Ni Nini Kilichotokea Baragoi?
Вставка
- Опубліковано 12 лис 2012
- Maswali mengi bado yanaulizwa kuhusiana na shambulizi lililopelekea vifo vya zaidi ya maafisa 30 wa polisi. Wengi wakishangaa iwapo maafisa hao hawakuwa wamejitayarisha kwa makabiliano hayo au kuna baadhi ya maafisa waliowasaliti kwa wavamizi.kikosi cha nipashe kilimpata afisa mmoja wa polisi aliyeokolewa kutoka kwenya mkasa huo zaidi ya saa 48 baada ya mkasa huo kutokea na anaelezea kwa kina yaliyojiri.
We should pray for our government, the police forces etc, i think there's wisdom which could be applied to avoid this pray, pray for kenya.
Ukiwa kwa mlima definitely you will win
Pole sana vraiment MUNGU apewe sifa Sana
kenya n kelele tu king kaka uko sawa vile ulisema
This is one thing i applaud musevrni he is hands down if it comes to bandits in karamoja or north we don't have banditry.
This was the highest manslaughter in Kenya. How can a govt' with antistock theft send fresh trainees in baragoi who had no idea of how the terrain was???? May their souls continue resting in eternity
My high school deskmate died here
No
P
M
Am very sad to the our Young soldiers for both lost life and injured and may God Forbid 🤔🤔🤔
Oooh maskini ni hasara sana kupoteza police mkenya
Pole sana
Poleni sana mandugu zatu.lakini watu hawo watowa wapi silaha.
Wako na magaidi kwa serkal,na pia wakiuwa polisi wanachukua silaha na ug pia.
Hii walipanga kuwauwa police chuguzeni vizuri
Lucky man
Poleni sana
Ok
Pole sana mkisiinwetu
I send my condolences to the family everyone who lost their loved ones soo painful 🥺😭😭😭
A
Lack of planning and strategy in the Kenya police operations.
Poleni bro
I can if given opportunity.
My deepest condolences
10yrs after, Situation is the same
Needed air support
Kenyan government has no mercy on it's people
Pole
It looks like a movie .......
Kulikuwa na msaliti hapo,bt askari mnaitaji zoezi special ju hawa watu wako na ujuzi kuwaliko
It was ambush ,,ata uwe n training gani chances of survivor very less
Has this been sorted now .I think this now the work of county governments so settle between themselveves
Gok sould make sure it works better for the action
Only God our provider nowns
nyinyi wazembe tu vita hamijui nimdomo tu
Ukweli mbona wajiingize ndani ya bonde na wengine wasikae juu
Very painful
Mnajua kupiga tu rai . mafi ya kuku
Poleni wanzangu
One policeman dead is one bad character gone
Kutoka Tanzania nyie kama jeahi mutaendaje kizembe
Afadhali hivyo mumezoe sana kitu kidogo askari wa kenya chaitu
Maria
Gvnt hawawezi kuaford kitengeneza helcopter bt Kuna watu wako n private helcopters hahahaha what a joke country
Ujinga tu.....upumbavu
In the Era of Mathew Itere so many officers died.
Aki poleni
They did not call for backup
Kuna wasaliti in the security organs by the time this guys do an ambush the bandits are well informed.Its a shame it spells doom.
Wakenya Jenga Kambi ya jeshi huko
weeee kwa fikira zangu ma bandit wako bunge
Our officers needs more training in military you cant fight what you don't know , we can loss many officers if we go that way. Let there be no movement zone for just one month and they will surrender as simple as that.
Kupunguza namba ya polisi
Ole Jo
sad
9 officers Killed 26/09/22 . In 2022 We are still taking of cattle rustling. Rip this must end
This area is hot terran is terrible why did Kenya Army provide airstrike all police died nobody bothered be serious on Kenyan security mdomingi while people are dying
Hao majangili wapelekwe somalia
Only God kwom
Sasa kama wewe umefunza juzi kushika bunduki n pale Wale wamezalia wakifunzwa from 7yrs hamuwezi patana SWA I come from Maralal samburu county so iyo watu wanafaa kujua OK.
Mnajua tu kukimbia jeshi tuachieni watanzania
Ruto is sending kdf to DRC Congo yet he has not been able so put his country at peace
Uko serkal inapata pesa in $!
Police,kdf yote hamjai enda friendly shida ni hiyo .muende somalia, south Sudan na iraq
Huyo kibochi si apeleke kdf huko ama snaipers ndio ipambane na hao wahalifu
Kdf ni idea poa kwa ground battle wako roho juu , uko mount elgon walifagia sabot land defence
Recruit us pls
kenya needs an overhaul..
machax002 mob
machax002
Reset!
Nyinyi Ni bure sana,kazi yenu Ni hongo tu
siku mama yako atajipata kwa mikono ya magaidi ndo utajua umuhimu wa askari for now relax na uongee
The bandits are ex kdf where do you think of kalenjins who resign or retire from army na hakuna other jobs uko n kusafeguard ngomb'e zisiimbiwe hama uibe
Hii ni ukahaba wa serikali ya kenya kwani hawangewapatia ndege ama hizo dege niza kazi gani? Ama hazikuwa na mafuta?bure Sana Takataka .
Mafuta iko kwa waheshimiwa kwa askari hakuna woi Mungu tuhurumie.
Mueshimiwa rudisha matiangi Kwa kazi yake binadamu ukosea na usamehewa . matiangi aliwazibiti Hawa wezi.sasa wanarudi tena
Wapi yote sawa.
Alafu Kenya law society wanapiga kelele,if any lawyer never lost any brother or relative shame on you.
Serikari irikubari wakae na buduki.
buda kueni criz
Very much bad
Uhuru alishindwa kazi kitaaaaaaaambo hana maana yoyote
Very low intelligence level
Kwani uhuru ni mwanajeshi?
@@mofatnyingi9352 si yy ndio alikuwa commander in chief sikuile bandits wataingia muthaiga ndio watajua nikubaya.
Bikini