ALLY ISMAIL ANASEMA KILIO CHAKE NI WAZAMINI, TUSHINDANE KWA MAFANIKIO SIO MANENO MATUPU TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025
  • SAYARI YETU MOJA KWA MOJA KWA ALLY ISMAIL, KUWEZA KUJUA MENGI KUTOKA KWAKE, AMEZUNGUMZA KUHUSU UJIO WAKE MPYA AMBAO UTAKAOKWENDA KUPITA QASWIDA ZAKE ZOTE ALIZOZISOMA

КОМЕНТАРІ • 27

  • @saidsaidhamad410
    @saidsaidhamad410 2 роки тому +2

    Waoo bby zai wang uyoo pend xan kaz nzur savero

  • @allyismail3927
    @allyismail3927 2 роки тому +7

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @muhammadalbaalawiy7107
    @muhammadalbaalawiy7107 2 роки тому +5

    Mashaallah anajuwa kujieleza

  • @ukhtyaishamapozpba4173
    @ukhtyaishamapozpba4173 2 роки тому +7

    Mashallah ya akhy Allah atakufanyia wepes inshaallah

    • @dgjhb1488
      @dgjhb1488 Рік тому

      K‏‪aswida za ali ismaili

  • @khamismbarouk8242
    @khamismbarouk8242 2 роки тому +6

    Hongera

  • @mubajoti9103
    @mubajoti9103 2 роки тому +6

    Nice time nas media

  • @azizams5721
    @azizams5721 2 роки тому +1

    Pole sana Allah atakufanyia wepesi lnshaallah

  • @ashaslemani2577
    @ashaslemani2577 2 роки тому +1

    Allah atakuaf na akufanyie wpc ktk kazi zko

  • @zuwenammangakhamis6395
    @zuwenammangakhamis6395 2 роки тому +3

    Kazi nzuri.

  • @khadijaabdiseif9039
    @khadijaabdiseif9039 2 роки тому +2

    Zaiii😳😳😳

  • @zuwenammangakhamis6395
    @zuwenammangakhamis6395 2 роки тому +3

    Zaiiii uyo jamani 💯

  • @haphsamohd338
    @haphsamohd338 2 роки тому +2

    Amin 🤲🤲🤲 yarrab kwa sote

  • @kizondonasheed7247
    @kizondonasheed7247 2 роки тому +2

    Hongra Nas media kwa kua pamoja na Aliy ismail

  • @allyissa2744
    @allyissa2744 2 роки тому +1

    Well well,, mashallah mashllah adi kujielezea unajua maalim nakukubali sana

  • @Rehemakhaidar
    @Rehemakhaidar Рік тому

    mashaallah Allah atakufanyia wepesi inshaallah tunakupenda sana

  • @kulthumabdalla7416
    @kulthumabdalla7416 2 роки тому +1

    Wallah me hakuna mbaya hata moja zote nazipenda hata nikoambiw nichague siwez bainisha kwakweli

  • @alinaalina5044
    @alinaalina5044 Рік тому +1

    Kanzi nzuri

  • @kassimsuleiman733
    @kassimsuleiman733 2 роки тому +2

    kwani huyu asoma kaswida au atunga nyimbo za kifisadi jamani waislamu muogopeni Mungu huyu hajui ata hiyo kasida ni kitu gani hujatoa kafara utatoa kaburini tukijaliwa.
    Naku9nea huruma sana huma tafauti wewe na Mzee Yusuf nyote ngombe wa kundi moja na nyinyi munaompa kichwa jiandaeni kumjibu Mungu hamujaletwa kuimba nyimbo somesheni qur an na Hadithi ndizo tulizoachiwa na Mtume .

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 Рік тому

      Aya na weee mche mungu maan hatujui utapokelewa vipi na mungu maan unaongea kama usha bashiriwa pepo ila kanzu fupi bwna mnajitukuzaga sana acheni kujitakasa

  • @kulthumabdalla7416
    @kulthumabdalla7416 2 роки тому +1

    Allah ataleta wepes inshaallah ili tuzid kufurahi zaid na kaz zako

  • @Rehemakhaidar
    @Rehemakhaidar Рік тому

    mashaallah Allah atakufanyia wepesi inshaallah tunakupenda sana

  • @salamajuma1513
    @salamajuma1513 Рік тому +1

    Hongera