MAIMARTHA: RICH MITINDO ALIFUNGWA CHINA KISA KUMPIGA WOLPER/KESI YAO IPO TEMEKE/WAMEACHANA KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 26

  • @AminaMkumba-f7v
    @AminaMkumba-f7v 14 днів тому +29

    Ogapa sana mwanaume anaependa msamaha, ni wazi hawez kubadilika, rich ni kama bado limbukeni wa Kila kitu, alafu anaumalaya ule wa asili wa watu wapole, na hua ipo hiv sio kama anapenda au anashabikia yaan akishafanya ndo akili inarud anaanza kujuta, rich ni ile type ya wanaume wakuzaa Kila sehem, anakua na hela na hakuna kitu anafanya mpaka anakua mtu mzima ni hivyo hivyo, kama jack akiondoka ni sawa kabisa na ataishi Kwa aman na akiamua kubaki Walee watoto ni lazima ajipange kisaikolojia afumbie macho Kila aina ya uchafu na upuuzi, other wise ni trauma na depression vitamsumbua I'm talking from experience

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 11 днів тому +1

      😅😅Umalaya wa asili wa watu wapole Nimependa hiyo!!

  • @caritasmushi8896
    @caritasmushi8896 15 днів тому +5

    Kwa kweli suala hili linasikitisha sana sana. It is to early to experience such things

  • @MageMollel-wb7ms
    @MageMollel-wb7ms 14 днів тому +1

    My masaa Mungu akubariki. Duu kweli wasameheane tu jamani watoto wao wazurii

  • @khadijacharles2433
    @khadijacharles2433 13 днів тому +3

    Mwanamke ataweza kuwalea watoto wake maana yeye ndo kawazaa kwa shida

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 12 днів тому +1

    Sijafurahishwa kabisa,lakin kwa kuwa ndoa Zina Siri nyingi basi imeshatokea

  • @JudithJulius-b2t
    @JudithJulius-b2t 15 днів тому +7

    Ndio maana mimi niliolewa na mume ananizidi miaka 10.hivyo ananiongoza kwa kila kitu.sasa Richie bado ujana unamsumbua inamaana jack Ana akili ya kikubwa.soo jack azidi kumuombea atoke huko

    • @rachelmuhehe7789
      @rachelmuhehe7789 14 днів тому

      Una akili kama zangu japo sijabahatika kumpata

    • @AishaMac
      @AishaMac 13 днів тому

      Ni sababu pia lakini na akili ya mtu, auntie ezekiel na kusah mbona wako vizur

    • @happysanga4902
      @happysanga4902 12 днів тому

      Ujana nimaji ya moto

  • @dasserenterprises8702
    @dasserenterprises8702 12 днів тому +1

    Rich bado anamaliza njia yake katangulia tu kuzaa asikwambie mtu hakuna hatua ya maisha ikarukwa halafu mtu asiipitie hasa huo ujana na tena kwa mwanaume mzee tu anahahah Wolper nae atulize

  • @SalhMdogo
    @SalhMdogo 14 днів тому +1

    Jamani mie da may nashindwa hata niseme nini wallah!

  • @edakilibika5935
    @edakilibika5935 13 днів тому +1

    Hao watoto umri wa kuachiwa baba bado kisheria atapewa mama yao

  • @AshuraHabibu-x6z
    @AshuraHabibu-x6z 15 днів тому +1

    Rich Jamani bado sanaaaa
    Nadhani Ujana mnaujua. Wolper atulie tuuu

  • @halimamohamed4061
    @halimamohamed4061 13 днів тому

    Ukiwa mwandishi wa habari usiwe mnafiki ukweli usemwe hata kama unauma wasiwe wanalinda baadhi ya watu

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 14 днів тому

    🙏🏾❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 15 днів тому +4

    Kama Richi mambo yote hayo anafanya yaku kesha kwenye starehe ya wanawake na yeye ndo msababishi waku vunja ndoa , inakuwaje aseme yeye ndo abaki kwenye nyumba alee watoto inakuwaje hata kama mahakama ita amua hivo , kama wolper ndo alo husika kwenye hile nyumba na nyumba kawa patia watoto yeye ana haki kukaa pale zaidi

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 12 днів тому

    Huyu dada mbeya sana!

  • @AbeleBausingi
    @AbeleBausingi 15 днів тому +1

    Afu ukimuona mpole uyo

  • @fatumaBico
    @fatumaBico 14 днів тому

    Dah

  • @LailyaRashidi
    @LailyaRashidi 15 днів тому

    mhuuu

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 15 днів тому +1

    Unaumbea wewe kah

    • @salomeshongola1697
      @salomeshongola1697 14 днів тому

      Huyo kwa umbea.kila kitu inasemekana,Una ushahidi?

    • @rehemamsuya2263
      @rehemamsuya2263 14 днів тому

      @salomeshongola1697 yani huyu mai anapenda sn habari za watu japo ndo kupata kula lkn kazidi