EXCLUSIVE: ALIKIBA AKANUSHA KUFANYA WIMBO NA DAVIDO, AHAMIA KWENYE KILIMO, AELEZA ANACHOLIMA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 160

  • @EastOneDiamante
    @EastOneDiamante Рік тому +62

    Kama unamkubali mfalume king kiba nipeni like twende

  • @baysadam235
    @baysadam235 Рік тому +30

    Namkubari sana Brother Kiba popote penye Fursa wanaume, tunachimba🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @djcashwanakidiry9158
    @djcashwanakidiry9158 Рік тому +17

    My Heart King kiba 👑 brother Wewe ni Unstoppable wakweli Nakupenda Sana brother King 👑

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 Рік тому +21

    Kiba, you have done great to invest on agriculture

  • @ramasalimu-te7lu
    @ramasalimu-te7lu Рік тому +18

    Wa Kwanzaa jmn nipeni like zsngu

  • @stamalamkulungwa8708
    @stamalamkulungwa8708 Рік тому +14

    Safi kaka ally kiba kwakutoa fursa lakini pia tukija kwenye mziki hata kama ukitoa. Nyimbo isipokuwa hit song Mimi nikiwa getho naenjoy kukusikiliza mziki wako iyo inanifanya nikupende pia

  • @mdta8161
    @mdta8161 Рік тому +9

    Alikiba mzuri jamani❤

  • @sultankijukuu4441
    @sultankijukuu4441 Рік тому +8

    Kitu Cha kujiuliza kwanini Ali katumia Sana neno mkwanja somethinG biG comes..KILIMO NA MKWANJA

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 Рік тому +10

    Kiukweli unajitahdi kingkiba!!

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Рік тому +13

    😂😂😂😂😂😂Ally yupo seriously and looking good Mashaalah. Sawa tumekuelewa

  • @wahidyshabani-nq1nm
    @wahidyshabani-nq1nm Рік тому +15

    Vizur sana maisha ni popote na mtaftaji hachoki endelea kupambana mfalume wetuu kila kitu kitakuwa sawa inshallah

  • @K25795
    @K25795 Рік тому +11

    INTERVIEW YA KIBABE MASWALI NA MAJIBU YOTE YA KIFASWAHA NINGEPENDA AENDEELEE AZUNGUMZIE KUHUSU MZIKIII

  • @kilinakoshengelo2944
    @kilinakoshengelo2944 Рік тому +13

    Anaelezea vizuri ofcoz, kama Horticulturalist namuelewa

  • @highmedland9280
    @highmedland9280 Рік тому +7

    Dah hapo ulipotaja kigoma umenikmbusha mbali ile nyimbo y'ako ulioimba
    Kijijin kwa Bibi kigoma, dah Fanya mpango uimbe tena ile inatukkmbusha mbali sana tangia tumbiri ni watu, Leo watu ni viatu km huna hela hawana mpango na mtu,😂😂😂 mpaka madem wanakuona km mwanamke mwenzie tu wanakupta km gari la mwendo Kasi I🚑😂

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 Рік тому +5

    Iv huyo mnamtaja kila wakati mama ni mama gani au mnahongwa mbona sioni anachokifanya na hana faida yoyote au mtu akiwa tu ikulu anatakiwa aabudiwe ebu badilik3ni maisha anayoyaishi hayana utofauti na tunayoyaishi sisi wengine amabao hatuko ikulu....jifunzeni kutokumwogopa mtu badala yake mtu asifiwe akiwa amefanya kitu cha maana

  • @mlishoramadhani2129
    @mlishoramadhani2129 Рік тому +12

    Mfalumeeeeeeee nakukubali sana kakaa

  • @stevenckanumba7
    @stevenckanumba7 Рік тому +33

    Kings music for life

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Рік тому +10

    Kaelezea vzr sana hakika numejifuza ki2 🇶🇦

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 Рік тому +12

    Hapa namsapoti sana Ali Kiba kongolee

  • @alawithebestconcept-as1005
    @alawithebestconcept-as1005 Рік тому +11

    Only one king in Tanzanian ... me too my parent for kulima shambani but to be honesty Rich it 90% for the people in world wakulima or wanafonga ziama . 🙏🏼🇰🇲🇰🇲 Comoros islands

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 Рік тому +9

    Yani Tanzania Rais ndo kilakitu 😂

  • @asiaasia1069
    @asiaasia1069 Рік тому +6

    I love youuuuu Braza kazinzuriii hiyooo 👏👏👏👏

  • @omarmussa5755
    @omarmussa5755 Рік тому +7

    Nimekuelewa brother

  • @josefosimao8180
    @josefosimao8180 Рік тому +2

    Moz 👉 🇲🇿 tunasemaga, kama watu wa chamba awalimi watu wa mjini awali agriculture is Very good

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 Рік тому +6

    Alikiba my favorite star in the world 😍 love him from Congo 🇨🇩

  • @N69001
    @N69001 Рік тому +13

    King forever...igwe......

  • @johjohns4021
    @johjohns4021 Рік тому +8

    anavoongelea ali utadhan kilimo unaingia bila hata mia 😂😂 ila big up king una tuinspire

  • @edithajonh2970
    @edithajonh2970 Рік тому +8

    Safi Sana

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 Рік тому +9

    Likaka lizuri hilo ❤❤❤

  • @jumaamrani3295
    @jumaamrani3295 Рік тому +3

    big up king naona umekuja ktk field yetuu, Maan sisi ambao tumesomea kilimo huwa tnadharaulika mnoo, hongera sana king kibaaa

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 Рік тому +17

    Role model😍😍😍😍😍

    • @samkutoka6038
      @samkutoka6038 Рік тому +2

      Xawa Kaka mi mwenyewe nakukubali xana umetuonyesha kaz nzur unayofanya mkuu

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 Рік тому +3

    Karudi baba mmoja toka safari ya mbali kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili watoto wake wakaja ili kumtaka Hali wakatataka na kauli iwafae maishani mgonjwa akatamka kama mnataka Mali mtaipata SHAMBANI 😊. Kuna vingine nimesahau jamani. Msinicheke

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 Рік тому +2

    Nalipenda hili likaka jamn😊😊

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 Рік тому +8

    Ila vido nimzuri jamani 😂😂 kama huna mke naomba unichukuwe 😢😢 sisi wote tunavimacho 👁️👁️

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 Рік тому +2

      Ana vimacho konkiii

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 Рік тому

      Huyu mtt kweli kukosaa kupenda panya 2010 nakutana nae kongwa mdogo anakuja kwangu hakuna adamu eti ananiambia anafurahi kuniona jamani maisha haya Allah akupe maisha marefu yenye kheri ndani yake mdogo wangu Allah ❤

    • @allymaliwata3583
      @allymaliwata3583 Рік тому +1

      Usjali Aisha hata Mimi ni mzuri sana Njoo kwangu

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb Рік тому

      Mshapata nyegeeeee.. mamae

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +11

    Kiba🔥🔥🔥

  • @crazyworld4149
    @crazyworld4149 Рік тому +1

    King 👑

  • @luganosoya3461
    @luganosoya3461 Рік тому +4

    Mkulima halisi huyo

  • @itNeza
    @itNeza Рік тому +5

    Kibakuli 😂

  • @shavybrand8225
    @shavybrand8225 Рік тому +8

    The king

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 Рік тому +9

    King❤❤❤

  • @muznastwaha5828
    @muznastwaha5828 Рік тому +5

    🎉

  • @joseambrosio1503
    @joseambrosio1503 Рік тому +8

    Mas força king kiba 💥

  • @abdulkadirnagib9639
    @abdulkadirnagib9639 Рік тому +5

    Just so you know 24 acres is equivalent to 24 soccer fileds!!

  • @brayanfelly-mj3vs
    @brayanfelly-mj3vs Рік тому +9

    King kiba ♥️♥️

  • @mahmudkiba82
    @mahmudkiba82 Рік тому +5

    001 king

  • @mbitsimanabetuel4425
    @mbitsimanabetuel4425 Рік тому +2

    Namkubali alikiba the king from zambia but burundian 🇧🇮🇧🇮🇿🇲🇿🇲

  • @MichaelWakengela-qt5fy
    @MichaelWakengela-qt5fy Рік тому

    King alikiba, ni msani ambao namkubali tangu utoto wangu.

  • @jacksonabbas3933
    @jacksonabbas3933 Рік тому +10

    Kaz nzurii

  • @maishailiyasi2935
    @maishailiyasi2935 Рік тому +3

    Lima baba ndo ela unazo ckuiz kilimo hadi uwe na ela

  • @TheRealGold
    @TheRealGold Рік тому +2

    Hivi hamna alie amua kufanya maamuzi yake asimjumuishe mama ?? 😂😂😂 Vijana wahovyo

  • @saidulaya7308
    @saidulaya7308 Рік тому +6

    YE BABAAAAA🍒🍒

  • @ramadhanmilonge8990
    @ramadhanmilonge8990 Рік тому +6

    Nakubari

  • @carvalhocarvalholaila-fz6mz
    @carvalhocarvalholaila-fz6mz Рік тому +1

    Ninakukubali sana King daaaa

  • @uwimananuriat712
    @uwimananuriat712 Рік тому +2

    Mfalmeee kama mfalmeee ❤❤

  • @TheRealGold
    @TheRealGold Рік тому +1

    Yani mama mama seriously??? Ao mko kwenye kampeni? ???

  • @regnaemanuel5331
    @regnaemanuel5331 Рік тому +1

    ni kweli kilimo kinalipa aiseee... sema wengi hua wanadharau kilimo but huko kunalipa.

  • @Manyesha6290
    @Manyesha6290 Рік тому +1

    Ahsante kaka alikiba juu ya hicho unachokifanya mungu akusaidie

  • @Ibrahim-mk7uk
    @Ibrahim-mk7uk Рік тому +1

    Alikiba huzeekagi lbsa🤣🤣🤣

  • @mwanajumamwinyi2665
    @mwanajumamwinyi2665 Рік тому +11

    Kiba mzuri jmn MashaAllah

  • @boniphacenkombe4868
    @boniphacenkombe4868 Рік тому +1

    King una AKILI

  • @josephsimba3007
    @josephsimba3007 Рік тому

    Alikiba wewe ni mpambanaji blo hongera sana kwamana unalisha jama la Tanzania nzima kaka

  • @shukuruemedi9805
    @shukuruemedi9805 Рік тому

    Kwel lile tuta lako tuli lihona kbs Dah! Unakumbuka mbali kweli

  • @khadijajuma6271
    @khadijajuma6271 Рік тому

    @alikiba yupo natural jmn mpk rahaaa🤗🤗🤗😍

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 Рік тому +1

    Kilimo kinahitaji Pesa sana

  • @adambaraguma6635
    @adambaraguma6635 Рік тому

    King kaingia kwenye kilimo,mimi ni nani nishindwe kumuiga king Kiba.

  • @edithajonh2970
    @edithajonh2970 Рік тому

    Aya lema alisema kazi ya boda boda ni laana hata alikiba amesema leo

  • @ynahmorata7604
    @ynahmorata7604 Рік тому +2

    King motooo

  • @chachuboychachuboy971
    @chachuboychachuboy971 Рік тому +1

    nimeikubali sana iyo broo

  • @ivantompoo2885
    @ivantompoo2885 Рік тому +1

    King kiba ww noma kwel

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 Рік тому

    Naomba kazi yakulima ikoo

  • @adolphmpilima-rg3os
    @adolphmpilima-rg3os Рік тому

    Huyo nd0 mwambaa ebwana kiba anaweza heshima kwake

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 Рік тому

    Hongera sana kakangu

  • @kivulugetv1411
    @kivulugetv1411 Рік тому

    Kilimo kinalipa broo

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 Рік тому

    #nakubal kiba pambana

  • @swariotibi6134
    @swariotibi6134 Рік тому

    Nikweli kabisa kigi

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому +1

    Big up congrats

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 Рік тому +1

    Video weku kuhoji bado sana minikaju utakua umekoma kumbe bado mirady bado unakazi yakumufundisha huyo mtangazaji wako

  • @selemanirajabu2730
    @selemanirajabu2730 Рік тому +4

    😂

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 Рік тому

    Uko vizuri

  • @mbalikatv7083
    @mbalikatv7083 Рік тому +1

    Can't talk, WhatsApp only

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 Рік тому

    Hapo sawa

  • @khamissaleh5311
    @khamissaleh5311 Рік тому +6

    Darasa zuri sana tuwekeze kwenye kilimo

  • @dcmonline23
    @dcmonline23 Рік тому

    brother Ali mwongo kinouma 😁🤣🤣🤣tuambie tu ukweli umelamba dili na wizara ya kilimo #last born wa mama😁🤣🤣🔥🙌

  • @davidmuneza5158
    @davidmuneza5158 Рік тому +1

    King

  • @abuyassrissacharque-rc2vl
    @abuyassrissacharque-rc2vl Рік тому +1

    noma sana

  • @mis2ra766
    @mis2ra766 Рік тому

    Yaap King

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 Рік тому

    Pesa ipo kwenye kilimo na alikiba sio wasafibet na Diamondplatnumz

  • @chazzy-official
    @chazzy-official Рік тому

    Mbn kama Kiba kesha anza kuchanganya fans yaan he is king in music but now ni mkulima

  • @Makojini
    @Makojini Рік тому

    King

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Рік тому

    Interview za kiba azichoshi unatamani isiishe.

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Рік тому

    Nampenda kiba aje aniowe,aachane na ilo li Amina

  • @leonleon6323
    @leonleon6323 Рік тому

    Hee naona interview nyingi anataka kutembelea nyota ya baddest

  • @bongue6003
    @bongue6003 Рік тому +1

    Muito bom brada com sua ideia

  • @aivanandrea2160
    @aivanandrea2160 Рік тому

    Mkulima wa mchongo..promo😅

  • @chrisantaassenga4168
    @chrisantaassenga4168 Рік тому

    Maflana ya king nayataka

  • @aishaz1
    @aishaz1 Рік тому

    Kumbe n mnene ivi

  • @mrtzee3077
    @mrtzee3077 Рік тому

    Nakubal mwaesa

  • @salminhustler962
    @salminhustler962 Рік тому

    👑👑👑

  • @delimachesa5007
    @delimachesa5007 Рік тому

    Mtu na nusu

  • @mbalikatv7083
    @mbalikatv7083 Рік тому

    Can't talk, WhatsApp only