Jol master anajua ila kwa sisi tunaofwatilia kazi zake show za hivi karibuni ana perfom kimazoea sana ndio maana hata jokes anazirudia rudia mnoo. Asipoangalia uyu leonardooo atamuacha by far na fame yake itapotea💔 but i don't want to see that happening.. Ps; From jolmaster's super fan
@@lewismpangala927 sim za kudandia ndo tab yake hii post ya miez 8 wee ndo unaiona leo 2shatoka huko kitambo au ndo umenunua mpya nn sasa ni kucoment 2 bila hata kuangalia post ya lin pole sana
Wasukumaaaaaaaaa oyeeeeee❤❤❤❤❤❤❤tunapatikanaaa kila kona ya duniaaa añd we are very humble, cuty, charming
Kama joy master ..anakuchekesha Kama Mimi twende sawa
Wapi
Niko apaaa
Jol master banaaa
Namuerewa sana2
Huyu anachekesha alafu anachekesha tena😂😂😂
Sina la kusema pappy upo moto❤❤❤❤❤❤
My favorite comedian.🔥🔥🔥🔥 kenya am representing
Yaani huyu msukuma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kweri
He nailed it. Tz got crazy talent.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa Yesu hapo nimecheka sana aiseee
Aki I am kenyan and this is hilarious.... Wasukuma lazima ni waluhya wa kenya
Kumbe 😂😂💔💔
Aaah joly 🤣🤣🤣🤣🙌 Sina neno kwako we ni balaaaa
Kama unajua unajua2 anajua mpka anakera Enx 🌹🌹🌹🙏
I used to understimate this guy
Damn he's talented 🙊
He has improved so far.😊
@@ahz6907 yeah bro👋😚
Like wise, seems talented, back in the days, he used to make only ladies laugh, but for now he's doing very well.
@@mugapro ni kweli kaka😁😘👋
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakupenda jmn❤❤❤
Mkija mwanza wekeni matatizo hata wapi sijui watu tunapenda hiii
😂😂😂😂😂😂 nyie kikubwa bundle tuu yaan mpk najisahau km nipo single kwasababu yako Wew 😂😂
😂naja nikuoe
😂😂😂 Cna stress sasa
wee maria wew hahahhaaa aya bna wasalmie uko songwe
Wasukuma oyeee niambie komaaa 😄😄
Oyeeee
Komaaaaaa
@@alfredjoakim1107 😄😄😄😄
Oyeeeeee komaaa❤❤❤❤❤
Huyu jamaa anajua mpaka anajua tena🤍
Jol master is one of greatest
Unawakilisha vyema wasukuma mkojuu sna namnazidi kuwamaalufu
Duh jol umeweza bhn
Jol master anajuaaaa sana😂😂😂
we fala unajua kuchekxha 😂😂😂😂😂
Hahahahahaha Kaka🙏🤣👊☑️💯unajua jmn uongo dhambi
Big up sanaaa Joh master(living legend)
I love this guy....
Luv ur talent juma
Nimeipenda hiyo
Huyu dogo anaweza mbayaaaaa
Ndio ila aache pigo za kidadadada, bro maintaining jinsia n kitu muhimu sana.
Usimseme shoga angu jamani...............hv kweli jol master ni msukuma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
abaDaba 👊 jahblas 🙏🏿 ckupingi
Jol master unajuwa sana
This guy so perfect😀😘😘
Duh!!🙈🙈🙈 Kaka umetuchura wasukuma😂😂
Ila we Jolo upo fireee Ila ach kutuonea wasukuma🤣🤣🤣🙌🙌
😏
Huyu jamaa ajengewe sanamu 👏👏👏👏
Wasukuma oyeeeee
Ww hatari kaka..ur big fun from Mombasa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unawezaaaaaa🌹
Kijanaaaa hahahaahhaa mwenzangu duuuu!! Unayawezaa ya wasukumaa wenzetuu
big up sanaa😂😂😂😂 we juma wee
Tujage ngoi😂😂😂
😂😂😂huyuu anajua halafuu tena anajua halafu falla saanaa
We juma mpuuzi tu 😂😂😂😂yaani nlikua sitaki kucheka ila hapo Kwa Yesu umetishaaa😂😂😂
Nakukubali sana
😂😂😂😂😂hili likaka fala kwel
Unajua sana kaka
I respect you brother
Dogo linda Mwakanjoro, linda sana chalii, km ndo beki wametoka uko sawa kwa yako, ilahaupo sahih
Love you mahiiiiii
Jo master shenzi kabisa dah🤣🤣🤣
Nakuelewa vbayaaaaa Jol
Talent at its best...
Uyu jamaa apewe tuzo Aisee🤣🤣😎
Nkbr mwamba
Baddest
💜💜💜💜💜💜 I lov u. Nkoi
4 real ur talented man
😂😂😂😂😂😁😁😁😆😆 oya we jamaa unajua
Hàaa hàa haha fala sanaaa daaaah 🤣🤣🤣
Talented
Wasukuma oyeeeè❤❤❤❤❤
Nakubali mzeee
nimecheka sana
Muonekano km chidi benzi wasasa
Anajuaaaa anajuaaaa anajuaaaa sanaaaaa
My favorite comedian from 255
Respect buddy
Ila jol Master amepinda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🔥🔥🔥🔥🙌
Co kweli hajapnda
@@gosbertmuta5421 amepinda
Jol master unajua sana una kipati
Master unajua kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 huyu kiboko
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamn uiiiii
Nimecheka vikubwa sana 😂😂😂😂 adi mikojo
Nimecheka uwiiii😂😂😂😂😂😂😂
😆😆😆😆😆😆😆😆🙌🙌🙌
Jol master anajua ila kwa sisi tunaofwatilia kazi zake show za hivi karibuni ana perfom kimazoea sana ndio maana hata jokes anazirudia rudia mnoo. Asipoangalia uyu leonardooo atamuacha by far na fame yake itapotea💔 but i don't want to see that happening..
Ps; From jolmaster's super fan
Fact
Umeongea point halafu anatumia sana nguvu hajui Ku relax ni kama anafosi watu wacheke
Lakin watu wanacheka kuliko show zote
Mwanaume kuigiza Kama demu sio poa au ndio wanaume tumebak wachache
2024🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌umejua kuniibia kiingilio
Mwanangu ndo nini sasa komaa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unajuwa sana
Msenge kwer uyu jamaaa lakin sio kwer kwer sa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jol Master 🙌🙌🙌
Kwl nd tabia ya wasukum😂😂😂😂
Jamaa kichwa
❤❤❤nakukubali mwana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣najivunia kuwa msukuma
Mi bibi aangu Ana bibilia imetafsiriwa kisukuma huwa nacheka sn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasukumaa
yaweza kuwa mna pepo la kucheka maana sion anachochekesha
Umeongea fact anatumia sana nguvu ili watu wacheke....halaf anapiga sana kelele
Kiukweli unaangalia huku unawaza vikoba
@@lewismpangala927 sim za kudandia ndo tab yake hii post ya miez 8 wee ndo unaiona leo 2shatoka huko kitambo au ndo umenunua mpya nn sasa ni kucoment 2 bila hata kuangalia post ya lin pole sana
Wudapuu😂
JOL mbwa huyu anajua. 😁
Joel hiii kibokoo ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😢😢😢😢😢
Dah umetisha kaka
Oi nakupata mwana
Nomaaaa😁😁😁😁
Apo kwenye petro,jakobo tujage..😂😂
Apo kwa yesu ni noma😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃
HUYU KUCHEKESHA BADO ANATUMIA MNO NGUVU
Anajitahidi mno kuchekesha kazi ngumu mno.
Kajaribu ww km unaweza kuchekesha
Chekesha nawewe tuone kazi yako
Chusema wengine mpo chapa sana ww unaweza😂😂😂