Annastacia Mukabwa-Watangoja Sana (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 892

  • @raysonkombe9845
    @raysonkombe9845 6 років тому +76

    Kama Bado unawatch hi song gonga like hapa, nakama unaombea uyu Dada utangoja sana

  • @sarahgaitho5097
    @sarahgaitho5097 Рік тому +4

    I'm here 2023 still saying the same adui watangija sana,(Ephesians 2:8-9 Says Jehovah will do it don't loose hope)it doesn't matter what you going through I'm here to testify to you that God will make a way for the hardship you are in🙏your enemies wil witness

  • @محمدمحمد-ش9ج2ك
    @محمدمحمد-ش9ج2ك 3 роки тому +7

    Wanaongoja nianguke na ndege nikirudi kenya mtangoja sana Mungu wangu halali

  • @morhymataga3237
    @morhymataga3237 6 років тому +125

    Nani anayekubali Anastasia thumb up the song it's ablessing

  • @fridahgitonga3094
    @fridahgitonga3094 4 роки тому +35

    2020 watching and really blessed watangoja sana am getting my dream job 2020 and my marriage

  • @aurahbintiwaaura2564
    @aurahbintiwaaura2564 6 років тому +149

    Amen, watangoja sana soon I'm getting married hallelujah, baada yakusemwa sana. Thank you Lord.Mungu akuinue milele dada Annastacia

  • @freddiekyalo
    @freddiekyalo 5 років тому +54

    who else is watching at 2019??? a nice song indeed

    • @ggnb695
      @ggnb695 5 років тому +3

      🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️👍

    • @cynthiachamwada5990
      @cynthiachamwada5990 3 роки тому +1

      Rep KHU RMIT I have a

  • @eagleschambers7008
    @eagleschambers7008 6 років тому +2

    amen watangoja..mahali mungu ameniweka tu.i give Him thanks...now pregnant walisema niko tasa.mtangoja sana.in a stable marriage wooow Mungu pekee ako na neno la mwisho juu yangu.

  • @clevixsakwa2437
    @clevixsakwa2437 5 років тому +12

    Watangoja matanga yako sana
    So powerful, we are covered by the blood of Jesus

  • @o.goluoch6800
    @o.goluoch6800 6 років тому +7

    Who's listening in 2078....waliosema nitakuwa kaburini bado wanangoja

  • @benedictmuthuyia2438
    @benedictmuthuyia2438 4 роки тому +7

    God has been faithful to me being a 15 year old girl battling with many diseases and still am alive God is faithful remembering all I have been through I thank you dadi

  • @carolinemwamba5154
    @carolinemwamba5154 5 років тому +14

    Wapi like ya mama mkenya

  • @sallylimbere
    @sallylimbere 6 років тому +28

    No weapon that is formed against me shall prosper in Jesus Holy name AMEN!

  • @Winnyjoy254
    @Winnyjoy254 6 років тому +27

    Why is this song not a hit yet? Currently on replay Mode.
    ❤❤ anastacia

  • @tabbywanjiru9651
    @tabbywanjiru9651 2 роки тому +12

    2022 who is still listening to this Masterpiece? Our Savour is alive.

  • @victoriachepkemoi8286
    @victoriachepkemoi8286 6 років тому +29

    Naolewa Dec maadui zangu mtangoja saaaaaaaana

    • @CM-ts2mb
      @CM-ts2mb 5 років тому +1

      Victoria Chepkemoi my God bless your marriage

    • @happykalenge4479
      @happykalenge4479 4 роки тому +3

      Victoria Chepkemoi 😀😀😀nimecheka kwa sauti

    • @emanuelnitereka5128
      @emanuelnitereka5128 4 роки тому

      Good Question I will be there at💍💍💍💍🌃🌃👧👧🏩🏩😎😎😁😁🤩🤩

    • @elibarikielimenyimo7410
      @elibarikielimenyimo7410 4 роки тому

      Fine watangoja sana

  • @nancyachieng9462
    @nancyachieng9462 5 років тому +2

    Amen,watangoja sana kesho kesho napata mtoto,maisha yangu ni mungu hehehehe

  • @charlesokumu2826
    @charlesokumu2826 6 років тому +2

    Watangoja Sana wote wanaonitakia mabaya ameen

  • @lydiahpraise4510
    @lydiahpraise4510 2 роки тому +1

    Myself from TikTok saw your wedding na hii song,wah indeed sorry kwa kamati roho chafu 😂

  • @JladyKadzo
    @JladyKadzo 9 місяців тому +1

    Mbona hii nyimbo haianzi leo kuwa na marafiki wanafki siipati youtube

  • @paulineimali1989
    @paulineimali1989 22 дні тому +1

    Hallelujah, listening 2024 dec ,watangonja sana mwaka unaelekea kuisha wakingonja,Mungu yupo blessings 🙌 🙏

  • @simonkefa2772
    @simonkefa2772 24 дні тому

    To my future children just know I loved God with all my heart 💓
    My spirit will sing this song in 2080

  • @japhetmweneisaac709
    @japhetmweneisaac709 Рік тому +2

    I found this Song on spotfy and thanksfull for all that God has done in my life😭. I survived the Genocide in Ruanda 1994, when i was 12, now i live in Germany, am German, God gave me back all that i lost, Thank you Jesus Christ ❤ The ones who wanted to kill me, are still waiting 😊

  • @kyshamwandawiro734
    @kyshamwandawiro734 5 років тому +26

    This song was a HUGE blessing to me this morning 14.04.2019. I woke up feeling so discouraged but then I turned on the radio to listen to the news and this song came immediately after!!! I felt in my spirit that God was speaking to me reminding me of HIS favor and the times watu walisema nimeshindwa na elimu just because I spent longer in campus than my course required... Enyewe walingoja Sana na Bado tu watagoja!!!!

    • @dominicwambua941
      @dominicwambua941 2 роки тому

      @Annastacia Kakii 69l
      L
      Lplllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll
      Me my

    • @onkundidiana7402
      @onkundidiana7402 Рік тому

      Mungu u hai tuseme asante Kwa dada yetu mungu akubariki sana

    • @davidndenga274
      @davidndenga274 Рік тому

      Da song remembering me of ma hardship I went through my the mighty b blessed 😂 💖💓😂💕

  • @annabellgichure6059
    @annabellgichure6059 5 років тому +14

    This song just spoke to me ,Thank you Anastasia for accepting God to use you through this song.🙏

  • @sarahmunyiva5968
    @sarahmunyiva5968 5 років тому +1

    Am going to America.....waedelee kunigoja kwa kijiji..watagoja wasa

  • @judyadoyo8098
    @judyadoyo8098 Рік тому +3

    Wanao ngoja kuanguka kwangu, watangoja Sana. Wanao ngoja Nimwache Yesu Watangoja Sana. Wanao tabiri nitashindwa wacheke, watangoja Sana.Poleni Nina Yesu, mtangoja Sana🙏🙏🙏

  • @judymongera324
    @judymongera324 5 років тому

    Waliosema sitaenda popote, sitaendelea kimaisha watangoja sana mungu amenisaidia sasa hivi nko states

  • @maxwellkipkoech8712
    @maxwellkipkoech8712 3 роки тому +2

    For sure watongoja Sana🙂.

  • @zulaikhamusungu9259
    @zulaikhamusungu9259 6 років тому +1

    Mungu ananipigania vita ,great song

  • @jacintamwaura82
    @jacintamwaura82 8 днів тому

    Maadui zangu mtangoja sana, mtashuhudia Mungu akijaza kikombe changu Hadi kifurike, Asante Yesu

  • @peterbett353
    @peterbett353 3 роки тому +2

    Just because I have constantly failed doesn't mean I am a failure and I do try I see light at the end of the tunnel let them talk.... The mistakes were lessons now am back on track .....watangoja sanaaa

  • @luckyjosephs3687
    @luckyjosephs3687 4 роки тому +1

    pole nalindwa na Jehova

  • @graceangels2066
    @graceangels2066 6 років тому

    Watangoja sanaaaaa....kwani tukiwa ndani ya yesu hatuhagaishwi

  • @carolinemartin7235
    @carolinemartin7235 4 роки тому +3

    Those waiting for my failure will wait for a very long time for I am blessed glory to almighty God.....may God give this artist long life so as to minister to our souls 🙏 ❤

  • @winroseokumbe7149
    @winroseokumbe7149 2 роки тому +3

    Amen 🙏, wanaongoja kuanguka kwangu wangoje sana In Jesus Name 🙏. I don't know why i get emotional when listening to the song. Thanks Annastacia.

  • @dorcusmueni5183
    @dorcusmueni5183 6 років тому

    watagoja sana Mimi nasonga mbele na yesu barikiwa sana mum

  • @MagdalineKosgei-h1b
    @MagdalineKosgei-h1b 11 місяців тому +14

    Anyone who see this 2024 give me a like

  • @DeoDeomax
    @DeoDeomax 7 місяців тому +1

    Am here in 2024, still watching and loving the song like never before

  • @aririrose9667
    @aririrose9667 6 років тому +5

    Woow watangoja sana nina MUngu siwezi tingizika.God bless you my sister

  • @alicengugi67
    @alicengugi67 5 років тому +14

    Watangoja Sana wapi like za 2019

  • @auntyominde3565
    @auntyominde3565 6 років тому +1

    Wanangoja nifutwe kazi ndio wafurahi Bali mungu Yuko atatenda na kunipigania watangoja Sana

  • @matarathegeneral7599
    @matarathegeneral7599 6 років тому +53

    Watangoja sana na itawacost sana sababu ninaye Yesu watangoja sana. 😊😊🤗

  • @joannbulimu
    @joannbulimu 5 років тому

    Nakupenda bure... Endeleeni kungoja nianguke mahaters, itawacost

  • @faithmwede.3641
    @faithmwede.3641 6 років тому +1

    Watangoja sana nianguke chini lakini niko na mungu pande zote.AMEN

  • @khisacentrine4872
    @khisacentrine4872 2 роки тому +7

    Glory be to God .wherever I listen to this my heart is renewed .

  • @carolinendanu9220
    @carolinendanu9220 6 років тому +5

    A good inspiring song for those who are waiting for your downfall.......

  • @faithodhiambo3670
    @faithodhiambo3670 6 років тому

    Wanaongoja usisome watangoja sana mum salimiana hao warembo wako bado twakuitaji mwijabu primary magongo Mombasa

  • @nellykendy7037
    @nellykendy7037 Рік тому +1

    Watangoja sana blessings song

  • @gladystuwei5527
    @gladystuwei5527 6 років тому

    Watangoja kweli sana! Ashukuriwe mungu kwa maana hawezi ruhusu hayo

  • @annenakhumicha4194
    @annenakhumicha4194 3 роки тому +3

    Encouraging song 🙌💞 wanaoniwazia mabaya watangoja sana💃💃💃👯👯

  • @brendakinyangi4065
    @brendakinyangi4065 6 років тому +6

    Praise be to GOD almighty for using you to encourage and entrust hope in all brethren.

  • @eleanorahchao3858
    @eleanorahchao3858 5 років тому +3

    Watangojea Sana niteseke namtegemea Mungu I have got a perfect husband and am always happy after kunitabiria magonjwa mabaya n

  • @eddonics7865
    @eddonics7865 6 років тому +1

    Dah! Kweli watangoja sana nimependa jumbe hii barikiwa dada ana

  • @jemilachemiat2297
    @jemilachemiat2297 6 років тому

    wow! barikiwa dada acha wakungojea nmwache yesu wagojee hadi wachoke

  • @dorsilaauko3330
    @dorsilaauko3330 4 роки тому

    Ni kweli watangoja sana walifikiria sitaolewa

  • @mercyjepkorir8668
    @mercyjepkorir8668 6 років тому +1

    Amen watangoja sana soon mungu atanipea jina mpya nitaitwa mbarikiwa.

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 6 років тому

    Wow nice song be blessed;Pole watangoja sana. neno la mwisho liko na Yesu

  • @joramsikuku8602
    @joramsikuku8602 6 років тому +2

    Kuanguka kwangu watangoja sana.. Woow nmebarikiwa Glory to God🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @victortiema2737
    @victortiema2737 3 роки тому +2

    My skiza tune!! Lazima tuwaambie na wajue kuwa WATANGOJA SAAAAANA. Such a powerful song.

  • @patriciangonyani972
    @patriciangonyani972 6 років тому

    Nabalikiwa sana na nyimbo zako Dada angu Mungu akufanye chombo cha sifa

  • @ireneligare3687
    @ireneligare3687 2 роки тому +2

    Let them keep waiting for my dawn fall in the mighty name of Jesus Christ

  • @victoriahsindani4880
    @victoriahsindani4880 6 років тому

    Watangoja sana nifutwe kazi.Mungu wangu yuko upande wangu. Mungu akubariki dada Annastacia.

  • @ericayera2766
    @ericayera2766 6 років тому

    Watangoja sana nigutwe kazi ndio wafurahi

  • @mosesmoi3331
    @mosesmoi3331 2 роки тому +2

    Waaaa 🔥🔥🔥🔥, watangoja sana

  • @graceuwimana1391
    @graceuwimana1391 4 роки тому +1

    Asante sana kwa wimbo mzuri dear Anastacia. Love from Rwanda

  • @raelahrayanraynah6256
    @raelahrayanraynah6256 6 років тому

    Poleee pole poleee wanangoja saaana .Amen.

  • @mwazikitoko3937
    @mwazikitoko3937 Місяць тому

    Na bado watangoja sana ❤❤ hakuna siraha itainuka kinyume changu ifanikiwe.

  • @annwambui1172
    @annwambui1172 5 років тому +1

    Watangoja Sana,Amen mungu nikumbuke kupitia huu wimbo, may God bless you Anastasia

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 5 років тому

    Akiii mamaa Anastasia nampendaa saanaa kwa uimbaji wakee,barikiwa saanaa aunt

  • @naomisidi2181
    @naomisidi2181 6 років тому +10

    I just thank God for everything. The music gives me strength and peace.

  • @ggnb695
    @ggnb695 5 років тому +2

    Haki watangoja mpaja watoboke macho haahaha. B blessed my Lovely siz...... 😮😮😮😮🤸‍♀️pole kwao ooooh! Final n mungu tu 😁😁😁

  • @violetokumu5428
    @violetokumu5428 5 років тому +1

    True....watangoja sanaaaaa

  • @queenmariana5887
    @queenmariana5887 6 років тому +1

    Wanaongoja nirudi kwetu ndani ya jenezaa watangojaa xnaa🙏🙏🙏

  • @jardinemwasi8123
    @jardinemwasi8123 7 місяців тому

    Wanaogoja tuanguke nawahurumia sana kwani Mungu hataruhusu tuaibike. Yeye halali wala hasinzi, ni mwaminifu.

  • @josephbenjamin1810
    @josephbenjamin1810 3 роки тому

    Mungu wangu aki nipiganie nipate kazi nzuri na harusi ifanywe kulingana na mapenzi yako. Amen

  • @bethmae5589
    @bethmae5589 4 роки тому

    Wanaongoja kuisha kwangu poleni mtangoja sana

  • @elijahwelim6901
    @elijahwelim6901 2 роки тому +1

    watangoja sana wanaongojea nianguke mtihani wacheke 😃😄poleni

  • @janenabwire6629
    @janenabwire6629 6 років тому +1

    Busia juuuuuuuu.

  • @RealOnews
    @RealOnews 2 роки тому +1

    Watangoja sana..

  • @ericohmuhard8413
    @ericohmuhard8413 6 років тому

    hapo nimeona kuna upako, Wimbo mtamu sana

  • @kennawoton6659
    @kennawoton6659 5 років тому

    Watangoja saaaaaaaana. Na Mungu ashukuruwe atupae kushinda nyakati zote.

  • @maryondago9953
    @maryondago9953 5 років тому

    Watangoja sana,,,,,pole sana ,,,ninayo Yesu lazima nifanikiwe na nishinde annastacia Mungu hakubariki kwa nyimbo nzuri

  • @jacquelinemuya974
    @jacquelinemuya974 6 років тому

    Watangoja sana,kusudi la Mungu halizuiliki

  • @traceyegessah8914
    @traceyegessah8914 6 років тому

    kazi safii....wayangoja sana

  • @annkaiza7984
    @annkaiza7984 2 роки тому

    Praise God, hakika Mungu anatenda kunao wanaoonakuwa wewe sio wa maana machoni mwao ila kwake Mungu wewe ni wa maana xana kama mimi hapo nyuma nikiwa shuleni sikuwa wa maana lakini kwa sasa wanashangaa kusikia eti niko nje ya nchi ambapo hawakuwa wanatarajia nitawahi fika God bless you my sister in Jesus name AMEN

  • @BeatriceAhono
    @BeatriceAhono 4 місяці тому

    Wamengoja ndoa yangu ivunjike wacheke sai ni 26yrs....watangoja sanaaaa

  • @mmwende9367
    @mmwende9367 2 роки тому +1

    Watangoja sana.nalindwa na Jeshi la Mbinguni..

  • @euniceminayo7547
    @euniceminayo7547 6 років тому +6

    Watangoja sana coz am protected by the blood of Jesus christ and its because of their insecurities maadui zangu mtangoja sana Ng'oo Barikiwa sana my sister Anastanzia for such a great song

  • @maryongachi8725
    @maryongachi8725 6 років тому

    Those enemies Watangoja sanaaaaa ninaye Yesu Amen

  • @maggiewambui1112
    @maggiewambui1112 6 років тому

    Wataongoja sana,mungu unuliwe milele.

  • @habonabarofa8165
    @habonabarofa8165 4 роки тому

    Hata pia. Nasem watangoja xn

  • @jacquelineoluoch1849
    @jacquelineoluoch1849 6 років тому

    Watangoja sana nianguke but sitaanguka coz yule ninayeambudu yuko hai milele

  • @Nancyahenda
    @Nancyahenda 4 роки тому +2

    Wow...indeed watangoja sana, my first time watching. So inspiring, be blessed l really like your songs Anastasia

  • @kellyrachel1586
    @kellyrachel1586 6 років тому

    Amen,,watangoja kabisa,forever

  • @achienomarylyne7010
    @achienomarylyne7010 6 років тому

    ukweli kabisaa watangoja sanaa walee wanaotaka niangukeee

  • @neemaronald8121
    @neemaronald8121 4 роки тому

    Watangoja sana tena watangoja hahahahaha be blessed anastazia

  • @stevenmudendei3245
    @stevenmudendei3245 6 років тому

    Ninabalikiwa na wimbo huu mala ninapo usikiza na kutazama.Dada endelea mbele Ni Rev Mudendei Wa ADC Midian Region Nairobi.

  • @anneriungu3630
    @anneriungu3630 6 років тому

    Wanaokuwazia mabaya watangonja sana.....

  • @damarismuthusi779
    @damarismuthusi779 6 років тому

    A good song annastancia .I also tele them pole watangoja sana.