TAREHE 23 SIKU ILIYOKUWA IKUSUBIRIWA/SHUHUDIA MWANAMKE AKAMATWA AKILIOMBEA TAIFA ''WAMEITA WAMELALA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2024
  • #JAMBOTV
    TAREHE 23 SIKU ILOKUWA IKUSUBIRIWA/SHUHUDIA MWANAMKE AKAMATWA AKILIOMBEA TAIFA ''WALOSEMA KUNA MAANDAMANO WAMELALA
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 71

  • @nascomtz1189
    @nascomtz1189 3 години тому +2

    Inchi yangu 🫣🫣🫣 naipenda saana

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 4 години тому +7

    Bora hata huyu mama alikuwa akimuomba mungu wake hakika mungu atajibu

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx Годину тому

    Noma sana

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 4 години тому +3

    Yaan hii nchi unaweza ukawaza halafu ukaishia kunyamaza tu

  • @NgomaMichael-s6t
    @NgomaMichael-s6t Годину тому

    Tulieni chadema uchaguzi ndodwa❤❤

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 3 години тому

    Munamuingiza Mungu kwenye matatizo

    • @SeifSalim-x5k
      @SeifSalim-x5k 2 години тому

      Kuma la mamako 😢😢😢 we unaona sawa tu watu kutekwa na kuuawa

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 3 години тому +2

    Safi sana jeshi la polisi amani lazima iwepo

    • @GhardesGh
      @GhardesGh 11 хвилин тому

      Acha ujinga wewe

  • @jebajr
    @jebajr 4 години тому +4

    POLISI WANGESE SANA

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 години тому +6

    Chama Cha Maharamia ccm wanafanya wanacho kijua sana.

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 3 години тому

      Tukana CCM hata Yesu hakupendwa pamoja na kwamba alionyesha miujiza na kusema maneno ya Mungu. Alipata Upinzani mkubwa sana.

    • @neemanziku5403
      @neemanziku5403 2 години тому

      ​@@mansooralaisri5200acha kumsongizia yesu wetu kwenye ujinga

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 38 хвилин тому

      Mauwaji ni CCM

  • @oscarMartin-v7g
    @oscarMartin-v7g 4 години тому +1

    Huyo boda mnduku sanaaa akimbizane na upepo mpaka kufa

  • @medimajogoo
    @medimajogoo 2 години тому +1

    hongera sana mafisa wetu wa polisi

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 Годину тому

    Mungu utaamua jambo kabla ya mwaka kuisha

    • @AshaMwamba-i7g
      @AshaMwamba-i7g 19 хвилин тому

      Mimi sijui Kama tapiga kura Tena mpaka taondoka dunian

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 50 хвилин тому +1

    Kwani Awa Waliandamana Au Ndo Mitaji Ya Toa Hela Utoke Kuwashika Watu Ambao Awako Kwenye Kuandamana Sio Sawa Mana Walikua Na Kazi Zao

  • @GiliadLuziro
    @GiliadLuziro 4 години тому +2

    Sheli zimefanya biashara ila ikumbukwe hospitalini dawa bado ni shida

  • @Mrauto12679
    @Mrauto12679 4 години тому +1

    Nchi hiii😂ahaaaaaaa

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 2 години тому

    Haya sio afyq kwa nchi. Mnakamata wanaotaka kuandamana na sio kuandamana .

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 години тому +1

    Aisee Kumbe Tanzania inamafuta ya kukamatia chadema tuu na siyo kukamatia wanao uwa watu

  • @aishajuma18
    @aishajuma18 4 години тому +1

    Yaan polisi imerundika sehemu moja kama michizii

  • @wilsondotto9332
    @wilsondotto9332 4 години тому +2

    Hizo garma za mafuta ni Kodi zetu au?

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 години тому +1

    Dada ameingia kwenye kagali kazuli chadema tunalindwa🎉🎉

  • @peterjr8073
    @peterjr8073 4 години тому +1

    Mngemuachia tu mdada wa watu

  • @AnnahNanjala-xh6ov
    @AnnahNanjala-xh6ov 3 години тому

    Maandamano bila ndiakasi

  • @immaknight4414
    @immaknight4414 Годину тому

    MWESHIM MUNGU UNAPO OMBA USIMNYOSHEEE KIDOLE

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil Годину тому

    100/ watanzania ni maiti

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 20 хвилин тому

    Kuna kitu nimewaza nikasema acha niishie kusema hakimu ni allah tu watu wanalalamika afu wanakamatwa kwa hiyo wanyamaze ili warndelee kuteka na kuuua mama samia siku yako ni moja tu huu udikiteta utajutua

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk 4 години тому +1

    Analiombea taifa barabarani

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 години тому +1

    Yan wakikuta mtu anaenda zake kununua maembe yake anaingizwa kwenye gar

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 4 години тому +2

    😂😂😂😂😂😂

  • @williamdetkvant1313
    @williamdetkvant1313 Годину тому

    Hakajatombwa,nyegeee

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 4 години тому

    Rwanda na Burundi ilianza hivi hivi alafu baadaye yakajakua mauaji ya kimbali

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 4 години тому +2

    Polisi wameamua kuandamana wenyewe.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 4 години тому

      Akitokea muadi mmoja hapo anaua polisi wetu wengi maana wamerundikana kama nyumbu

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 2 години тому

    Poland member of parliament hamtaki blinken,na marekani awataki wafe kwajiri yaujinga wa marekani,nyinyi ndo mnashangilia mashoga wezenu au?

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 3 години тому

    Wale maaskofu waliokuwa wanasema sana na kumzomea Raisi wako wapi.? Wanazungumzia kanisani tuu?Watoke waongoze watu. Mafitina wakubwa. Mashekhe Hongereni sana. Kasoro Shehe Ponda kageuke kenge wa mtoni ambae anashirikiana na mamba.

  • @AlexcpetroCpetro
    @AlexcpetroCpetro 4 години тому +3

    Tanzania tuna uoga sio amani tunadanganyaaaa vijana amkeni acheni ujinga CCM majambazi kabisa wauniiiiiii wakubwa

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 4 години тому +1

    Nilichokipenda ni asilimia kubwa ya polisi wamekuwa na ubinadam sana sio kupigana pigana tu ovyoovyo

    • @BraxedaDomina-xn4zc
      @BraxedaDomina-xn4zc 3 години тому

      Wamebadilika ss hv hata hivyo watu wenyewe hakuna waliotoka

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche Годину тому +1

    Kamata magaidi wote wanao andamana kuvunja amani tz.

    • @YohanaMussa-y5h
      @YohanaMussa-y5h Годину тому

      Magaidi na wewe ni moja wapo wa watekaji

  • @Africa_Yetu
    @Africa_Yetu 2 години тому

    Kuomba ni kuandamana?

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 3 години тому

    Wengine ni wame act kukamatana ili kutisha tuu,hii teknik ilopangwa tu!😂

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Годину тому

    Hawa police kuna mmoja kajamba nimesikia sauti ya mshuzi

  • @GhardesGh
    @GhardesGh 6 хвилин тому

    Endeeleni kuheshimu serikali hmmm

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 47 хвилин тому

    Police watanzania ni ovyo simuwaache watu waandamane tukichoka tutarudi makwetu

  • @masterhptv4065
    @masterhptv4065 51 хвилина тому

    Namfahamu bint huyu

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 4 години тому

    😂😂😂 michanganyo

  • @nascomtz1189
    @nascomtz1189 3 години тому +1

    Mmmh hako kadada kapewe kanisa kanakipaji

  • @itsmelatz
    @itsmelatz Годину тому

    Kwani uchaguzi mkuu ndo mwakani?

  • @nasdaq1999
    @nasdaq1999 4 години тому

    Hupaswi kukosoa serikali

  • @mtakatifutv2101
    @mtakatifutv2101 2 години тому

    Haha nacheka kama mazur

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 4 години тому +2

    hujampata nduguyo msubiri hapo hapo na bodaboda yako..

  • @RichardAssey-pw9ns
    @RichardAssey-pw9ns 2 години тому

    Mfyuuu nmaleta comedy kwenye shida hivi vyombo vya habari vyingine vifungiwe

  • @Afsa-z2v
    @Afsa-z2v 45 хвилин тому

    Sasa kwani anashida gani

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 4 години тому

    No

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Годину тому

    Magomen ilalla boma mtangazaji uko sqw hamjitambui tafuten pesa achen ujinga

  • @musaguga
    @musaguga 58 хвилин тому

    Huyu bodaboda hajielewi

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 4 години тому

    Waandishi mmeshindwa kumtonya 😂😂😂😂😂😂

  • @evelinambewe2835
    @evelinambewe2835 4 години тому

    Wajinga wandishi wa habari

  • @nascomtz1189
    @nascomtz1189 3 години тому

    Inchi yangu 🫣🫣🫣 naipenda saana