TUROGENI MTUFANYE MNAVYOTAKA LAKINI MUWAJIBIKE NA MAJUKUMU YA NYUMBANI - DR. KUMBUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 272

  • @princesssunnatmiraj7783
    @princesssunnatmiraj7783 4 роки тому +66

    Kumbuka umewekewa nini, leo wakwanza naombeni like zenu

  • @lokole22tv
    @lokole22tv 4 роки тому +41

    Huu muunganiko na dk kumbuka imeifanya uhondo iwe kipindi pendwa sasa bongo.big up all uhondo's crew

  • @btylove1870
    @btylove1870 4 роки тому +16

    Ukifanya kazi na Dr Kumbuka unakuwa huna stress kabisa , Asante Dr kwa kutuzidishia umri maana kucheka nako ni dawa. Yaani nimecheka mpaka mbavu zinauma 😂😂😂😂😂🤣

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 роки тому +23

    This guy will be the next in demand kwa hizi media... Mark my words!!!!

    • @IANA2030
      @IANA2030 3 роки тому

      Very true

    • @IANA2030
      @IANA2030 3 роки тому

      The power of talent

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 4 роки тому +8

    Ohh Sofia is just laughing like me whenever on watching this show I ❤u guys 🇺🇬

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому

    Sadaqta Maneno 👍 Jazakah Lwah Kher Akhui

  • @nsanzabahizirahma7104
    @nsanzabahizirahma7104 4 роки тому +2

    Dr kumbuka ake ilov so much Sofia ❤️ my sisi uhodo's

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 роки тому +4

    😀😀😀😀😀😀😀kumbuka twambie Kaka,majukumu yetu tuyafanye kabisa👌👌👌👌ilaumenimaliza mbavuzangu we we 😂😂😂😂😂😂

  • @dianamsanguka7383
    @dianamsanguka7383 3 роки тому

    Mungu wangu Nakupend wew Kaka Basi tu Mungu akupe maisha marefu

  • @kelvinpeter3372
    @kelvinpeter3372 4 роки тому +4

    Kumbuka ameichangamsha uhondo sanaaaa

  • @vincentkiprotich7959
    @vincentkiprotich7959 4 роки тому +6

    Jameni Dr. Kumbuka atawamaliza Efm!

  • @mouhamadbakri9720
    @mouhamadbakri9720 4 роки тому +7

    Tuko pamoja dr kumbuka 😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥 na waturoge hatukatai ila kitanda kiwe safi na yeye pia #from 🇨🇵 faransa

  • @madamboss348
    @madamboss348 3 роки тому

    Amazing

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 роки тому

    Yaapoooh twayaona🙌👌

  • @marycianaanthony6385
    @marycianaanthony6385 4 роки тому +1

    Dr kumbuka weeeee
    Wanipa raha mieee👌👌👌

  • @gloriousn6425
    @gloriousn6425 3 роки тому +13

    Nawaonea huruma wasioelewa kiswahili walah 😂😂😂😂siyo kwa uhondo huu
    Bongo sihami ng`ooo

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 роки тому

    😍😍😍kumbuka weeeh👌

  • @naominaomi3839
    @naominaomi3839 4 роки тому

    Nampenda sana kumbuka nikimsikiliza nacheka muda wote efm mko vizuri

  • @zogidoctor8746
    @zogidoctor8746 3 роки тому

    Ama kweli pumu zime pata mkohozi uhondo ume noga kupita maelezo Dr Kumbuka kipaji cha kuongea unacho mashallah tabarakallah

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 4 роки тому +3

    Daaaa hunampizani 💥💥💥

  • @albertmaterial2951
    @albertmaterial2951 3 роки тому +2

    Dr Kumbuka The Next MVP

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 роки тому +2

    Nimeanza kupenda huyu mse kumbe ana mafunzo mazuri. big up,🇰🇪.

    • @user-un3df1sl2h
      @user-un3df1sl2h 3 роки тому

      Fatilia uwondo utacheka mbaka basi namafunzo pia unapata

  • @aminaabdulrahman2193
    @aminaabdulrahman2193 4 роки тому

    Haaaaaaaa Kumbuka mbavu zangu mie asante kwa somo

  • @najmalatiffah936
    @najmalatiffah936 4 роки тому

    Point taken

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 3 роки тому

    Sofia mashallah your so cute

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому

    😂😂😂😂😂😂❤❤❤kumbuka ww.nakupenda kaka.

  • @msafirisaidiphd6723
    @msafirisaidiphd6723 3 роки тому

    Congratulations

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 4 роки тому

    Acha kutuvunja mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 love from UK in Newcastle

  • @shekhasaidkhalfan3717
    @shekhasaidkhalfan3717 2 роки тому

    Asssanteeeee kaka hongeraaaa umeyajuajeeee😄😄😄😄😄

  • @divinemuhaya872
    @divinemuhaya872 3 роки тому

    Daaa kaka kumbuka unanichekesha mimi

  • @superalain100
    @superalain100 4 роки тому

    🥰🙏

  • @zuwenaabrahman9913
    @zuwenaabrahman9913 3 роки тому

    wape wape Ahsante

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 роки тому

    Dr kumbuka Mimi fan wako Sana nipo USA, natamani uje utupe maneno huko😆😆😆😆👌👌👌

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 3 роки тому

    Dr.kumbukaa umetishaaaaa sanaa😆😆😆😆

  • @kamilyaibrahim9784
    @kamilyaibrahim9784 4 роки тому +1

    Subhanallah siuongo kuna watu wanayafanya haya tunayaona mitaani 😂😂 asante kutufurahisha Allhamdulilah

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому +5

    Kipini kama shangingi mstaafu umeua rudini mnaoenda bagamoyo sitaki mie mbavu zangu mama dr kumbuka mie staki mie

  • @mwajumasaid3379
    @mwajumasaid3379 4 роки тому +1

    Kumbuka waambie ukweliiiio🔥🔥🔥🔥🔥

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому

    Kweli dr kumbuka umeongea ukweli eti Hano eti anakoroma kama spika la sikinde shuka urudi dr kumbuka ujue mimi nakupenda sana leo umenigusa hayo mambo ni ya kweli kha kha kha cancer za koo ndioooo nongo kha wanaume mnahadhirika jamani ukiona geti tu sura umeikunja kama iddi amini dada minara yote imesoma voda com

  • @newgreeneaglestudio3089
    @newgreeneaglestudio3089 3 роки тому +1

    Nampenda huyu dada mwenye miwani

  • @tiffanyhanbal7647
    @tiffanyhanbal7647 3 роки тому +1

    I love this guy wallahy 😂😂😂

  • @kaliauboo2613
    @kaliauboo2613 3 роки тому

    Hongera sana kaka

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому +3

    Uyu amekiburudisha sana ichi kipindi asante

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 роки тому +1

    Tobhaa!!

  • @aishahamissi3775
    @aishahamissi3775 3 роки тому

    😀😀😀😀😍😍

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 роки тому +2

    Dr kumbuka unamaneno machafu🙌😅😅😅😅😅😅😅😅❤

  • @janethgregory8466
    @janethgregory8466 4 роки тому +1

    kumbuka nakupenda,kila cku naumwa kifua kwajili ya kucheka

  • @saumumtangaliobeliobe6383
    @saumumtangaliobeliobe6383 3 роки тому

    Kipini shangingi mstaafu..duh Dr kumbuka nooma

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 3 роки тому

    Wera weraaaaaa 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @7mpya799
    @7mpya799 4 роки тому +4

    Duhhh uyu jamaaa anakipaji

  • @evagervasnyembeke9075
    @evagervasnyembeke9075 4 роки тому +5

    Dahhh nimecheka Sina mbavu

  • @fatumaluvuno7518
    @fatumaluvuno7518 4 роки тому +4

    Hahaha wape kumbuka. 🇰🇪😂😂🔥🔥🔥

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 роки тому

    Kipindi hiki nnazid kukipenda ❤️❤️

  • @lovenesspeter2495
    @lovenesspeter2495 4 роки тому

    Hanoooo😀

  • @mamukassim4075
    @mamukassim4075 3 роки тому +1

    Kumbuka sitaki mieeeeeeee. Iyo hanooooooooo

  • @maulakilumile2252
    @maulakilumile2252 4 роки тому

    Wewe noma sana

  • @fatumayahaya1389
    @fatumayahaya1389 3 роки тому

    Umenikosha kwel Dr kumbka we kiboko kaka

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    😀😀😀😀

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 3 роки тому +3

    Jamaaa anakipaji cha maneno sijawahi skia karudia neno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 3 роки тому

      huyo ndiyo kumbuka cherehani haioni ndani🤣🤣🤣😝😝😝

  • @zozeezs2933
    @zozeezs2933 4 роки тому +1

    Jamani yaani laahaa sanaa uhondo

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 4 роки тому

    Swadak taaaa manenokuntu wapeee

  • @twalib09
    @twalib09 4 роки тому +10

    Nimeweka WIFI kwa ajili ya dr kumbuka😂😂😂😂😂

    • @twalib09
      @twalib09 4 роки тому

      @Zawadi Issa niko Mombasa elfu moja kwa mwezi

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 роки тому

    Sema wanune wapasuke

  • @noorkhamisi2490
    @noorkhamisi2490 4 роки тому

    😀😀😀😀😀

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 роки тому

    Dr kmbuk nakukubali

  • @grace2757
    @grace2757 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️Dr achakuchekesha watu

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 4 роки тому

    😂 😂 😂 😂 😂 Dr Kumbuka bhana

  • @victoriamlumba9231
    @victoriamlumba9231 3 роки тому

    Mmmhhh

  • @annamwananjela5594
    @annamwananjela5594 3 роки тому

    Duuuh mi nakpnda sn

  • @user-nu9ip9en8i
    @user-nu9ip9en8i 4 роки тому +2

    Ongezeni dakika please wallah nimecheka...😃😃😃

  • @upendokaswiza9831
    @upendokaswiza9831 3 роки тому

    Jamaniiiiiii

  • @user-en6qq3rs8j
    @user-en6qq3rs8j 3 роки тому

    Kweli kabisa kka kumbuka tena huku ndo wamejaa wana wake ndo zao

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 роки тому +5

    Wanaume wetu Africa munaamini jukum lakumlea mtoto nilamama peke yake nepi zamtoto nijukum letu sote Baba Na Mama

    • @janethmalaika5241
      @janethmalaika5241 4 роки тому

      Yaani hapo ushasema Africa jibu lako tosha swali la haraka wazazi wetu haswa wababa waliwahi tubadilisha nepi? Kuna vitu vingine tuwaachie watu wa mbele maisha yote wao ni pasu kwa pasu mpaka mkienda outing wenzetu pasu kwa pasu .Mwanamke wa kiafrika umwambie lipa wewe atakuelewa hahahahaha .

    • @lightnessadam2348
      @lightnessadam2348 4 роки тому

      sio kwa nchi hii

  • @salmaomary3702
    @salmaomary3702 4 роки тому

    Hahaaa hii noma nimecheka kama mwehuuu

  • @maliharajabu8917
    @maliharajabu8917 4 роки тому +1

    Hahaaahaaaa

  • @wardawarda4515
    @wardawarda4515 4 роки тому

    Mhhhhhh nimechekaa

  • @amathaathanasi2638
    @amathaathanasi2638 4 роки тому +1

    Tenaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @user-co8dd5qh3g
    @user-co8dd5qh3g 7 місяців тому

    ,,,,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 maimaimaiii kumbuka kambae nakuona +254❤❤❤

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 4 роки тому +1

    Basi haya

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 4 роки тому

    Kweli unayo sema kumbe

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 роки тому +1

    Hahahahaha hanooo

  • @talvenaasilia6784
    @talvenaasilia6784 4 роки тому +1

    Dina kazi.mnayoo

  • @brendalisahfredrickk8221
    @brendalisahfredrickk8221 4 роки тому

    Jmn frequency za efm arusha ni ipi

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 роки тому +1

    Hakuna ano kuweza Dr kumbuka jamaniiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abushirsulleiman4270
    @abushirsulleiman4270 3 роки тому +1

    Kama umeckia kipini kama shangingi mstaafu gonga like

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 4 роки тому

    😃😃😃

  • @mwamvitakituka2994
    @mwamvitakituka2994 3 роки тому

    Bhana kumbuka mwenzio nna mshono mbichiii utanirudisha thietre miye!

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 3 роки тому

    Hahahaaaaaa kumbuka unaniacha hoiii

  • @albertmaterial2951
    @albertmaterial2951 3 роки тому +1

    Huyu Jamaa Msogezeeni AC karibu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 роки тому

    Kameza Kaset

  • @user-pe4ep6ui3j
    @user-pe4ep6ui3j 3 роки тому

    Haaaa

  • @rahmarahma5076
    @rahmarahma5076 3 роки тому

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @manaseelias2351
    @manaseelias2351 3 роки тому

    Nimechekaaaas

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 3 роки тому +2

    Shangingi mstaaaafu😂😂😂😂🤣☝️

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 4 роки тому +5

    Nilikuw kweny daradara tumecheka abr ka nn

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 4 роки тому +2

    Kumbuk wew utakuwa umesha logwa wew maan so kwa mapovu haya ujembe umefika😂😂😂

  • @user-cr9mf7dg4k
    @user-cr9mf7dg4k 3 роки тому

    😁😁😁😁😁😁

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +3

    Mukome nayie wanaume kwa uhuni wenu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 4 роки тому

    😂😂😂😂😂Watatuwaaaaaa

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 3 роки тому

    Vp

  • @victoriakasiagila8299
    @victoriakasiagila8299 3 роки тому

    Halooooooooooooooooooooo......... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣