HAMISA MOBETTO ASHINDWA KUVUMILIA KWA JUMA LOKOLE KUMWANDAMA DYLAN KUWA SIO WA DIAMOND AJIBU MAZITO!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @samuelchiumia9054
    @samuelchiumia9054 Рік тому +4

    Juma Lokole mtoto wako ww yuko wapi????

  • @JanetJohnson-gj1bv
    @JanetJohnson-gj1bv Рік тому +5

    Kwanza mtt wa Hamisa kawazid watt wote wa Diamond uzuri😊 wamuache mtt kama hamtaki vijembe vya nn

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 Рік тому +4

    Riziki atoae ni Mungu si mtu yeyote wamuache huyo mtoto ipo riziki yake

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 Рік тому +1

    Hebu Waja wamwache huyo mtt na mama yk Hamisa. HAKIMU NI MUNGU PEKEE. HAKUNA KITU KIBAYA AMBACHO BINADAMU ANAMFANYIA MWINGINE ASIJE KULIPIZWA NA MWENYENZI . HII DUNIA SOTE TUNAPITA🙏 HAKUNA KITU KIZURI KM UPENDO.

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 11 місяців тому

    Nahisi Juma anatembea na Lukuga kwanini ana msakama saana Hamisa jamaniiii

  • @EndeshiMollel-k6c
    @EndeshiMollel-k6c Рік тому

    Hamisa wanyooshe mbwa hao wivu tu mnaona amekuwa tajiriiiiii8

  • @fatumajeneby5449
    @fatumajeneby5449 Рік тому +3

    DAIMON KUONA HAMISA NA RICKROSS, NDIPO ALIANZA, MISA TWENDE NJE YA NCHI TUPIME TENA DAMU, TAABU YOTE NIWIVU, HATAKI KUONA MISA AKIMOOVE ON, KUNA CLIP AKIAMBWA WAZI. NA MARHEMU IVAN KUWA NILAN NIWAKE, ASITAPE TAPE, NA HAMISA HAMTAKI TENAA
    TWAOMBA AKUSAHAU 🙏

    • @salamahussein7774
      @salamahussein7774 Рік тому +1

      Nillani hafanani na marhemu Evan, watoto 3 wa Evan wanafanana wao kwa wao na wanafanana na Evan Nillani siyo wa Evan ni WA Daimond, Tiffa na Nillani wanafanana na Hawa 2 hawafanani na watoto wa Evan, ulitaka kujua fungua account zao angalia picha Tena watoto wa Evan wote weusi na midomo Yao inafanana ni midogo, angalia Nillani Domo lake Monday mtupu, huyo Evan alijichanganya na ulikuwa mpango wa Zari ili apate Mali kutoka kwa marhemu Kama hujui Leo ujue.

    • @florangido202
      @florangido202 Рік тому

      Haswa, Zoba kweli hivi wanajikausha nini, Huyo Nilan si mtoto wa Ivan
      Ivani alishasema mtoto ni wake...
      Ikabidi Ivani have kwa Kuficha Aibu...
      Mnalqzimisha lkn hata hainogi..

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183 11 місяців тому

    Hamisq mfunguliye kesi huyo mshenzi, awo wa7me singewafunga kamba waliwaona na kasoro ndo maana walimfwata.

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 Рік тому +1

    wamuache jaman

  • @florangido202
    @florangido202 Рік тому +3

    KWANI HAMISA ANA SHIDA NA HIYO FAMILIA YA MONDI.
    MUMKOME HAMISA ANA MAISHA YAKE NA MTOTO WAKE HANA SHIDA NA MSAADA WA PESA, MWACHENI ANA MAISHA YAKE TENA MAZURU TU.
    MLIDHANI ATAKUWA NA DHIKI...
    MUMKOME NA MTOTO WAKE..
    OVYO KABISA NYINYI, WIVU NDIYO UNAWAUMA...
    SI MLINCHEKA ANAOMBA KODI...
    KIKO WAPI SASA, PESA ZENU ZA MASHARTI HAZITAKI KOMENI...

    • @salamahussein7774
      @salamahussein7774 Рік тому

      Wivu gani Sasa? Hamisa mwenyewe ndio anayakuza kung'ang'ania kuwa Dyllani ni mtoto wa Monday wakati siyo, akitaka kumaliza mzizi wa fitina aruhusu Monday akampime mtoto ili kijiridhisha kwanini anakataa kupima mtoto? Alikuwa na wanaume wengi Hilo ndio tatizo, Diamondi siyo mzee makusanya tu hata visivyokuwa vyake, hebu msilazimishe na kumtuhumu Bure.

    • @florangido202
      @florangido202 Рік тому

      @@salamahussein7774 Akapime ya Nilan
      Hamisa walishapima tangu mtoto anazaliwa na Alikuwa anataka iwe siri.
      Hamisa alikataa knn iwe siri Eti ksb Zari asijue... si alisema anakpenda Zari anaweza kutembea kwa miguu hapa mpaka Sauz, kikowapi sasa...
      Huyo anamsikiliza mm yake ksb mama yyake ndiyo Ana wivu na Hamisa, Hamtaki utafikiri mke mwenzie.
      Hiyo Familia ya Kishamba Bahati imewadondokea Kamuulie Auncle SHAMTE YALIYOMKUTA, KAFUKUZWA KAMA MMBWA.....

  • @mariamkai2705
    @mariamkai2705 Рік тому +1

    Naomba tu diamond anisikie kama yawezekana si vizur anavyo fanya kwa mtoto wa Misa,napia anavyo tuma kina jumalokole kumuhukumu mtoto siviz , tafadhali munamudhalilisha sana mtoto hamisa kuwa na subra tafadhali wewe ni muislam ndioo mtihani huko Rudi kwa Allah

  • @hamidasaif4065
    @hamidasaif4065 Рік тому +1

    Kajuiki hakuwi silazima ley amwahamisa

  • @EndeshiMollel-k6c
    @EndeshiMollel-k6c Рік тому

    Embu muacheni mtt Ivi daimond ni mungu juma lokole koma kwanza ww hata mtt huna

  • @fadhakirnassir2917
    @fadhakirnassir2917 11 місяців тому

    Hamisa Lea mwanao tumbo halina mpaka walimwengu wasikushugulishe mtoto wewe ndie ukiona uchungu

  • @Onlyfacts0224
    @Onlyfacts0224 Рік тому +1

    Kwani wengine wamelelewa lini na Diamond? Mfyu.

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy 11 місяців тому

    hakuna mtoto mbaya, unayesema mtoto mzuri kuwazidi wengine ndiyo siyo wa mond mana mond cyo mzuri

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Рік тому +1

    Huyo juma yeye hayamuhusu walivyotombana daimondy na hamisa yeye hakuwepo hebu atulize bolo lake

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 11 місяців тому

    Mtoto huyu hamissa mtupu wanaosema billnass nahisi macho yao yana matege

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Рік тому

    Kwani huyo mamadangote salikua bila babake mzazi mkee wa babake salimkata kwenye uko wake na mwanae daimond ,leo siwamekua binadamu wanaonekana kwenye jamii ,hata huyo wa Hamisa akifanikiwa ataheshimika kama wao , wametoka kwenye njaa ndiomana wamekua washamba wamaisha 😂😂😂😂😂

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Рік тому

    mobeto do not worry maby god wont protect you son from the evil dady diiamond is babalao freemoson men