RAIS SAMIA KUBAKI IKULU HADI 2035?, KAULI YA LUKUVI YAMKERA KAGASHEKI “ MNAMLETEA VURUGU RAIS"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 155

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 18 днів тому +11

    Yupo Mungu mtetezi wa wanyonge na msemaji wa mwisho

  • @RICHMINDEDSKILLS
    @RICHMINDEDSKILLS 18 днів тому +15

    Kwakua kapewa cheo 😂😂😂

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 18 днів тому +11

    Lukuvi chawa tuu

  • @jhecfoundationtanzania2891
    @jhecfoundationtanzania2891 15 днів тому

    Hamiss swedi khagasheki, nakukumbuka Sana ulitupenda watu wenye ulemavu,enzi hizo tukiwa mugeza mseto,ukitushirikisha kwenye sherehe za wapendanao mwaka 2013 kasibante radio be blessed

  • @lucasathanas9554
    @lucasathanas9554 18 днів тому +20

    mm naamini Haina haja hata kulumbana, MUNGU anajuaga kukomoa anauwezo wakuingilia kati jambo hata hizo kelele zisiwepo, tupige magoti tuombe kama MUNGU amekusudia had 2070 basi ataongoza had huko lkn kama hajakusudia hata 2025 hawezi kupita. tusigombane niwatoto wa baba mmoja MUNGU vurugu hazina tija❤

  • @meckdonald81
    @meckdonald81 18 днів тому +9

    Hatakiwi kabsa

  • @mrabdultv8356
    @mrabdultv8356 18 днів тому +9

    yaani au basiii , matumbo haya mmmm

  • @simonetz7036
    @simonetz7036 18 днів тому +19

    Hatumtaki, hatumtaki sisi

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 18 днів тому +11

    Lukuvi nlijua una Akili kumbe....😂

  • @DataICT-n8s
    @DataICT-n8s 18 днів тому +7

    Umenena mh wazir wa zamani wa maliasili,tulifikir ukubwa wa pua ndio uwingi wa kamasi kumbe matopee

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 18 днів тому +10

    Serikali ya dictators nothing much

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 16 днів тому +1

    Wazee kama awa wangekuwaa wanapunzikaa taku tunakuwaa adii Leo hii vyeo awachii tumewachokaa jamani tunaombaa serikaliiwekee vijana nguvu kazi mh lukuvi kalee peshenii yk ya uzee duh

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 18 днів тому +9

    Ila Mungu fundi hata Ndugai na genge lake walitaka wabadili katiba kwa ajili ya mwendazake ...Ila Mungu akaingilia..Ndugai yuko wapi na mwendazake?

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 18 днів тому +7

    njaa yke imehamia kichwani ndo mana anaongea utumbo tu

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 17 днів тому +1

    Samia must gooo

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 18 днів тому +5

    Sasa aliyesema si inajulikana kama anasema kwasababu ya teuzi aliyopewa mbona hajasema kipindi yupo nje ya baraza

  • @LekumoMedy
    @LekumoMedy 18 днів тому +3

    Badaa ya kuteuliwa lukuvi ameanza kuota mkia

  • @MembiLema
    @MembiLema 17 днів тому +1

    Umri ulio nawo c wakusema unayo yasema. Unafahamu kesho yako. Ww unae sema 2035. Hata jpm mlimwita mungu. Yakatokea yaliyotokea. Mungu hafananishwi chochote.Asante lukufi

  • @isamony58
    @isamony58 18 днів тому +16

    Hatumtakiiiii😢😢😢😢😢

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 18 днів тому +1

    Safi sana kagasheki

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 18 днів тому +5

    Labda Kwa wiz lkn Kwa haki 2025 hatoboi hta robo ya kura za watanzania shwain

    • @huyu1993
      @huyu1993 18 днів тому

      Atatoboa baba ako na mama ako shenzi kabisa wewe

    • @storytownTv
      @storytownTv 18 днів тому

      Kwan uwongo huyu bibi hatoboi acha kutukana watu ovyo mbwa ww

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 18 днів тому

      @@huyu1993 Kuma la mama Ako,,,nyie ndo wale mnaenjoy watu kuuawa na kutekwa,kuteswa govi la baba Ako na kisimi na mama Ako kirefu km mto naili

    • @RBMBAKARI-bv6wn
      @RBMBAKARI-bv6wn 18 днів тому

      Na atashinda sanaa

  • @AlexFanuel-i1p
    @AlexFanuel-i1p 18 днів тому +5

    Ulanzi umejaa tumboni

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 18 днів тому +1

    Hawa wazee akina Lukuvi niliwaheshimu sana lakini nilichokuja kujua mtu ukizeeka unapoteza focus. Hawa wazee wapumzike tu watupishe vijana tuiongoze nchi.

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 16 днів тому

    😊😊au sio 35

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 15 днів тому

    Akae miaka mia itakuwa vizur

  • @wilbroadsiyonga5889
    @wilbroadsiyonga5889 18 днів тому +1

    2025 Mwisho,Ashindane ndani ya chama

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 16 днів тому

    Mungu ndo musemaji wa kweli mungu huyu huyu ndo hakimu wa kweli yeye ndo atupa raisi tunaye mtaka wanachi tumwaminini mungu tu mungu ndo hakimu wa wkweli mungu yupo namugu hawi wala hachelewi mungu yuko pamoja na wenye haki jina la bwana ritukuzwe kote dunia na mibiguni

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 16 днів тому

    Lukuvi nimchonganishi.Musisahau ile kauli yake huko kanisani kuhusu Zanzibar

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 18 днів тому +1

    Allah amuhifadh rais wetu ametutendea mema sana hasa kwenye ajira na maslah kwa watumish madaraja tunapanda sanaaaa

  • @hashimkasimu6050
    @hashimkasimu6050 18 днів тому

    Ooooooo chawa jamani maajabu kwako

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 18 днів тому +2

    Kuwe na uchaguzi huru na haki tusianzishe vioja kama hivyo

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 15 днів тому

    Huwa wanaanza hivihivi kupima upepo wa wananchi kuwa watasemaje .

  • @JumaMohamed-m1z
    @JumaMohamed-m1z 16 днів тому

    Ajakusea kitu waziri lukuvi.ira uyo wazir wazamani ndio mwenje shida

  • @jumamsechu
    @jumamsechu 14 днів тому

    Serekali ya walipa fadhila

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd 15 днів тому

    Uchawa unaivuruga nchi, huyu lukuvi nidhani ni mheshimiwa kwelikweli, kumbe ni kama wale wengine

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 18 днів тому +1

    Mbona hakuna shida hata afike 2100 ni sawatu

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 15 днів тому

    Sikuhz hakuna agenda za kutokomeza umaskini ni kupigiana kampeni tu

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 17 днів тому

    Kauli hii ni ya kuondoa watu kwenye reli waache kuzungumza mambo ya msingi kwa sasa

  • @eliurumamalisa4700
    @eliurumamalisa4700 16 днів тому

    Makunguni wa mama hao

  • @binseif2216
    @binseif2216 18 днів тому

    Mungu msaidie Mama mpe nguvu aiongoze nchi mpka 2035

    • @Lyn712
      @Lyn712 17 днів тому

      atakuongoza ww hatumtaki sisi

  • @VictorNphilip
    @VictorNphilip 16 днів тому

    Mikopo .mpaka mwisho acha utani na nchj

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 16 днів тому

    Ipo siku chawa watalibu nchi nakuleta matatizo makubwa

  • @JehovanessPallangyo
    @JehovanessPallangyo 18 днів тому

    Kweli nchii waizi sana haya umepigia kura wap mpaunasema Samia had 2035 acheni uwizi bana jaman

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 13 днів тому

    Acha ujinga lukuvi

  • @SaidIssa-p6j
    @SaidIssa-p6j 16 днів тому

    Mimi sindi kupinga kula

  • @mr.lawimagupa3914
    @mr.lawimagupa3914 18 днів тому

    SIKUHIZI HADI MAJITU MAZEE YANAKUA MACHAWA, YANI MAJITU HAYANA AIBU SIKUHIZI JAMANIIIII KHEEEEEE😢😢😢😢😢😢😢 NAJISKIA KUTAPIKAAAAAAA

  • @JumaAliAbass
    @JumaAliAbass 17 днів тому

    Naona mnakereka sana watanganyika mbona kelele

  • @Didaskamili
    @Didaskamili 17 днів тому

    Kagasheki unafanyvema

  • @paulokitundu4961
    @paulokitundu4961 18 днів тому

    Hatoboi

  • @glorymiko6830
    @glorymiko6830 18 днів тому

    Lukuvi kumbe na wewe ni chawa!? Kaombe toba. Magufuli yuko wapi!? Mungu hadhiakiwi.

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 15 днів тому

    Nchi ya WADANGANYIKA

  • @IssaKimbe
    @IssaKimbe 17 днів тому

    NI kuvimbiwa Tu kwa viongozibaadhi Yao NI kawaida Tu kuvimbiwa Tu huyu tunamjua

  • @BarakaOchuu
    @BarakaOchuu 18 днів тому

    Lukuvi Kawa chawaa

  • @JamesKanyenda-y9y
    @JamesKanyenda-y9y 17 днів тому

    Njaa mbaya

  • @BreezyMnyama
    @BreezyMnyama 18 днів тому

    Kwa kuwa ye mwanamke

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 18 днів тому

    Kwa maslah yao wanafaidika nakulindana

  • @jactonmoris3034
    @jactonmoris3034 18 днів тому +1

    Kuna umri wa kusubiri tu kufa hata mbio mita kumi uwezi kukimbia Lukuvi anaitaji kula na kutunzwa umri wake ni mzeee Bora aseme hivyo ili rais amkumbuke yupo kinyume na Kila kitu

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 18 днів тому

    Ohoo na ninyi mnaanza kulinda kura

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 17 днів тому

    Hv kwann baaziyawaheshimiwa hujivua heshimazao kwakauli zisizomaana? Yaani mtuanaheshimikaa halafu anajishusha mwenyewe nakufanyamambo kanakwamba mpgadebe wastendi za vjijini

  • @MagangaAbdallah
    @MagangaAbdallah 18 днів тому +2

    Mh Lukuvi Safi sana hiyo . Tz itakuwa Nchi iliyoendelea Kwa kasi hii ya ujenzi wa Miundombinu.

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 18 днів тому

    Haipo nani atakubari maisha yameharibika ,ss sio wale mlio wazoe

  • @abdulismail6072
    @abdulismail6072 16 днів тому

    Haya mazee mengine yanafirwa

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 18 днів тому +3

    Kwanza miaka aliompokea Hayati Magufuli hatuhesabii, alipokea kijiti tu, yake 2025-2030 na 2030-2035. katiba tumeandika wenyewe isitushughulishe, maoni binafsi tu, ukiona pazito omba passport kaombe ukimbizi

  • @yassinkanal
    @yassinkanal 17 днів тому

    Rip magu

  • @daviddonatus8121
    @daviddonatus8121 18 днів тому

    Makalio ww ..... Yaan ww ni matako kabisa mh,... Wahaina Gani...?!. Ifikie muda viongozi kama Hawa hawaitajiki

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 18 днів тому

    Kunamasisiem yaliitaka mh Mungu !!? Sasa yameibuka mengine tena angalieni maneno yenu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 18 днів тому +3

    Mwisho ni 2030 tu hatutaki tena aendelee

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 18 днів тому

      Utataka tu kumamamayo

    • @FikiriniMwaluko
      @FikiriniMwaluko 18 днів тому

      Mpe wewe akuongozwe bila kusahau ndugu zako pia machawa bwana

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 17 днів тому

    MIE CJAONA KAMA KASEMA AKAE HADI MWAKA 35 ILA KAOMBA KM ITABIDI WAMFANYIE MAAJABU, NA ALOONGEA NAO NAHISI WAPIGA KURA NA WANAUSHAWISHI UWO HATA KWENYE FAMILIA ZAO

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma 18 днів тому

    Mmh MUNGU NDIE AJUAE

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 18 днів тому

    Akili ixhaexpaya

  • @Kalunirashidi
    @Kalunirashidi 17 днів тому

    nyie zamani niliwafm kama mnakuwa amuna upendeleo mbona amjatwambia mwenyekitiwenu anaongoza miyaka salasini mnaongeleya samiya

  • @petergeorgekafumu
    @petergeorgekafumu 18 днів тому

    Lukuvi ujiheshimu. Endeleeni kumkuza mkifikiri mnamsaidia. Acheni kumgombanisha na Mungu. Kumbukeni Mungu yupo, kama hamjajifunza kwa waliopita, mtajifunza sasa

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 18 днів тому

    ktachimbika raundii hii

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 18 днів тому

    Kinachonishangaza... wananchi wote hawamtaki samia yan ni Tushamchoka na kumchukia ila kuna maccm tu yalozoea wizi na machawa tu ambayo ni mafinyu ya akili yakisema aongezewe muda ili amuongoze nan sasa...???📌📌📌📌 Watanzania hatumtaki samia mbn ving'ang'aaaa????🤔🤔🤔

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 17 днів тому

    Si ndio hao akina lukuvi, ndugae,mwinyi n.w,, walipiga debe sana magufuli awe MUNGU, yaani atawale milele, badala ya kuongoza,,,, yuko wapi magufuri? Hii inchi siyo ya mfalme au malkia, wasituletee ujinga wa 1961-1984. Mbona yeye samia alisha sema ni raisi kamili! Na aka-apishwa! Sio kaim wa magufuli tena, amalizie hiyo 6 ilio baki.

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 16 днів тому

    Mkipenda madaraka basi muwe tayar kusikiliza wananchi

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 18 днів тому

    Kwani Tanzania ni falme? Hawa machawa wanaopayuka wanatumwa na Samia vinginevyo angewakemea hata kuwakataza. The buck stops here on her door.

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 18 днів тому

    Lukuvi niwazee waliochoka

  • @BarakaOchuu
    @BarakaOchuu 18 днів тому

    Hakuna anayemtaka

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 18 днів тому

    Lukuviiii huyu bab amezeeeka apumzikeee ale tu pensheniiii na wajukuuuu zake kama akujenga vi appartments nyumba za kukodisha akistaafu vimuongezeee kipato akistaafu aje mimi ni dalali aje nimuuzie viwanjaaaa goba huku na mbezi na makongo

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 18 днів тому

    Huyu Kagasheki aliacha madudu Geneva alipokuwa akifanya kazi WIPO (World Intellectual Property Organisation) halafu akarudi Tanzania na kupewa nyadhifa muhimu serikalini. Alibebwa na swaiba wake kwa kushauriwa ajiuzulu kwa hiari baada ya kupokea CHF 300,000 kwenye account yake ambayo ilisemekana ilikuwa ni hongo. Mwaka jana 2023 aliteuliwa na Rais Samia kuwa Mwenyekiti wa bodi ya parole. Kwa tuhuma mbaya aliyoacha Geneva ya kukubali hongo na nafasi aliyopewa hayo ni majanga kwa Taifa!

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 18 днів тому

    Viva mama

  • @denismisango6166
    @denismisango6166 18 днів тому

    Umezeeka vibaya we mzee

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA 18 днів тому

    Huyu muhehe kaishiwa sela kabaki chawa tu vyeo hivi

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 18 днів тому

    ndyo mana nkiona kjana yupo ccm nacheka 😂😂😂😂😂 sana aaa

  • @ButoyiThierry-j8e
    @ButoyiThierry-j8e 17 днів тому

    Rip

  • @paulmathias810
    @paulmathias810 18 днів тому

    Kwavile mimi sijafikia umli wa kugombea sina cha kulaumu aukupongeza maana wote ni walewale ila watofauti ni mimi tu😂😂

  • @nicodemusfidelis3772
    @nicodemusfidelis3772 18 днів тому

    Wazee nchi hii sasa ni wa hovyoo sn

  • @AbrahamSekuze
    @AbrahamSekuze 18 днів тому

    Lukuvi sidhani kama kauli hii ni yako kutoka akilini mwako akae mpaka muda huo wakati kauli ya bavicha tu imemuogopesha Samia must go

  • @m.n.b1892
    @m.n.b1892 18 днів тому

    (?)unazamila yaukweli au😢😢😢

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 18 днів тому +1

    Mpeni milele maana mlango wa kuzika marais wakiwa madarakani umesha funguliwa twendee kazi

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 13 днів тому

    Uchawa unatafuna hadi wazee jamani toeni hawa wazee wawekeni vijana waliokosa hajira waliosoma na wanauchungunnataifa lao wapo wanasjili laini uku mtaani hawana pakwenda walewakipewa nafasi kama hizi wanakuwa nauchungu nazo sio hawa wazee wameshachoka na wameshajizolea mali kibao hawana tena uchungu na taifa uchawa ndio umekuwa kipaumbele

  • @glorymiko6830
    @glorymiko6830 18 днів тому

    Mzee kibao pamoja na wengine waliopotezwa wanamwita huko alipo. Msimchezee Mungu nyie.

  • @justicebridge
    @justicebridge 18 днів тому

    Mnamdanganya huyo mtu went kisa nyie mnateuliwa teuliwa shame upon you na huyo

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 18 днів тому

    Chawa aliepevuka atakufa juu ya kiti

  • @JacksonJosephat-gn1nk
    @JacksonJosephat-gn1nk 16 днів тому

    No😊😊

  • @georgesungura
    @georgesungura 18 днів тому

    alivyotumbuliwa mwanzo tulizani kaonewa kumbe bogac kbs

  • @thomaskwibonelwa9240
    @thomaskwibonelwa9240 16 днів тому

    Sifia ule. Tragedy of African leadership. Uchawa utaliangamiza taifa. Ccm mnatakiwa kujua hamna hati miliki ya nchi hii. Jifunzeni mageuzi ya kitawala yanayoendelea nchi za magharibi, Tanzania siyo kisiwa.

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 18 днів тому

    MPENI HATA 100. NCHI SI YENU PEKE YENU. TUMECHOKA SANA NYIE HAMJUI TU😏😏

  • @sandyvoicevevo
    @sandyvoicevevo 17 днів тому

    Nch inaviongozi mashog sana mtu unaongea pumba