MAma SAMIA SULUHU HASAN!!!! Aliyekushauri mtoe makonda kwenye uenezi wa chama hakika hakutakii mwisho mwema.. Nakuambia hivi Makonda ndiyo aliyekuwa amebeba Ushindi wako .... Kuwa makina na buyo mshauri wako maana hata wewe uliona somba somba ya na nyomi yake.. Kama ikikupendeza mludishe hapo uenezi.
Taarifa ya makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa ni kweli au ni kiki. mm huyu mwamba hanijui lakini wakuvaa viatu vya makonda bado hajazaliwa bado kabisa.nilikuwa siachi kumsikiliza makonda amenimalizia Sana MB lakini kwa sasa bora niangalie cheka tuu
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Makala huwa sikuelewi kabisa, hakuna kitu hapo
Makonda tunakukumbuka sanaa... Mungu akulinde maisha yako yote
Jamani furaha ya Chama keisha ila hakuna shida mie naenda Arusha kwa Makonda
Mimi sielewi Mbona sikuizi hamdumu Kwenyeivyo vyeo vyenu? Mbona wakina NAPE na Mzee KINANA walidumu🤔 AMOS MAKALA Tunaomba udumu kwenye ikocheo ulichopewa😊😆
Viatu vya makonda vikubwa sana mungu tusaidie ili arudishwe kwenye nafasi ya Uenezi.Mungu tusaidie sana Makonda arudishwe
Makonda asingetolewa hapo.. Na angepewa majukumu yote. Ya MKUU wa mkoa na mwenezi.. Anaweza yule Chuma Sana
si kila ushauri unaufanyia kazi mama yetu, hapa umechemka, unataka kujipunguzia kura. siasa bhana!! mtu wa kweli anapewa mkoa
MAma SAMIA SULUHU HASAN!!!!
Aliyekushauri mtoe makonda kwenye uenezi wa chama hakika hakutakii mwisho mwema..
Nakuambia hivi Makonda ndiyo aliyekuwa amebeba Ushindi wako ....
Kuwa makina na buyo mshauri wako maana hata wewe uliona somba somba ya na nyomi yake..
Kama ikikupendeza mludishe hapo uenezi.
Wooote hao hawamfikii makonda ......Yan hamna kitu 2 apo
Mama hongera kWa kazi ila tunaomba uturudishie Makonda wetu
Kupendwa raha Makonda tunakupenda sana una mtaji wa watu wengi sana Tanzania tembea kifua mbele
CCM Imejipanga
Yani wewe ni umewekwa tu na kikwete,Hanna chochote
Kweli kabisa
😂😂😂😂Tuonesheni ao watuu 😂😂 Makonda aliweza mnoo saiv uchalee
awezi ukatibu wenezi anatakiwa mtuu mwenye ushawishi makala atamshawishi nani
Kikwete Ndo anaepanga yote nani nani asiwe kikwete ndo anaeiumiza nchi ya tz angemwachia mwenyewe mama nchi ingenda vizuri tu
Hamna kitu
Taarifa ya makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa ni kweli au ni kiki. mm huyu mwamba hanijui lakini wakuvaa viatu vya makonda bado hajazaliwa bado kabisa.nilikuwa siachi kumsikiliza makonda amenimalizia Sana MB lakini kwa sasa bora niangalie cheka tuu
Mwenezi huyu chenga tuuuu Mh Rais turudishie Makonda wetu amebeba ushindi wako hao wengine wana niambaya kabisa mh Rais wetu don't trust them
Hapa ni boring hakuna kitu
Hakuna kitu hapo.
Huyu kla akiteuliwa nimerudi nyumbani zaman ulikuwa wapi zaman?
Kama ni kocha hapa katoa mchezaji kaweka gharasha
🔸siasa bwana!! Kusema tunashukuru Makonda kwa kazi njema, Je, angekuwa amefanya kazi njema sasa ametolewa wa nini gafura??
Hakuna sehemu nilienda kufanya kazi ukafanya vzr,zuu wewe
mwenyekiti umechemsha umeleta ngonjera ccm ccm miaka yote mmekosa wenezi watu ealioshindwa kufanya kazi
Mmmmmmmmmmh!!!!
Waliopo hapo wote wendawazimu, Hakuna mwenezi hapo kuna mwehu tu
Vina mudaaa
@DeficitNuts 🥺🤣🤣
Katuni au mdebwedo?
Maujinga