Mimi ni CCM damu damu lakini siwezi kubali kuona viongozi wanatuharibia chama aiseee Lazima nijiunge kwenye Siasa huyuuu ni ujinga kupitiliza unaleta stori watu tunataka maendeleo Afu utasikia wanasema CCM inawenyewe asa Kama ndo ivo wakampe mama Nyerere
Makonda ni kama Daudi . Wengine ni kama mfalme Sauli kwenye vita vya Goliati . Huyo ni wachama siyo wa raia .Makonda alikuwa anatumikia vyote viwili na zaidi ya yote ni raia
Hapo hamna kitu Katibu Mwenezi mmmm Katibu mkuu eeeeeeere hamna kitu Makonda ndiyo kiboko hata hamasa hamna
Huyo mwenyewe anachoka kazi haiwezi ametumwa kuchunga maslai ya vogogo .Polei sana wanainchi
Makonda ni baba lao nampenda sana huyo mwamba kazi kama hizi zina wenyewe na mwenyewe ni makonda
😂😂😂😂 huyu nchimbi Hakuna kitu
Ccm hapa mmebugi sana Chama kimepowa sana mmeleta viongozi wa kulinda maslah ya wenzao
Duuu
Chama mnaagiza wanapuuza mgogoro makete na wangingombe
Mimi ni CCM damu damu lakini siwezi kubali kuona viongozi wanatuharibia chama aiseee Lazima nijiunge kwenye Siasa huyuuu ni ujinga kupitiliza unaleta stori watu tunataka maendeleo Afu utasikia wanasema CCM inawenyewe asa Kama ndo ivo wakampe mama Nyerere
Hii nchi Tunataka viongozi kama makonda leo hii makonda aanzishe chama chake bc naapa anachukua serekali makonda hacheki na nyani
amcha kero za kuchokea
Makonda ni kama Daudi . Wengine ni kama mfalme Sauli kwenye vita vya Goliati . Huyo ni wachama siyo wa raia .Makonda alikuwa anatumikia vyote viwili na zaidi ya yote ni raia