Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
bado nipo na jamhuri nimemis hizi good time kwa kweli.
Nakumbuka nina miaka 10 hivi, nikiwa korogwe Tanga, asubuhi subuhi ukijiandaa kwenda shule, unasikia mdundo huu na mingine, chumbani kwa mama, ooh nimemis sana zile enzi za RTD zilikuwa za furaha na tuliishi kwa amani, 05.01.23.
I loved Jamhuri Jazz since I was 11 years old, am now in my early 60s!
Jamhuri Jazz band wakipiga Home Bar Chuda mjini Tanga. Ilikuwa hatari.
Inanikumbusha HOME BAR MASIWANI GROUND TANGA
Enzi ya ujana 🇰🇪👭👸👪🙋