The only legend in gospel who has managed to compete with all generations and still outshines them@malkia Rose muhando big up mamaaa💪💪💯#akika Mungu Ni mwema#TRM
Barikiwa sana mtumishi kwa Utumishi wako mwema. Mungu Jehovah ahimidiwe milele kwa wema wake, hata Mimi ameniamsha tena. Lihimidiwe jina lako Jehovah, Niko ambaye Niko
Aaaaaaaaah Rose, mimi sijajuwa kwa maneno gani niseme vile ninavo kupenda nahuduma hii ya nyimbo. Nakupenda saana, napenda nyimbo zako saaana. Ziko kwa mstari wa kwanza Kati ya zote ambazo nimesikiya. Mungu akubariki tena zaidi. Pia akulinde
Nimesema comment yan mko wengi mliokuwa wa kwanza bas na mim ni WA kwanza 😂 nipen like that way we love our beloved mom, sister, rose Muhando East Africa is watching 💕
Aliye itwa na Mungu na akaitika katika roho na mwili kuifanya kazi ya mwenyezi Mungu, barikiwa sana dada my prayer siku moja nikutane na wewe kawa neema ya mungu
Tunaomkubali rose Toka 2005 tujuane hapa❤
Ni mamangu saidi ya yote
Hapa
Nakupenda sana Mama nyimbo zako zimebadili maisha yangu na zinanibarik mpaka Leo love 💖 you Rose muhando Mungu akuinue viwangi vya juu zaid
Am the first nkikumbuka nipshe nipite nkiwa class 3
Hiyo miaka ndo tushafikia kweli... anyway namkubali sana
First to comment..wapi likes za rose muhando from kenya
WHAT A POWERFUL SONG....ROSE MUHANDO TO THE WORLD
Wow 🙌🏽🫡✝️ Wastahili sifa
Great wewe ni mwema kwetu Mungu wetu wastahili sifa na utkufu kweli wakenya mkono juu to show love🇰🇪🇰🇪🇰🇪
First one to comment... keep it up Rose Muhando...Moto kama pasi 🔥🔥🔥
Mtu wa kwanza kuwachiya comment kwenye WIMBO wa MAMA YANGU Rose
Tuko wengi.
Hii ni mwimbo ni moto needs a video 🔥🔥🔥
Hallelujah!!!!! TUMWIMBIE HUYU MUNGU JAMAAANI...... HALLELUJAH
woow, halleluya wastahili sifa Yahweh,all from Kenya,ur music is always a gem 💎 and vibe....likes🫂🫂💯💯💥💥👏👏🙏🙏🎶🎶💕💕
The only legend in gospel who has managed to compete with all generations and still outshines them@malkia Rose muhando big up mamaaa💪💪💯#akika Mungu Ni mwema#TRM
Watu wa DRC CONGO 💯K Tufikishe Leho WIMBO MUKUBWA ƙwakweli❤
Wastahili sifa yesu wewe ni mwema 🎉🎉🎉baraka Baraka dada rose 🌹🌹🌹💐💐
Almost A Million Subscribers 🎉🎉🎉 yeeeeeey Team Rose we are proud of you mummy ❤❤❤❤❤❤❤
Hakika hujawahi kosea Dada angu nakuelewa mnoo Mungu azidi kukutunza na kukutumia siku hadi siku Dada
From Kenya we are happy🎉❤❤Wastahili sifa🎉
I'm happy to be the first to comment ❤ Mapenzi tele Dada Rose ❤
Wow mamangu 🎉🎉🎉 what a wonderful song anasitahili sifa mungu wetu hallelujah ❤❤❤❤❤
Receive more powerful amen
Ooh this woman was born to sing..i love her so much..R.M keep on ministering the word of GOD 🙏🏾
Hakika Mungu ni mwemaa💖💖💪
Unakosaje hapa bravo dada yangu 🙌🔥
@@WiselightOfficial Aminaaa
Wow nice one keep it up mum❤❤❤❤
Vinanda vinavoliaa kama ac kwaya 💥🙌
Namkubali sana mama japo nimeanza kumjua karibuni lakini nyimbo zake nyingi zanifariji sanaaa❤❤❤mom
Amen much love from 🇰🇪 keep going 🎉
❤ kenya 🇰🇪 😍
the Queen of Gospel never disappoint👏👏👏
Happy for you Rose, May God continue blessing your ministry. Amen
Wow!!!!! I'm waking up dancing already!!❤, Yesu ni mwema! Anastahili sifa!!❤
This must be a great video. Looking forward!!
Wewe n mwema baba the hit mum likes nipewe from kenya
Barikiwa sana mtumishi kwa Utumishi wako mwema. Mungu Jehovah ahimidiwe milele kwa wema wake, hata Mimi ameniamsha tena. Lihimidiwe jina lako Jehovah, Niko ambaye Niko
Hoyeeee💪💪💪💪Nice one🔥🔥🔥🔥
Congullations Rose nakubali sana💪💪💪💪💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Atambe kote dunia imjue Mungu,mamaa nakupa pongezi
Always my number 1,hope siko pekeyangu ❤
Tuko wengi dadaa..
Ooh yeah she(R.Muhando) my mentor may God use her more and more
Aaaaaaaaah Rose, mimi sijajuwa kwa maneno gani niseme vile ninavo kupenda nahuduma hii ya nyimbo. Nakupenda saana, napenda nyimbo zako saaana. Ziko kwa mstari wa kwanza Kati ya zote ambazo nimesikiya. Mungu akubariki tena zaidi. Pia akulinde
Hallelujah...Mungu azidi kubariki Mtumishi wake.
Wimbo mzuri
God's time is the best what a wonderful song mum l am now eagerly waiting for the video for this nice song all the best l love so much mum
Barikiwa sana dada
Baraka tele.., unabariki Mioyo zote.., ashukuriwe mungu kwa ajili yako.
Regardless of not understanding the language but this lady is taking my soul to paradise.
Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza malkia ,mama wetu wa nyimbo za injili.wakenya tunakupenda sana
Nimesema comment yan mko wengi mliokuwa wa kwanza bas na mim ni WA kwanza 😂 nipen like that way we love our beloved mom, sister, rose Muhando East Africa is watching 💕
❤❤❤❤ embarambamba from kisii Kenya
Tuimbe sisi sote❤
Love it mamaa ever blessing me nakupenda bure,Mungu wangu akupe hekima zaidi
Malkiah forever ❤❤❤❤❤ . Kenya kama kawaida status tuingie nayo nayo
Aliye itwa na Mungu na akaitika katika roho na mwili kuifanya kazi ya mwenyezi Mungu, barikiwa sana dada my prayer siku moja nikutane na wewe kawa neema ya mungu
Mimi ni Toka 2000 basi she is my mentor....I like her songs zanibariki sana
Waaaapi video wuuueeeh....this will kill us ooohhh!!@😅 queen of gospel music
Mungu akubariki dada rose muhango kilamara tunakufwuata pia tunakupenda endea kumwabudu mungu
Rose,may God bless you with search a good song from diz side 🇰🇪
Great gospel singer EA and Central. A🔥🔥🔥🔥🔥
Congrats on 1 million subscribers Mama Rose Muhando
What a blessing to Africa.....may God be with you always
Asante kwa tungo nzuri,unainua moyo,Maulana akubariki daima.
More blessings mun rose muhando
Gospel Tigresssss!! Much love 💕💕💕💕 Rose 🌹🌹🌹🌹
Love you from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah 🙌🙌🙌.wimbo mzuri kweli
❤❤❤❤Wow 😍 😍 🎉🎉boom so fire 🔥 🔥 🔥
Your talent is used and God bless you and your family in the name of Jesus Christ Amen
Here enjoying it from ug🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Queen 👑 on air,Love nyingi sana kwa Rose mgando hakuna wa ku competite naye aisee
Ukitoa video ya huu wimbo Rose ..hii itaenda 🔥🔥❤️❤️❤️
The best gospel artist in East and central Africa
Singing is inborn to u
God raise you forever
........
Wewe nimwema wastahili sifa,,,mungu wangu wewe mkuu kweli
Nakukubali sana kazi yako ni nzuri sana
Napenda sana nyimbo za huyu muyimbaji good wishes.Muhando
TUIMBE SANA ! yeye ni mwema anastahili sifa 🔥
Bravo Rose🎉
My sister uko vema sana Mungu aendelee kukunyooshea mkono wake utimize haja ya moyo wako❤❤
Rose muhando🎉🎉🎉🎉
❤❤❤Amen Aki ww ni mwema wasitahili sifa🎉r
Tuende mbere kukisonga na wimbo singing is our pattern from Washington
The song is 🔥🔥🔥🔥
Indeed she has been a blessing to me
Her songs inspires so much
What a blessed song,i really love your songs much love from Kenya
Make me feel like am in the kingdom of God already! Tuimbe na roseeeeeeey
The Greatest Of All Times for the glory of God. Kenya loves you Mama
Wewe ni Mwema Wastahili sifa,bonge la Wimbo
Now you are coming Rose 🌹, Come the way you are coming do not look back,more Grace, patiently waiting for another powerful song
Hujawahi kosea kuimba malkia wangu Yesu akutunze
This woman has been relevant to all generations ❤️
Exactly 💯 💯
I have known her songs since 2007 , and now it's 2023 ,she never disappoints 😊😊😊
I love her so much 💗
Rose will never disappoint
Edward Shija napenda nyimbo na video Rose Ubarikiwe sana
Haleluuuuuuuya 🎤👏🙏🇶🇦
Wa🇧🇮 munamkubali Rose Muhando toka 2005 tujuane👍👍😘😘
You are the king of gospel rose congrats u never disappoint
The lyrics so sweet yanifanya nizidi kusifu Madam rose bring me clouse you I'm talented.
The best world gospel musician ❤❤
Wuuuh... So amazing 🤗 from Rose Muhando
I used to hear her songs nikiwa primary class six,Now I have two kids😮😮😮
Am the first I love her ❤️🎉much
This woman is just the one...aiseeee
The only queen of gospel ❤❤❤
Eish mama muhando round hii umengonga ndipo
Hallelujah....psalms 103:1-2