Kwa Nini Wizi Wa Mifugo Umekithiri, Pokot?
Вставка
- Опубліковано 12 лип 2013
- Wanasema hawana lolote la kufanya kwani maisha yao ni msituni na serikali imeonekana kuwatelekeza na ndiposa wakajitosa katika biashara haramu ya wizi wa mifugo huku wakijetea kwa kusema lau eneo hilo lingekuwa na maendeleo hawangejishughulisha na mifugo ya wenyewe......nazungumzia wakaazi wa eneo la Pokot ....na huku hayo yakijiri, mpango wa serikali wa kuwapokonya wakaazi wa eneo hilo silaha haramu unaendelea......Kwa wenyeji swali ni moja tu ikiwa watapokonywa bunduki hizo na wasiwapate askari wa ziada je watajikinga vipi na adui.
Watching 2022🇹🇿
Watching at 2019
Huyu njama ni comedians.bibi yake alindungwa miba na rafiki yake na mupendasana teteta waturukana nyinyi ni wakenya pia mimi ni mukenya
For sure gava wanacheza na hawa watu
Watching 2020.
Aaaah
waah
Andikeni asikari wakukomaa wale visirani mambo kama ayo munapeleka wandaazimu uko visirani sio kupeleka watu wamesoma walio itimi wakiuliwa akuna maana kueni na mafikira yakuandikisha jeshi lakupambana na watu aina iyo muimu
For prayers is the only key to defeat those guys
God iswith us not kenyan government
We believe the new government will do new thing as far as prayer place we have been given
Watching 2022 october
Do these people go to school? That's the solution to this menace
Signs of neglect
Serikali ya kenya kwanza iongee na youth ya pokot viongozi waweke mkutano pokot na wangalie vijana wa pokot wanasumbuliwa na coast of living that is are mistake of chief office and wazee wa nyumba kumi
Yasmin you mean this are our Kenyans. Jesus help
Watching 2023,, so sad
Woii
Ngunitv
Watching /ngunitv
Ngunitv
Ngunitv
Mungu bariki kenya
I am one of the bictims
Police Na majifu Na politics wanafaa kuhuliswa maswali ? Wizi wa Kijiji lazima wawe wanajua kazi Yao ni Gani? Waizi wakubwa wanapesa hata wakishikwa watahajwa mahakama pia Kuna shida maloya wetu kutetea wahalifu Pora pesa tunaelekea wapi?