Jamhuri Jazz Band Tanzania 1970/71 - Nafikiria Kurudi Shamba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @miriamfritsi9183
    @miriamfritsi9183 9 років тому +5

    reminds me my child hood,kweli tulizoea kusikia redio tanzania miaka ya 70 nikiwa na umri wa miaka 10,lo jamani natamani nirudi nyuma tena,maisha yalikuwa hayana msukumano kama sasa,naitwa mariam fritsi naishi uswis.6.11.2015.

  • @ndegeyaernest3101
    @ndegeyaernest3101 6 років тому +1

    Poleni sana kudhulumiwa jasho lenu kwa kweli mlianza kuipa Tanzania brand ya muziki wa inchi yetu

  • @mulundabondo8042
    @mulundabondo8042 3 роки тому +1

    Mimi pia nakumbuka wakati nimemaliza primary school. Hapa Congo hasa hapa Katanga redio Tanzania ilikua ikifwatwa n'a wengi. N'a kipindi kiliitwa wakati wa kazi kilitupata n'a fursa ya kupenda muziki kutoka Tanzania. Mimi niliupenda wimbo Huu. Sijui wanamziki hao wako wapi sada

  • @mauricendege6287
    @mauricendege6287 4 роки тому

    I wish a group can come up and play music like Jamhuri jazz.

  • @saadajohnson3361
    @saadajohnson3361 8 років тому +6

    'hata na mimi nakumbuka nyumbani Iringa na mbeya kabisa......OMG, I need to go back nyumbani!!!

  • @hadhiroufakihi539
    @hadhiroufakihi539 Рік тому

    Mzourissana sana sana

  • @keminokana
    @keminokana 13 років тому +1

    Aaaah these guys (kinyonga brothers) had a special touch. Lovely song. Takes me back to my childhood days though it's not that long ago.

  • @MAGNETOPLASTICO
    @MAGNETOPLASTICO 13 років тому +1

    Bellissime.Grazie.

  • @hadhiroufakihi539
    @hadhiroufakihi539 Рік тому

    ❤️❤️❤️❤️

  • @tangapublishers6964
    @tangapublishers6964 2 роки тому

    Safi sana

  • @kagemulobayona137
    @kagemulobayona137 7 років тому +2

    yaani inanikumbusha Bunda wakatu huo baba kanunua radiogram nikiwa nasoma primary school by Ag

  • @athumanimalenge5533
    @athumanimalenge5533 6 років тому +1

    R.i.p Wilson Peter Kinyonga

  • @Fiskarrr
    @Fiskarrr 14 років тому +2

    mziki halisi wakati huo---siku hizi hatuna wanamziki kama hawa. Rekodi zatolewa tu haraka haraka kama humbugers zinazohuzwa kupitia dirisha la kioski.
    Hazina ladha wala utamu wowote. Haya yote juu sababu ya tamaa ya pesa.
    Ombogo. Fl.

  • @samsawidi5648
    @samsawidi5648 3 роки тому

    Tamu

  • @saadajohnson3361
    @saadajohnson3361 8 років тому +3

    Hey makaka na madada mko wapi??? may be we should have a reunion. Mimi niko marekani.

    • @marlonjr294
      @marlonjr294 2 місяці тому

      Mie nimekukimbia huko. 1978.😂😂😂
      Niko Oman

  • @vkdjdnznzzn9507
    @vkdjdnznzzn9507 5 років тому +1

    Nakumbuka nyumbani kilwa kuvua samaki

  • @najmasaleh9231
    @najmasaleh9231 6 років тому +1

    Tafadhali kama uko na kipande cha jamhuri jazz bend kinaitwa mganga no1 kimeimbwa ktk lugha ya kizigua kama sijakosea

    • @Shammy-rn3tn
      @Shammy-rn3tn 5 років тому

      Ni Rajabu Khalfani alikua anatambika Kibondei sio kizigua.

  • @salimakerubo786
    @salimakerubo786 9 років тому +3

    Let all of us stand up and no to the looting of public funds by a few individuals in authority

  • @simiyudennis88
    @simiyudennis88 6 років тому +1

    Jembe ndiyo mambo yote kwa mkulima yeyote uliamuajee kurudi shamba ama ungali mjini?

  • @tyty1794
    @tyty1794  13 років тому +1

    Furahia Maisha

    • @sakumunalakamanqanqax
      @sakumunalakamanqanqax 2 роки тому

      Asante kaka. Tafadhali tupe pia wimbo Fadhili i wapi kwa mwanadamu

    • @adamujuma6568
      @adamujuma6568 Рік тому

      good song all the time.When i listen this song tears come out.

  • @Chifibula
    @Chifibula 10 років тому +1

    Can anybody tell me where I could get Safari Trippers "Hanifa Huna "

  • @DocSerengeti
    @DocSerengeti 11 років тому +1

    let all TZians go to shamba to farm!

  • @africolombia
    @africolombia 8 років тому

    Mimi ni nia ya hii bands vinyls, lon plays, singles mtu anaweza kunisaidia tafadhali my email fabianaltahona@hotmail.com