SUBHAANA ALLAH! MFAHAMU DAJJAL NA FITNA ZAKE | MTU PEKEE MWENYE UMRI KARIBU YA IBLIS | NI MUIZRAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #Dajjal

КОМЕНТАРІ • 43

  • @simakhsimai3579
    @simakhsimai3579 5 місяців тому

    Masha Allahu sheikh,mwenyezi mungu akulipe kheri ❤

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +2

    Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam Ahli zake na Maswahaba zake wote

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +2

    In shaa ALLAH tujaaliwe kuufikia wakti salama salmin shukraan jazzakah ALLAHU kheir barakallahu feekum #riyadhtvonlineznz kwa juhudi munazo fanya za kutupa ilmu ya Dini yetu kupitia kwenu

  • @rahmahussein2020
    @rahmahussein2020 Рік тому

    SALAMUN ALAYKUM. ALLAH .NDIO TEGEMEO LETU. MTUME MUHAMMAD. S A W . AMEKWISHA TUTAHADHARISHA. TUMUOMBE ALLAH . ATUCHUKUE KABWA YA KUFIKA KWAKE. MTIHAN SI MDOGO. ALLAH AMSHINDE NA FITNA ZAKE.HIVI SASA KUNA ALAMA NYINGI ZA MWISHO WA DUNIA.ZIMEDHIHIRI DALILI NYINGI .NDOGONDOGO. ALLAH TUNAKUOMBA TUSTIRI NA FITNA ZAKE.MENGI TUNAYAONA . YALIYOTABIRIWA NA MTUKUFU WA DARJA. REHMA NA AMANI ZIMFIKIE YEYE NA AHLI ZAKE NA MASWAHABA ZAKE

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +1

    Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh SUBHANALLAH MWENYEZI MUNGU atuepushe na fitna ya masihi dajjal Amiin ya Rabbil Allamin 🤲🏽🤲🏽🤲🏽

  • @Goshi-ov2wy
    @Goshi-ov2wy 8 місяців тому

    Gut

  • @husseinali5901
    @husseinali5901 3 роки тому

    SubhanaAllah mfano mzuri Mwana Chuoni kutoka Bara Asia kwa jina Abdulkadir Jeilani alikua taki Sana mchaMungu Sana wakati wake
    Sasa baada ya kufariki kwake
    Iblis kachukua nafasi hio hivi Sasa wengi wanataka usaidizi kwenye kaburi lake haswa kutoka Bara Asia
    Allah atuhifadhi

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 17 днів тому

    Alla kashasema atachukua watuwake maalum hizo. ndiodalili za mwisho

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +2

    Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 17 днів тому

    Watakaobaki wengi nikujivuna kutaka ukubwa vyeo natushaona kilakitu tuombe allaatuvushe ktk nyakatihizi za mwisho

  • @t.v.a.i.s.s6842
    @t.v.a.i.s.s6842 3 роки тому +1

    Allah tuzidi kumuomba atalinde na fitna zake masih ul dajjal . Eish , ni mtihan mkubwa

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 17 днів тому

    Usikoment chochotekama huelewikinachozungumzwa afadhali ukaekimya niborakulikokutukana watuwenyefaida kwawenye yakini

  • @husha6372
    @husha6372 2 роки тому

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Dajjal pia HABARI zake kwenye VITABU VYA Dini Nyingine pia

  • @shabanisalimu5792
    @shabanisalimu5792 3 роки тому

    Isha allah

  • @ndeterealestate
    @ndeterealestate 3 роки тому

    Jina "NEOM" limetokana na maneno mawili. Herufi tatu za kwanza kutoka kwa kwenye lugha ya Kigiriki NEO kumaanisha NEW ama "mpya". Herufi M ya mwisho ni kutoka kifupisho cha Mostaqbal, neno la Kiarabu linalomaanisha "siku za usoni" ama FUTURE

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 17 днів тому

    Ishinawatu vizuri achamajivuno usijione ww borakuliko wenzako

  • @t.v.a.i.s.s6842
    @t.v.a.i.s.s6842 3 роки тому

    Assalaam aleykum warrahmatulullahi wabarrakatuh.. tusaidizane sheikh Wangu. Neno "NEOM "Maaana yake . Helufi Tatu za kwanza "Neo"Zina mana . yake asiri ya hili neno ""neo " ni kigiliki . Mana yake "" NEW " Helufi ya mwisho Ni "m" Maana yake ni "MUSTAQBAL"Asiri ya neno hili . Ni kiarabu.Maana yake ni " FUTURE " kwa ufupi # NEOM# = # NEW FUTURE #. Hapo sasa mtafika munaelewa walengwa ni wakina nani

  • @salimulimu3065
    @salimulimu3065 2 роки тому

    Mwakasege

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 17 днів тому

    Kamahujui au. Hufahamu usitukane masheghe yawezekana hujuihatakujitwaharisha halafuunawatukana mashe

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 17 днів тому

    Tuchukue madini hayokwamasheghe tuache ujuaji mwingi alopewakashapewa

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 17 днів тому

    Halafutusijidanyanye nahii dunia ni maisha mafupi sana

  • @mpangwehassan6264
    @mpangwehassan6264 3 роки тому

    Mbona hii umeirudia? Lete mpya

  • @habirujuma6206
    @habirujuma6206 3 роки тому

    Daah. Matangazo. Mbona.meng.alf.hayana.maadri.na.dn.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      Ukiona huelewi sio yako

  • @seifmamboleo3092
    @seifmamboleo3092 3 роки тому

    Mpenjah

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 17 днів тому

    Soteni maiti watarajiwa uwe unamali masikini sote tutakuwa chakula chaudongo fanyakiburi ufanyavyo tutakufa tu

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 3 роки тому

    Si kweli mbona wathiopia Kuna wayahudi

    • @yasinamiri7649
      @yasinamiri7649 2 роки тому

      Uwezi ona kwa ukiwa na moyo wa ushindan na kibul maana myahud 🇮🇱 yoyote na mkiristo ni walewale tu na kama utaitaji kujua ukweli bas tafuta ndani ya bibilia jina la mwenyezi mungu mfano sisi waisalamu mungu jina lake ni ()Allah() ()alrahman() je wakirsito jina la mungu ni nani??

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Heee mtihani huo

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 3 роки тому +1

    Hivi shekhe masih huyu unaemuongelea Ni tofauti na nabii Isa??Yan yesu au Ni nan uyo ???

    • @sasha-rg2sp
      @sasha-rg2sp 3 роки тому

      Anayezungumziwa hapo ni masih ddajal na si masihi issa

    • @اللهأكبر-ذ7ث3س
      @اللهأكبر-ذ7ث3س 3 роки тому

      Kuna masihi Isa bin Maryam( Yesu)mbali na Kuna masihi dajaal mbali
      Masihi inamaana nyingi kwa nnavyojua mie
      1- mpakwa mafuta
      2- mtu anayetembea duaniani kwa hafla Mara saivi unamona hapa Mara baadae umuona pale mfano saivi unamuona masihi nazareti baadae unamuona afrika
      Kwa nnavyojua mie ndo ivo

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 3 роки тому

    Wapi maandiko ww kafiri

    • @assfzainab912
      @assfzainab912 3 роки тому +1

      Kafiri niwewe unaye kata kiuno kanisani et waabudu wafkiri kisho kiama kutakuwa na ndombolo?

  • @saimonmichael4983
    @saimonmichael4983 3 роки тому

    Kafili wakwanzaniwewe mchochezi haramu wewe usoonavibayawewe unakosayakuwafundisha watu unaanzakulopoka

    • @feysalsaleh5444
      @feysalsaleh5444 3 роки тому +3

      Ww bilisi umefata nini kwenye hii chanal mpa ukafikia kukoment tunashku Kwa kufatilia uislam utanyooka na kusjudu inshallah

    • @baisheally4636
      @baisheally4636 3 роки тому +3

      Tena bilisi mkubwa mbwa huyu kafata Nini huku kafiri mkubwa huyu

    • @noffelsalim3268
      @noffelsalim3268 3 роки тому +2

      Maluuni mmoja we.ww baki na ukafiri wko tu.utakiona

    • @simiyumartin1333
      @simiyumartin1333 3 роки тому

      Vv CNBC ññ q FC CFP

    • @sweetylove9918
      @sweetylove9918 3 роки тому

      Ww Saimon itakua ww ndokizazi cha Shetani mbwa ww Mungu akulani nakizazichako