❤❤❤❤ ooh band ya nyumbani ,nalia nikikumbuka sauti hizi ambazo nilishawahi kuzisikia enzi hizo nikiwa shule ya msingi ,nikirudi nyumbani namkuta mama na radio yake Philips jikoni akiburudika na nyimbo hizi ,enzi zingerudi tuishi kama vile ,nimekumbushwa mbali sana.
Hapo nina umri miaka 11 kwa 12 ,maisha mazuri kipindi hicho ,asikwambie mtu, tukinywa chai na vitumbua alivyopika mama, RTD ngoma ndio hizo, basi zikiwekwa betri mpya kwenye radio, ndio mdundo kwenda mbele. natamani siku zirudi jamani, mwenzenu nimemiss maisha yale. 😭😭
@@marlonjr294 ha ha ha wala usiseme, umeona eee, enzi zile zilikuwa tofauti sana na Leo, hata watu walikuwa pia tofauti, mfumo pia tofauti na leo. kwa kweli tuliishi vizuri sana kwa upendo na heshima. ni nyakati ambazo hazitarudi tena. 31.08.24.

Thank you very much This is masterpiece.The expert list. Self introductive song Sax is fantastic followes by rythym
Few but comprehensive
Hapo nina umri miaka 11 kwa 12 ,maisha mazuri kipindi hicho ,asikwambie mtu, tukinywa chai na vitumbua alivyopika mama, RTD ngoma ndio hizo, basi zikiwekwa betri mpya kwenye radio, ndio mdundo kwenda mbele. natamani siku zirudi jamani, mwenzenu nimemiss maisha yale. 😭😭
Hapa niko Karemjee form 2 enzi za raha.
@@marlonjr294 ha ha ha wala usiseme, umeona eee, enzi zile zilikuwa tofauti sana na Leo, hata watu walikuwa pia tofauti, mfumo pia tofauti na leo. kwa kweli tuliishi vizuri sana kwa upendo na heshima. ni nyakati ambazo hazitarudi tena. 31.08.24.
Furaha isiyo kifani🎉