Oh nasheherekea krismasi ya kwanza duniani bila mama yangu.Mama Mungu akupee pumziko la milele na akuangazie na akuepushe na adhabu ya kaburi.Lala salama mama mzazi.Mwaka 2024
Wapendwa katika kristo kuna wimbo nautafuta nimseahau jina' je umewasikia ule mwaliko mjumbwa..usikose kufika katika harusi ile ukaone maajaabu tangu kuzaliwa kwako .ni kwaya gani wameuimba.
No man is safe for a moment without a prayer and Satan well knows that all who he will lead to neglect prayer and study of the scriptures will be overcome by his attacks.
Oh nasheherekea krismasi ya kwanza duniani bila mama yangu.Mama Mungu akupee pumziko la milele na akuangazie na akuepushe na adhabu ya kaburi.Lala salama mama mzazi.Mwaka 2024
Reminds me of my late mum,she loved the song dearly.
The old good songs with clear message.
Hawa miamba walikua hawatingishiki hata kidogo..Legends of gospels
My favorite song every day ❤❤
Natembea mimi marehemu 😢 , nifundishe Mungu wangu kuhesabu siku zangu.
what a message delivered unto us, great message for sure🙏🙏
Poleni Tanzania Kwa Msiba Wa Kariokoo.. From Kenya 🙏
Asante bana vip ivi yule jamaa wa shakahola mlishamyonga au mana alituliza machoz sana 😢😢
@@deogratiussaru3074 Hapa kenya stori kama hizo hunyamaziwa tu, zinasahaulika halafu basi, mambo yanaisha ivo
Watanzania tumesha poa
Wapendwa katika kristo kuna wimbo nautafuta nimseahau jina' je umewasikia ule mwaliko mjumbwa..usikose kufika katika harusi ile ukaone maajaabu tangu kuzaliwa kwako .ni kwaya gani wameuimba.
Hongereni Kwa kuuimba Ukweli tunatembea tukiwa Marehemu watarajiwa.
Mungu awabariki, Sana ROHO atutokee kizazi cha Leo.
Hakika hii nyimbo inanikonga moyo nataman mbingu ifunguke just yangu nikauone ufalme wa MUNGU
Continue resting in peace my grandmother 🙏
Wapeni taarifa na majengo, warecord nyimbo tunazihaji sana nyimbo zetu, kwetu sisi tulio mbali nanyi
Tuwasiliane hapa muunganochristianchoir20@gmail.com
Nabarkiwa sana na nyimbo zenu tangu 1985 nawkumbuka sana m barkiwe sana
Dah!!e mwenyezi Mungu tuepushe na mitego ya adui yetu
Asante mungu kwakutuweka kwanini sisi ninani sisi tunapita tu
Lord,will,guide,us,in,all,whatever,we,a,doing
Nmebarikiwa sana
Never pull down this song again. We've searched it everywhere
Amina
Mbarikiwe sana
Hakika Mungu ni mwema sitakuacha
No man is safe for a moment without a prayer and Satan well knows that all who he will lead to neglect prayer and study of the scriptures will be overcome by his attacks.
Sorry to those who have lost their loved ones 😢😢😢😢😢
Oooh hallelujah 🙌
Nabarikiwa sana ❤❤❤❤
AMEN
Kwaya za Zaman ni nzur mno hakika mwanadamu si wakudumu
good memories never fade
Kweli tunatembea tukiwa marehemu
Kweli Mungu yupo
Aaaaameeen
Nakumbuka sauti ya Kenya kbc wakati ule wa akina Salim manga,Gladys obege na wengineo.huu wimbo ulivuma
Nice one
Blessings forever.
poleni sana Tanzania kwa msiba wa karioko
Asante mtumishi
Wimbo nzuri sana mbarikiwe
Yaani Mimi ndio nakuanga kama wazimu ninaposikia hizo sauti zenu
Ak mungu awabariki Sana
Nasikia Niko home ❤
2024
Ameni
Mbarikiwe sana wapendwa
Barikiwa pia
Good song
Mnakuanga kama wasimu nilisikia hizo sauti kwani mlitoka wapi ninyi watu wa muunga o na sauti ya jangwani? Mnanitia wazimu kweli
Mpo mkoa gani tanzania?? ❤
Simiyu