We ata ungekuwa wewe msisili na usinga huwo utakataa na jenguwa na upanga huwo utakataa 🤣🤣 🤣🤣 🤣🤣 🤣🤣 🤣 inabidi ukubali kuwalizisha tu kumbe moyo wako Wala haupo😂😂😂😂😂💖💖🔥🔥
Arafu izi tabia zakutuekea tu namb 1 moja Kila movie tumewachoka km nyama ya mwanangu mpk leo na hii ivyoivyo mnaniuziii Bora Baba awe mzee jengua walah nimecheka kifar uyu demu nae kishada achagui mahara pamoja
Mssri yuko vzur kama kwer vile ♥👍👍👍👍👍👍👍
😂😂😂mama mkwe😂😂😂😂
Ntakugeuza chura kuku nyoka fisi Simba kima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣 🤣 wachawi wana mbwembwe parti 2 tafadhari💖💖💖💖💖 💖🔥🔥🔥👏👏
Ishtoka tyl
Umeiona
kigodoro
Alaaaah kwany kalazimishwa😀😃😄
Innalilaiwainahilai rajurn,mzee wetu Mohammed fungafunga( jenguo) mungu hakueke mahala pema peponi. 2021 bado naiangalia picha filamu yako.
Mambo yani ni 🔥🔥🔥🔥mama hongera 😂😂😂😂
Yani ninzuri mnoo na awa wazee wote wako vizuri na wanacheza sehemu usika Yani imechangamka Sana wazee wote wako Moto watoto wao ndio wamepooza
Dah hii move ni kucheka tu kwenda mbele.kazi nzuri kabisa.mzee msisili usiwageuze vijana nyoka na chura 😀.
movie nzuri tunaomba sehemu ya2 jomoni wa pendwa
muache ujinga Wa kutuonjesha muvi wekeni kwapamoja 1 & 2 no.
Mashallah hii movie inanibamba sana❤❤ hongereni🎉
Hahaha haki hawa wazee noma sana.kila mtu anavuta kwake.sasa mnamueka nusra njia panda kotekote yuko.😃😃😃
We ata ungekuwa wewe msisili na usinga huwo utakataa na jenguwa na upanga huwo utakataa 🤣🤣 🤣🤣 🤣🤣 🤣🤣 🤣 inabidi ukubali kuwalizisha tu kumbe moyo wako Wala haupo😂😂😂😂😂💖💖🔥🔥
Dah hatar mbavu zang
Hata Mimi nikishikiwa panga nitakubal yaishe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Da,, jengua tutakukumbuka sana
Mzee jengua 😂😂😂sina mbavu 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Arafu izi tabia zakutuekea tu namb 1 moja Kila movie tumewachoka km nyama ya mwanangu mpk leo na hii ivyoivyo mnaniuziii Bora Baba awe mzee jengua walah nimecheka kifar uyu demu nae kishada achagui mahara pamoja
We acha tu awajatuwekeia
Mama nusra nakukubali Sana wewe hatarii😂😂😂😂
Mm pia namkubali tangu jamila na pete ya ajabu 'mvuvi'nusaiba -nyama ya mwanangu jini haurat zote izo movie kavaaa uhalisia yn namkubal kinoma
Hawa wazee wabaya
Da hahahaha nimecheka kwa nguvu
Loooo!!! kijiji kizima mwanamke mrembo mmoja tu ...hahahahaha ....namba mbili tafadhali naisubiri
Nice movie❤️❤️
Namkubal mamaake nusura😂😂😂😂
Jengua na huyo mama ndio watemi mzee msisiri sio mtemi
We!wote 3 watemi😎😎
Number 2 please 😘🤩💖💖
😅😅😅😅😅Mzee msisiri nakupenda Sana 😂😂❤❤❤
Jamani nyie wazee mpunguze bangi. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bangi gani ww
Everlyn Maniga Maniga 🤣😂🤣😂
nzuri
Nic muvi 😄😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Part 2 plz,iko vizuri sana
😂😂😂mam nusura mzee jengua 🔥🔥🔥
Hatari hatari
Hii filamu imenoga haswa pale nikimuona mzee msisi wa msisiri na huyu mama.iko vizuri kwa kweli.
Nusra kazi unayo
Bro utapoteza uhai🧟🧟
Mama finally video 🤣🤣🤣🤣🤣
Tafadhali nasubiri seheme2 nipo rwanda.
Wazee nawakubali Sana..mkikutana...munafanya Mambo safi
Nice mzee msisili 💕💕💕 so much nakupendaga sana wee mzee unani fura ishaga
Muandelezo.pat2.tunaomba
Kama umemuona jengua anasura ya kijambazi like apa😋
Safi
Nimekubali
Madamu gema uko vzr sana big up.mama
Msisi wa msisiri kumbe muoga alivo skia sauti y kishoka ame ruka
Yaan jengua na msisili ni noma Tanzania
Hiv hicho kijji kinabint mmoja2
Km umesikia akiongea kirugulu like hp
Zainab nmesikia at
Hahahahahaha nimecheka sana
Hii n kali😂😂😂
Movie nzuri asanteni
Jamannice part2
toka rin ngaliba akaogopa mikojo
Wanahatarisha sana
Ngoja tusubiri mwenyekisu kikali
Mama Nusra Umenifurahsha sana
Movie nzur ila Mwendelezo hamtuwekei kwann hv
Ww ndo umechelewa kupata part 2
Paty2 plzzz Nani mtemíii tuonéeee
Kama unatamani part 2 ya hiii movie gonga like hapaa
Natamani cn
Nakukubali sn Mama yusra
Ahaaaa mbavu zimevunjika
Wee mbwaaa
Hapana chezea panga
Hahahahahaha movies hii ya wababe tuuu😂😂😀😂😂😂😀
Yani nimecheka hadi mwisho Huyu musisiri nahu mze mkali noma san
Huyu mama nusra ninoma Sana.
Sana nimeipenda iyo
Hawa wazee noma nimecheka xna mpaka machoz
Hahahahaaaa mavaz ya mam nusra yameniacha hoi
Daaa yaani nimeikubali idea yao iko poa part 2 pls
Kama hutaki kuolewa amani hayipo 😂😂😂😂🤪🤪😂
Tuleteen muhenderezo move nzuri jmn
Twahaa naomba watto3part2
Apa aman aipoooo
Subiri babamkwe
Move mbaya sana
Nice🤙🤙
Litoto la #jengua limekuwa lidhaifu mno
Hahahahahahahahahahahahahahaa
Wazee mmetisha
We kilesa ni mbwa tu 😀😀😀😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
huyo jengua anamkaba hta mim ckubali co kwa ubabe huo
😂🤣😁awa waze nibala
Sinema nzuri
Wow like it make me Loughing
Nice one ☝️
Sehemu ya pili
Kabla sija maliza kuangalia ino movie naitaji part 2 iwe iko tiari hewani tafadhali
😁😁😁😁
😂😂😂😂😂
Movie nzur no 2 please!
Nishakunywa uji wa mgonjwa alokuwa anatoa udende hahahahhaaa
Dah mama ngangari
Nice movie
hahahahahahaaaa kazi ipo
Part 2 jamani tuone mtemi ni nani kati ya hao wa 3
Madebe lidai
Nic
Nitamwaga simba kubwa na ndogo ndaniiii
Wekeni part 2
Noma kwel
Hahahahahaha noma kweli kweli
Baba mkwe
Duuuh kwani huyo ndo binti mrembo kwemye hicho kijiji?
Msisili utaacha lini kukwanga
😁😁😁😁😁
Jameni mov zenu zinatufurahisha sana jameni watu wahuku saudia tunajisikia raha sana tukiona mov zenu
@@rghttyy2148 sehemu gani mimi nipo damam city
Tumalizie kipande kilipo ishia
Mzee msisili...iwe acting Tu...isiwe kweli uko umchawi....wachawi...wote...wataenda motoni bila esabu
Muendelezo wa zezeta la kijiji
Jamanii mam nusra ayo mavazi alomvaria mzee msasiri mie hooooh Ehti umenishitua ww 🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😀😀
move Kali sana
Twataka party 2
Msisir nakupenda ajabu