KUFUNGA MWEZI WA RAJABU NI BIDAA KAMA ULIKUA HUFUNGI SUNNAH ZA KAWAIDA, NA KUNCHINJA HAIFAI MWEZI HU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • • KUFUNGA MWEZI WA RAJAB... #KHIDMATV #SheikhIbrahimTwaha #Mawaidha #Nasaha #Elimu #Bidaa #Uzushii

КОМЕНТАРІ • 42

  • @Hawa-t1e
    @Hawa-t1e Рік тому

    jazaakallaahu khayra allaah akuhifadhi sheikh twaha

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 Рік тому +4

    Unazani Nakufikiri Kila Anaetoa Mawaidhwa Basi Anatoa Mawaidhwa. Kihakika Wengine Wanapiga Makelele Watu Kila Wanachokikusua Kukifanya Kwaajili Ya MOLÀ Wao Wewe Hautaki Kana Kwamba Wewe Ndio Unaohukumia Nakutoa Thawabu Nadhambi Kwa Watu. Basi Umekosa Maneno Mengine Yoyote Mazuri Yakusema Mpaka Watu uwazuie Kufanya Kheri Katika Mwezi Kama Huu Mtukufu. AFANAA ALAIQ.

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 Рік тому +3

    Hatufungi Watu Hawafungi Kwaajili Yako Sheikh Letu Kwaajili Kilemva Nakanzu Najoho Tuache Tuchinje Natufunge Natufanye Zikri Mbalimbali Hatukufanyii Wewe Nawala Wewe Simlipaji Aamali Zetu Tafadhwali Tuache.

  • @AllyMahaba-r1l
    @AllyMahaba-r1l 15 днів тому

    Mtume Amesema funga miezi mitukufu na uache. Acha kudanganya watu. Wewe sio mlipaji. Mwache Allah Amlipe mfungaji. Innamal-a'malu binniyyaat.

  • @TwalibSaid-c4x
    @TwalibSaid-c4x Рік тому +2

    Kila anae sema kiarabu akavaa kilemba akasimama mbele ya msikiti ni shekhe tayari Kila kitu ni bidaa kufunga mwezi wa rajab pia ni bidaa hii sasa ni hatari mwalekeza watu kwenye uovu sasa mawabi imekuwa kufunga pia ni balaa sasa mmechoka kusema kuazimisha mazazi ya mtume haifai sàsa mwapambana na saum

  • @Abdul-AzizAthumani
    @Abdul-AzizAthumani Рік тому

    mwezi huu unafungwa kwaajili yakujikaribisha kwa mweneezi mungu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Рік тому +1

    Uislam sio kama dini nyengine kwamba kila aliie na uchafuzi wake wa ibada za kutunga tunga aingize
    Uislam ni kitabu na sunna (maelekezo ya mtume) ibada yoyote ile tuna ikaguwa kwa kutumia quran na.hadithi sahihi ...ikiwa imesihi basi hiyo ni IBADA na ikiwa haiko ktk kitabu na sunna huo ni UCHAFU na sio ibada wala haina malipo
    Sahaba ibnu masoud anasema
    االتابعو ولاتبتدعو فقد كفيتم
    Fuateni wala msizuwe mumetoshelezwa
    MUSIKASIRIKE MUKATUKANA WATU .EIDHA HAMUJUI KITU AU HAMUTAKI DINI

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 Рік тому

    Na hii miezi mitukufu, kwa ibrahim twaha ndg, mungu mwenyewe katuambia tuzidishe kufanya khairati ktk miezi migukufu, kwa maana unauambia umma wasifanye khayrati?
    na ukifanya maassia ktk miezi hii unalipwa mabaya zaidi
    mbn mwapotosha umma

    • @salimsalim6278
      @salimsalim6278 Рік тому +2

      Baada waangalia yakukatazwa wakataza watu kufanya mema huu nimmoja ktk ash'hurul hurum matendo mema Ni Bora ndani yake Na miongoni mwa mema Ni kufunga wewasema bidaa haifai kilemba na juba 😂

    • @AishaMtapa-i3v
      @AishaMtapa-i3v Рік тому +2

      Sio kila ukisikiacho lazma ukifuate akili unayo hujalazimishwa fanya unachokiamini wapo wanaomuelewa wee baki na unachokiamini. Acha kubeza usichokielewa.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Рік тому +2

      Ww pia miwani yako bida hiyo mtume s a w hakuvaa miwani hawa mawahabi wapotoshaji

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp Рік тому

      ​@@saba-gv3mjkwaiyo miwani ni ibada? Mh ujinga umejaa watu hawasomi dini yao

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Рік тому +2

      @@AllyAhmad-zg2yp ww una soma dini yako hata spika bida fani bida wakati wa mtume s a w hazikuwa sasa ww soma wacha kuropokwa zuzu ila bida njema kwa sababu zinatumika kwa ajili ya Allah hata taa bida wakati wamtu hakukua na tenesco sijui waelewa

  • @ShedrakShedrak-c1q
    @ShedrakShedrak-c1q Рік тому

    Dini ya uislaam imevamiwa.

  • @allykagoma5168
    @allykagoma5168 Рік тому

    Mashekh wengine bange kweli shenz kweli umeshasema Rajab ni mwezi mtukufu sasa utukufu wake uko wapi

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx Рік тому

    Kwani Hadith ikiwa dhwaif haifai kufuatwa... Ustadh rudi usome...

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Рік тому

      Haifai na kama ikifaa basi dini itakuwa na uzito sana

    • @Abuusaad-uy5cx
      @Abuusaad-uy5cx Рік тому

      @@mgazamhina840 Acha kuropokwa

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Рік тому

      @@Abuusaad-uy5cx sasa nimeropokwa na nini

  • @ShedrakShedrak-c1q
    @ShedrakShedrak-c1q Рік тому

    Uislaam umevamiwa jamani. Tuwe makini sana. Msikie makini utagundua udhaifu mkubwa kabisa.

  • @JUMAJUMA-ym1kt
    @JUMAJUMA-ym1kt Рік тому

    Mijitu ya hawaa kazi yao ni matusi tu kwa ujaahili wao

  • @ShedrakShedrak-c1q
    @ShedrakShedrak-c1q Рік тому

    Hivi hawa wanaousemea uislaam wanatoka wapi siku hizi? Tuko hatari.

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 Рік тому

    Na km ikhtilafu mbn hamuizungumzi mwanachuoni hugu azungumza hivi na huyu azungumza hivi
    mbn hamui wakweli ktk dini

  • @zainulabidiendhulfikar7398
    @zainulabidiendhulfikar7398 Рік тому

    Puuuz la sheikh àibu kwelikwel kasoma wapi huyuu .... Upumbavu wa mwisho

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Рік тому

    Kama ni sunna kufunga mwezi mzima nani kafunga mwezi mzima ?
    Dalili sahihi tupe

  • @kadudesora6794
    @kadudesora6794 Рік тому

    Ukiwaskia watu bidaa, bidaa, bidaa, niwapuuzi, huyo na kelele zake zote na kipaza sauti chake je mtumi s.a.w alitumia?

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp Рік тому

      Kuwa na akili kipaza sauti sio ibada ndugu, tusomeni tuache ubishi ndugu

  • @nassirmohd-j6t
    @nassirmohd-j6t Рік тому

    Muongo ww hujui chochote muongo ww
    fuqaha wote wanne nisunna kfunga mwez mzima acheni upuuz wenu
    Nyiny watu mbona waharibifu hiv

  • @nassirmohd-j6t
    @nassirmohd-j6t Рік тому

    Kukusikiliza ww ni ujinga kasomeni kwanza

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Рік тому

      Hivi kama hajasoma wewe si ukatafute ukweli ili uufuate

  • @swalehhariri6516
    @swalehhariri6516 Рік тому

    Watu wanawaza bid'a tu ndio dini yao

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 Рік тому

    kwa utuambie ndg funga zetu watulipa wewe au allah
    ndo utuambie, hii miezi mitukufu, mi siwaelewi nyie mijibwa tu