Vitu 5 ambayo siye Wanawake tunamkubali na kumpenda mwanaume mazima ni: 1. Awe Mcha Mungu, mwenye hofu ya Mungu 2. Awe Mchapa kazi hodari 3. Mwenye Heshima 4. Muaminifu, na anajielewa 5. Mwenye Huruma, na mwenye upendo wa dhati Hatujali sura, pesa, na mavazi, Kwa sababu huwa twavirekebisha siye wenyewe. Ila hongera sana bro. Nimependa sana interview yako.👍🏽👍🏽👍🏽
Doooh maashaallah huyu kk namuelewaga saan big up brother na Fabian uko vzr kwa kuuliza maswali ubarikiwe mwe pia mwanamke anahitaji true love Bas 🤣🤣🤣Mie tukitoka aisee siwezi kupepesa kichwa changu kuangalia watu mie napenda kudeka saan ss cjui km ntawatamani wengine
@@binamubinamu1151 mm juz uncle angu cjui alijisikiaje pale alipokosea kuniandikia neno KUNA msiba home mpk Leo nikikumbuk Ile mesej huwa najichekea Tu😂😂
Nimewatch hii Interview kidogo nikahisi ni mtaalam wa mapenzi kuna kitu nitajifunza lakini alipofikia kusema eti mapenzi yanahitaji kiunganishi cha biashara au watoto hapo sijamuunga mkono kwasababu mapenzi ya dhati hayaitaji kiunganishi chochote ndipo yadumu ikiwa mnashindwa kuachana kwa ajili ya watoto au biashara basi huo utakua ni uvumilivu tu na sio mapenzi tena Mapenzi ya dhati ni nyinyi wawili pekee muelewane na mkubaliane kwa kila hali bila watoto au chochote kile muwe kitu kimoja bila uvumilivu wowote kuna kitu kinaitwa "emotional bond" ndio mambo yote .mkiwa na emotional bond ndipo mapenzi yatadumu najua watu wengi sana wanaishi bila kiunganisho chochote na wamedumu kwenye ndoa na furaha tele
Kitu alichosema naona kanipatia yaani haya ndo mambo yangu uwa sipendagi mchezo kwenye mausiano safi kaka kwa somo zur .. yaani umesema kweli kabisa mwanaume anaumiza sanaaa hila mwanamke akipe anapenda kweli
Yaani wee acha tu nilifosi sanaaaa mwisho wa siku aliniongopea nikatoa pesa akazichukua milioni nne kwamba tukafungue biashara ya kuziba pancha. Kumbe anaenda kupanga nyumba na fenicha akanunua baadae niliambulia kashfa kashfaaaa mitandaoni nilikoma
Daaah pole sana Sophia mimi mwanaume wangu pia alinitapeli hela niliopanga kufungua biashara na yeye alijua lakini alitumia bila ruhusa yangu nilimuacha na nikamblock hadi leo yote haya ni mafunzo tumshkuru tu mwenyezi mungu kwa kutuepushia na mabaya zaidi 🙏
😰😓Mimi nimeumizwa jamani na mahusiano ni muhanga,nahitaji m anaume kma wewe jamani unajielewa Sana nimekupenda Kwa maana Mimi napenda mwanaume atulie Ila huwa sina bahati 😓
Vitu 5 ambayo siye Wanawake tunamkubali na kumpenda mwanaume mazima ni:
1. Awe Mcha Mungu, mwenye hofu ya Mungu
2. Awe Mchapa kazi hodari
3. Mwenye Heshima
4. Muaminifu, na anajielewa
5. Mwenye Huruma, na mwenye upendo wa dhati
Hatujali sura, pesa, na mavazi, Kwa sababu huwa twavirekebisha siye wenyewe. Ila hongera sana bro. Nimependa sana interview yako.👍🏽👍🏽👍🏽
MASHALLA Allah UBARIKIWE unajua kuongea
The BEST INTEVIEW in the word 👊👊
Oh my God Yan Leo nimejua hata Bima ya mapenzi thanks you so much brother
Umenielimisha sana kaka asante na hongera sana God bless you
Asante nimekuelewa unakuta mtu ànasema acha kazi nikuoe hapana hiyo sahau kabisa
Nimejifunza mengi sana kupitia huyo kaka nawapenda sana maxmamo tv
performance kubwa kubwa 👍👍
Mng nitunzie ndoa yng nizidi kufahamiana n mume wng 🙏
Mashaallah allaah akubariki kak na akupe hekima daima
Kaka asante kwa hili funzo
Asante sana amri amri ubarikiwe
Wise one🙌
Daaah umesema kweli hapa mtu mwenye hasira hatak kuvimiliwa mfano ndioo huo swalha na said ni hasira zilizidi na kuamua kumuua mwenzio bip up broo
Mashaallah ❤️ hongeren sana @ maximum TV kwa kutuletea huyu kaka
.... Nampenda sana anatufunza meng 😍😍 mahusiano jaman 😰😰😰😰
Hao wanaokuwa na nus ndio wanaozingua 😂😂
@@munakhamis982 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanaum na nusu ndo nin
Mko vizuri sana kwa maswali na majibu nimepata kitu
Hongera kak👍
Doooh maashaallah huyu kk namuelewaga saan big up brother na Fabian uko vzr kwa kuuliza maswali ubarikiwe mwe pia mwanamke anahitaji true love Bas 🤣🤣🤣Mie tukitoka aisee siwezi kupepesa kichwa changu kuangalia watu mie napenda kudeka saan ss cjui km ntawatamani wengine
afu kwa nini mkatumia harmonize 🤔🤔
Ni kweli sana kaka mume nimemuamini lakin maumivu aliyoniachia sitosahau
Good job
Kweli
Jmn mm sipendi pesa wala muonekano pia cpendi kipaji mm napenda uwaminifu na hofu ya mungu make nalizwa jmn cna raha mm
Asante sana
True
Heee kumbe huyo kaka yuko tz nilikua najua anaishi oman
Bongo dsm..
African beautiful Oman mabella😂😂😂 niliona akitangaza huenda anakujaga kibiashara ata asili yake naona kama inafanana
@@Rahmah-dr9xd sana
@@Rahmah-dr9xd nilidhani msomali
Pole sana mchina boy,leo ndo mara ya Kwanza kkuona unahojiwa 😂😂
Dah nikwer kabisa dear nimekwelewa
Point d'avance merci beaucoup mon frère que dieu te benisse🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mm cjaskia mapenz ni nn
🙏
Huyu kaka ni mfasaha sana.
Mr fabio
Safi sana.
Maximam tv globa tiki tv nawapenda hamtangazi umbea habar zenu ni za kweli
True soma kea wote ila me huw nawaza pesa kwann nilikosa kuzipata mapema 😂
Mashallah muogeaji mboo ubarikiwe u aufundi wa kutosha
Mmmh,, mboo tena
Hii ilikuwa ni mbora si unajuwa TECNO hizi
Ok pole Sana
@@queenhuu2852 😂😂
@@binamubinamu1151 mm juz uncle angu cjui alijisikiaje pale alipokosea kuniandikia neno KUNA msiba home mpk Leo nikikumbuk Ile mesej huwa najichekea Tu😂😂
hawa ndo watu wakusikilizwa sio munatuletea watu kurupukurup tunapoteza mb zetu tu bure
kweli
Karibu amri wa african beauty oman ukirudi plz ni letee zawadi ya kitenge au kanga from tz 😊🇴🇲🇴🇲🇴🇲
mmmhsi uende african beauti oman we nae 🤓🤓🙄
@@sifatiiman mie nilikuanasema uyu siyukekaka anaeuzakanga oman kumbendoyeye
Huyu kaka umuhoji mara kwa mara yupo vizuri kwa kujibu maswali
Upo sahihi
Unajua kuuliza maswali mazuri
Nakupa asilmia💯umeongea kweli👌👌👌
Kweli mazoea ujenga tabia
Nimewatch hii Interview kidogo nikahisi ni mtaalam wa mapenzi kuna kitu nitajifunza lakini alipofikia kusema eti mapenzi yanahitaji kiunganishi cha biashara au watoto hapo sijamuunga mkono kwasababu mapenzi ya dhati hayaitaji kiunganishi chochote ndipo yadumu ikiwa mnashindwa kuachana kwa ajili ya watoto au biashara basi huo utakua ni uvumilivu tu na sio mapenzi tena
Mapenzi ya dhati ni nyinyi wawili pekee muelewane na mkubaliane kwa kila hali bila watoto au chochote kile muwe kitu kimoja bila uvumilivu wowote kuna kitu kinaitwa "emotional bond" ndio mambo yote .mkiwa na emotional bond ndipo mapenzi yatadumu najua watu wengi sana wanaishi bila kiunganisho chochote na wamedumu kwenye ndoa na furaha tele
hapo kwer kaferi❌
Mapenzi ni nn kayaleta nani mbona yanasumbua
Nzur
Watatu Leo
Umeshafika uku mchina wetu😳😳 sasa TIK TOK umemuacha na nani
😁😁😁
Nmekuelewa dogo unajua kuelezea .
Kitu alichosema naona kanipatia yaani haya ndo mambo yangu uwa sipendagi mchezo kwenye mausiano safi kaka kwa somo zur .. yaani umesema kweli kabisa mwanaume anaumiza sanaaa hila mwanamke akipe anapenda kweli
Yaani wee acha tu nilifosi sanaaaa mwisho wa siku aliniongopea nikatoa pesa akazichukua milioni nne kwamba tukafungue biashara ya kuziba pancha. Kumbe anaenda kupanga nyumba na fenicha akanunua baadae niliambulia kashfa kashfaaaa mitandaoni nilikoma
Daaah pole sana Sophia mimi mwanaume wangu pia alinitapeli hela niliopanga kufungua biashara na yeye alijua lakini alitumia bila ruhusa yangu nilimuacha na nikamblock hadi leo yote haya ni mafunzo tumshkuru tu mwenyezi mungu kwa kutuepushia na mabaya zaidi 🙏
Hapa niseme shukran kwa ili somo mahusiano yangu nimeyagundua sio sahihi 😃😃😃nachomoka jmn🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😥
😃😃😃😃
😃😃😃😃
Bora
🤣😂Toka tu mmy
🤣 🤣 🤣 🤣 Ufike salama taratibu usijikwae tuh
Wewe unaechungulia hapo nyuma ya kiti unaboa
Wakwanza leo ajabu
Hongera😂
@@mouwanahamisi8216 Asantee🤣🤣
Honger mr dj 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽❤❤❤❤❤
@@pilimusa3217 asantee😍😍😍
Namjua huyu kaka si yupo oma. Muscat maabela nesto alikuwa analelewa masikini kashakuja hadi kwangu milinunua nguo kwao akaniletea
Una uhakika kama analelewa
Kaka funguwa kiliniki nimependa sana ushauliwako
Mbalikiwe nyie wote jamn
😰😓Mimi nimeumizwa jamani na mahusiano ni muhanga,nahitaji m anaume kma wewe jamani unajielewa Sana nimekupenda Kwa maana Mimi napenda mwanaume atulie Ila huwa sina bahati 😓
🤣🤣🤣unamkumbuka yule dada aliye fanyiwa mahojiano hapa akasema alimpenda jamaa kwa crip zake
Wanaume hawatulii wanatulia wakizeeka
@@ladyt1471 mbn mim nimetulia jamni
Tafuta mwanaume ambae ameshakua kiakili labda pia unapenda sna kupitilia mwanaume akishaona uzaifu huo na wa kwetu Africa anajiona yeye ndio yeye
@@credo7837 hamna hamtulii nyie hùeñďa una watoto na wanawake kibao nje
Mchina boy
Huyu ni star au
@@pilimusa3217 nenda youtube andika @Amri Amri utamutambuwa vizuri
@@frorenceetoile3016 anha sawa. Asante
nilivyoskia tu wewe mtu wa tanga ham imeisha tena kusikiliza
Kwann tena🙆♂️🙆♂️