SHEIKH BAKATHIR - NANI MWANZILISHI WA BIASHARA YA UTUMWA AFRIKA MASHARIKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 27

  • @RashidAhmed-h7t
    @RashidAhmed-h7t 12 днів тому

    Huyu mzee Masha Allah anajua historia.

  • @gtzrreception5532
    @gtzrreception5532 10 днів тому

    Mzee sayyid said ameikuta lugha ya kiswahili

  • @sharifaal-masroori2238
    @sharifaal-masroori2238 11 днів тому +1

    Umekosea kwenye history ya Oman na Wareno, kaulize wana historia sh Mohd Ssid ws Tzn na Sh Istambuli wa Mombasa

  • @kizomontana5918
    @kizomontana5918 11 днів тому +1

    @kiswahilitv mtafuteni na Sheikh Said Mohamed..mwana historia mzur sana

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 10 днів тому

    Asalam Alaykum. Shukran watowe watu taka kwani wanaona tu watu weusi ndio walikuwa watuma kumbe hawajuwi utumwa ulianza na watu weupe pia wao kwa wao walikuwa wakichukuana watumwa yaani mwenye nguvu anamchuwa myonge. Mwisho wasikilize khutba ya mwisho ya Mtume Swala Llahu Alayhi Wasalam Wasalam ndio watu waacha ubaguzi na madharau.

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 12 днів тому

    jahazi kua jiwe ,imeandikwa Imani ,

  • @kassimabdilatif1802
    @kassimabdilatif1802 10 днів тому

    Sheikh Bakathir amekosea hiyo historia ya mreno kungolewa Africa mashariki hususan Mombasa. Wazee wa Mombasa wamethibitisha kuwa wnenyeji walikwenda Oman kutaka msaada. Jeshi la mfalme wa Oman ndio lilikuwa lina mamluki wa kibulushi kutoka Baluchistan. Sio kuwa Iran ilikuwa imetawala Oman. Hi ilikuwa kwenye karne ya kumi na nnee (14th century) wakati wa babake Sayid Said kabla hawa hajahamia Zanzibar.
    Kusema ni wa Iran sio kweli. Ni wa Oman pamoja na askari wa ki Baluchistan. Hata leo hivi vizazi vya hao askari wa kibulishi bado wako Oman na ni raia wa Oman kama vile vizazi vilivyoko Mombasa. Fanya utafiti vizuri wenyewe watakwambia babuzao walikuja na Jeshi la Sultan wa Oman. Historia hii iko wazi.

  • @KhalfanHamad-y1y
    @KhalfanHamad-y1y 9 днів тому

    Oman ajataliwa na mreno

  • @KhamisiSalimu
    @KhamisiSalimu 10 днів тому

    Vip kuhusu historia ya mkamandume hebu type nayo hii

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 11 днів тому +1

    Tatizo Sim zetu hazi pokelewi wala kujibu message

  • @sharifaal-masroori2238
    @sharifaal-masroori2238 11 днів тому +1

    Hujuwi history ya Oman kabisaa, Mreno katolewa na Waomani wenyewe huku Oman, na ushahidi upo vipi waliwatega katika ngome zao na wakawamaliza
    Na huko East Afrika Waoman ndio walokuja kuwamaliza hao wareno, na hao mabulushi waliletwa na WaOman kuja kupigana
    Nenda Mombasa ukatizame history ya fort Jesus kama hutokuta history ya Oman nakachukuwa history hiyo kwa Stambuli wa Mombasa, anayo history yote kwa maandishi juu ya hao mabulushi na WaOman

  • @111dudi
    @111dudi 11 днів тому

    Nakubaliana. Waafrika waelewe hili. Mfumo wa kristo wa ulaya ndio wapotozaji

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu 12 днів тому +1

    Sheikh bakathir tungependa atoe na ushuhuda wa yote ayazungumzayo.....japo picha au maandiko....ili na sisi tupate kutafiti.....sisemi hvo kwa kua namkosea heshima au simuamini....bcz ukiangalia wanahistoria wingine wanakupa full details mpka wakubali mwenyewe.

    • @Jamalkishangu
      @Jamalkishangu 11 днів тому

      Unataka maandishi gani zaidi ya maandishi yaliyoandikwa na wao wenyewe.

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 11 днів тому

      @jamalkishangu kuna mambo mingi hapo amekosea hasa hyo historia ya wahindi....sasa kama wataka ushuhuda kwangu nipe number yako ntakurushia PDF zote usome mwenyewe haswa kuhusu ya hao wahindi wa SIDIS walio karnataka South India

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 11 днів тому

      ​@@Jamalkishangusasa kama hana maandishi tutamuamini vipi ilihali na yeye hakuwepo hiyo miaka

  • @omeerrasheed7192
    @omeerrasheed7192 11 днів тому +1

    Sheikh bakaathir 1896 sayyid said alishafariki 1856 karibu miaka 40 hapo vipi mbona hueleweki?

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 11 днів тому +1

      Hajui chochote huyu mzee kuhusu historia

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 12 днів тому

    Uyu nikiboko wa shehee istambuli wa shehke abdi nasili apa haongei

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 12 днів тому +1

      Ukisema ni kiboko wa Stambuli wamaanisha hebu tufafanulie tusiojua

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 11 днів тому

      ​@@Khalid-mf3iumchambuzi na mwana historia m,bobevu kwa ukanda WA pwani ya Africa Mashariki.Mkenya WA Mombasa.

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 11 днів тому +1

      @MaryamIssa-y7v MashAllah Maryam wamtambua Stambuli?huyo uzuri wake akieleza historia yoyote hukuekea ushuhuda wote yani mpka waridhika mwenyewe Lau hukutaka basi ni wewe tu.

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 11 днів тому +1

      @@NoelNjementi simdharau mzee Bakthiir but mambo mingine hapo katika historia hukosea sana

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 12 днів тому

    Picha zakubumba bumba

  • @mohamedkhalifa5764
    @mohamedkhalifa5764 12 днів тому

    Mwaka 2024 Alikuja Padri kutoka Uingreza kaja kuomba Radhi kwa Biashara ya Utumwa wameifanya wao Aliomba Radhi Zanzibar iko Yu tube

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 11 днів тому

      Biashara ya utumwa ilikuwa pande tatu wazungu ,waarabu, na machifu wa kiafrika