Diamond hata afanye vipi, ngoma zake zihit vipi, atazidi wenzake kwa numbers, lkn rekodi anazoweka Rayvanny, hakuna Msanii tz anaeweza kufikisha, Ray ngoma yake imefika billboard, Rayvanny kafanya Performance show Mtv Emma, Jambo ambalo hata mondi hajafanya, mbali na Hilo, Ray Ni flexible with any beat, hafikiki huyu, Reggae, Amapiano, Afrobeat, pop, RnB zote anapga, Ray Ni mwngne. Hata Kama yupo chni ya lebi
Unachosahau ni kua hakuna hata ngoma moja ya Rayvavvy iliyofanikiwa sana na kua kubwa ambayo hajamshirikisha Diamond. Ngoma za Rayvanny kubwa zote amemshirikisha Diamond na Diamond ametoa mchango wake mkubwa kuzifanya hizo ngoma zifikie viwango hivyo.
Anachosahau pia huyo ray km asngesajiliwa wcb bas kufka huko alposema yey yoooote yangebuma 2 na ndo maana alpozungumza baada ya kuchukua bet altaja label yke na mondi kumshukuru.tuache masihara yaan kwel bila wcb ray angechukua hzo tuzo kwel au ndo walewale mashabik wa kundu boya
NEXTILEVO MISIC RAVNNYN
sijasikiliza ila najua kichwa cha habari na habari ni tofauti
Yes
Mbona lavalava atajwi jamaniii
Love samsikago
Daaa Kuna mwandixhi anakiswahili kimenyoka anauliza maswali konki
Diamond hata afanye vipi, ngoma zake zihit vipi, atazidi wenzake kwa numbers, lkn rekodi anazoweka Rayvanny, hakuna Msanii tz anaeweza kufikisha, Ray ngoma yake imefika billboard, Rayvanny kafanya Performance show Mtv Emma, Jambo ambalo hata mondi hajafanya, mbali na Hilo, Ray Ni flexible with any beat, hafikiki huyu, Reggae, Amapiano, Afrobeat, pop, RnB zote anapga, Ray Ni mwngne. Hata Kama yupo chni ya lebi
Unachosahau ni kua hakuna hata ngoma moja ya Rayvavvy iliyofanikiwa sana na kua kubwa ambayo hajamshirikisha Diamond. Ngoma za Rayvanny kubwa zote amemshirikisha Diamond na Diamond ametoa mchango wake mkubwa kuzifanya hizo ngoma zifikie viwango hivyo.
Anachosahau pia huyo ray km asngesajiliwa wcb bas kufka huko alposema yey yoooote yangebuma 2 na ndo maana alpozungumza baada ya kuchukua bet altaja label yke na mondi kumshukuru.tuache masihara yaan kwel bila wcb ray angechukua hzo tuzo kwel au ndo walewale mashabik wa kundu boya
Diamond hajaenda ku-perform mtv? Fatilia vzuri kashauwa Kote uko hao wanarudia tu simba ashapita
@@nasrimohamed7556 umenena chua sonda unywee nakuja kulipa
Mshaanza kumnunia rayvanny...😅😅😅😅😅😅wcb ...,..
Kumbe na wew huwa mungo hunipat tena kwny video zako
Jamaa anayeinterviewa anasound kama Millard Ayo
Ww Boya kweli ndio ninyi mliompoteza mmakonde kumlinganisha na mond
Sasa uyo diamond Ana nini mziki wake ulishakufa kitambo ht Mario anamzidi kilichobaki anabebwa na fanbase tu
Hapana
🤣🤣🤣🤣uongooo
Kuma ww unafeli Sana
Watangazaji mu twambiye sababu gani nyimbo za diamond platnumz hazi pigiwi kwenye ma radio
Si wenyew hawatak,,si wanasema wakubwa wao hawaamin ktk media tena
Umeanza feli kwa kutoa headlines za uwongo
Kwel
Ndio Mara yangu ya nwisho kutazama video yenu.
Uwongo hauendi mbali. Sad.
Sammisago bhna content ya maandishi zeroooo
unsubscribe nakupa shenzi wewe
Hivi bandi au bend😁😁😁😁😁😁
Bendi
😆😆😆😆
Content na maneno ni tofaut kabisa🚮
Unsubscribe inakuhusu ww
😂😂😂tumsamehe Kwa Leo😂😂😂