ya kijinga mno

  • @MeshackManoja
    @MeshackManoja 8 годин тому

    Mapendekezo ya kijinga Sana pumbavu zenu kabisa