Ndo kawaida ya makolo kujisifu et wameiba mchezaji😂😂😂 kama ngoma tulipo mkataa na azam wakamkataa wao wakamchukua wakajiona wajanja kumbe wenzao waliona mbali waendelee hivyo hivyo sis tunawajaza tu wao wanaingia mkenge yaani nafurah hoya makoro tunamtaka jobe msimwache tutamchukua
Kiukweli yanga wakifanya .aboresho watatisha sanaa
Ally Kamwe, nyamaza uwafanyie supplies 😅
Ndo kawaida ya makolo kujisifu et wameiba mchezaji😂😂😂 kama ngoma tulipo mkataa na azam wakamkataa wao wakamchukua wakajiona wajanja kumbe wenzao waliona mbali waendelee hivyo hivyo sis tunawajaza tu wao wanaingia mkenge yaani nafurah hoya makoro tunamtaka jobe msimwache tutamchukua
Yytttttttyygyttyygytygggttttgttg
Bado hawajasema kaka. Mwakani ndo wataijua yanga nitim ya ainagani
Kwahiyo wao kutafuta mchezaji hawawezi wanavizia wachezaji wa YANGA??!
Huyo mchezaji anayeviziwa atakuwa hajitambui
Hao ndo madunduka wazee Airport
Hakuna ubishi yanga kweli ni ya kimataifa
Kwahiyo mwatatu bin mwakalobo hamuwezi kwenda kutafuta wachezaji mnasubiri pale uwanja wa ndege kuvizia wanaoletwa na yanga ??
Makolo bwana
Makolo washaanzaaa
Mda wa kulala wafungwa anachambua, duuu baba levo balaaa.
2:01
Uyo kagoma kweli tulimtaka
We kiongozi ?
Matak wew
Kila mwaka ooh tumeibiwa! Pumbafuu zenu hiyo staili ya zamani!!
Nyie okoteni matapi Aya kumi Zina kuja
Okoteni mavimavi mtakura kumi
Hao ndo madunduka wazee Airport