Wewe Juma mshirikina. Kumbe unaenda kwa waganga. Halafu unamsema Hamisa. Na unasema mwanaume rijal hagombani na mwanamke. Mbona wewe unagombana na Hamisa na Fayma.? Mnafki saana Juma wewe.
Juma acha unafiki hapo unataka kuwaonesha watu kuwa Abby ndiye kamnunia Paula sio? Na sio kuwa Paula ndie kaamuonea wivu Abby yani jambo la Paula unalitetea mpaka povu la mwisho
Juma na mwijaku wajali kusema Chochote Bora watrend...wakumbuka mwijaku akisema watoto wa Tanasha Donna ni wake? Pia kasema harmonize analala na Pau na mamake? juzi huyu huyu juma kasema Pau Ako na mimba yaaani hao watu waooongo wanataka kutrend bila kujali wengine
Imani zakichawi watu tuna maisha mazuri na hatujawaihi hata kwenda kwa mganga.. Maombi ndio kila kitu
Kazi ya kufriwa na diamando
Kwa Wolper nimekukubali for the first time... Sio poa Lazima Heshimaniwepo kwa ndoa ya mwenzio..
Kabisa heshima muhiu
Unamchukia tuu ...unaogopa kunyimwa ugali....wote wazuri...ovyoooooo kumuumbua mtoto wamwezio.wala huwezi kumuumbua
😂😂😂ninamupendaga Juma akitiye memoire zake vizuri anaongeyaga ukweli namuda wungine memoire zinaruk
Aya mkumbwa hya 😂😂😂uliwapeleka Kwa mganga
Mastaa wachafu sana wanakurana wawo kwa wawo
😂😂😂😂😂Ila juma eti Hana ma anko wa fupi😂😂😂fayma pole kweli
Inawezekana Ukampenda Mtu na Ukawa Bikra Mapenzi sio lzma Mzagamuwane
Shoga hilo,kinapenda dyudyu sana.
Kwanza na diamond
Sasa uncle pia n sifa 😂😂😂uyu ako na chuki Kali n fayma 😂😂ati tanzanians sweetheart 😤😤😂😂😂
Apo Nina mekuku Bali juma una weeza kabisa Paula nimuzuri sana na kuku bali😊😊
Hehehe shoga bovu
Kwa mganga tena jamani ,😂😂usiseme kila mtu anaenda kwa mganga wengine twamuabudu mungu alie juu mbinguni ,anaetegemea mwanadamu amelaniwa😢
Ameen
Mshahara upo na Kodi unalipiwa🙆 daah... huyu mtu achunguzwe hayuko sawa.
Kutambikiwa😅
Huyu Juma cku hizi anapaka mkorogo.
Kwanza kwanini icu mbona UA-cam aipo Tena Vipi kwanini au mmebadili jina maana nisach siiyoni Tena
Wewe Juma mshirikina. Kumbe unaenda kwa waganga. Halafu unamsema Hamisa. Na unasema mwanaume rijal hagombani na mwanamke. Mbona wewe unagombana na Hamisa na Fayma.? Mnafki saana Juma wewe.
Ata ukimchukia iwe nn na mtu ana chake hakuombiiii😝😝
Ugovi wa Abby na Paul ni baada ya mama Abby kumsema kajala na paula jinsi ya malezi na maisha wanaoishi ugovi ndo ulipoanzia
Exactly my dear
Juma jamani🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂juma
Juma acha unafiki hapo unataka kuwaonesha watu kuwa Abby ndiye kamnunia Paula sio? Na sio kuwa Paula ndie kaamuonea wivu Abby yani jambo la Paula unalitetea mpaka povu la mwisho
Sio wote tunaenda kwa waganga bana excuse us anko juma😅
Si nawe unasema ungesema uongo acha unafki we juma
Shoga wa diamond
Leo umeengea kuhusu Mai kweli kakosea sana
Binti balance shobo😂😂😂😂😂😂
Mmmmh kwenda uko wewe mwenyewe mbea tu saa zote
Ununuliwe range na ulipiwe kodi na mwanaume mwenzako na uko proud unasema mbele ya camera. . Jichunguze.
Mtihan kwel wallahy
😂😂😂😂😂
Mmbea wa dunia sura ka tako la mzungu
Kua bikra c tatizo ata kama bikra kashatolewa it doesn't matter ni mrembo so lazima Paula awe n wivu akimuona na mwanaume wake
Mm naona labda abby alikua akimtaka marioo
@@shighadiomar7691 c kweli bado ajachunda kiasi hicho
Icu kipindi cha wajinga kinanichefua roho
Mshamba tu huyo
Anakazi ya kufulwa huyo na Diamond
Huyu atakuwa analiwa na simba.tumeskia simba kamgeuza gigy
Nataman wolper alizibue maimatha
Sudan ndogo😂
Ati kugombana na mwanamke? Mmmmmhhh kwani fahyma mwanaume na unamchamba kila siku nyooo
Umeona eeeeh.. Na Hamisa pia.
Vya kawaida unalo jenifa unalo????
Wanaume wenyewe ni wachache halafu hao hao wanaleft group ,huyu keshaleft group letu kitambo
Juma na mwijaku wajali kusema Chochote Bora watrend...wakumbuka mwijaku akisema watoto wa Tanasha Donna ni wake? Pia kasema harmonize analala na Pau na mamake? juzi huyu huyu juma kasema Pau Ako na mimba yaaani hao watu waooongo wanataka kutrend bila kujali wengine
Jjjn nkbnk
Jh
Mchana kanisani usiku kwa mganga ee maisha ngumu kweli.😂😂😂
Kwenye suala fayma nipo na lokole
Hata ukimuchukia Fay juwa ww siyo Mungu wake umbwa wewe taperi mukubwa nyoko wewe Mbwa
Huyu ni kidada au kigogo maumbile yake yana Tata