Mwalimu naomba uniombee maana nimekuwa nikigombana na watu katika eneo.lakazi mda mwingi.nimekuwa nikikosa amani eee mungu naomba unipe amani uniepushe uniepushe na marafiki wabaya katika eneo langu lakazi eee mungu nakataa roho ya ugomvi katika jina la yesu eee mungu naomba unionekanie kama ulivo waonekania watu wengine.
Tatizo wakiristo hamna akili munaipenda dunia munawadanganya watu kwa ajili ya kijipatia kipato munayapenda aloyakataza mungu kwani mungu wnu nyie hasa Yuko wpi
Mungu watunze sana wahudumu kwa mikiki hii mpe haja ya moyo wake kwa kila anayekuomba wanassidia watu sana
Nabarikiwa kwa kuangalia maombi yako nami naomba mungu anionekanie maana na roho ya ufunuo ila nashindwa kutimiza mungu anayonionyesha
Neema ya Mungu ikulinde Mwalimu wetu
Pia naomba utuombee mtoto wetu kapotea porin babati siku ya nne sasa aonekane
Mwalimu naomba uniombee maana nimekuwa nikigombana na watu katika eneo.lakazi mda mwingi.nimekuwa nikikosa amani eee mungu naomba unipe amani uniepushe uniepushe na marafiki wabaya katika eneo langu lakazi eee mungu nakataa roho ya ugomvi katika jina la yesu eee mungu naomba unionekanie kama ulivo waonekania watu wengine.
Ubarikiwe sana Mtumishi Onesmo na Mungu akuinue kwa viwango vikubwa zaidi
Ubarikiwe sana na Babba yetu wa mbinguni azidi kukutunza wewe na huduma hii pamoja na familia.yako kwani kupitia huduma hii h
MUNGU azidi kukutunza na kukubariki kwa kila Jambo mtumishi wangu mwalimu wangu
Mungu akuinue zaidi mtumishi
Tuwe makini sana si kila muujiza unafanywa na yesu kristo.
Mungu akubariki MTUMISHI
Wow wow wow,
Mungu awainue
Mungu akutie nguvu zaidi na zaidi
ubarikiwe mtumishi
DEMONSTRATION OF GOD'S POWER
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu kuhani wa Mungu ameanzia mbali jamani🙏
Mungu akuzidishe Mwalim ibada ni za baraha sanaaaaaa
Nabarikiwa sana na uduma yako mtumishi"mungu wa mbinguni atanue mipaka yako ya uduma akupandishe viwango hadi viwango
Ubarikiwe mtumishi mtumishi naomba niombee nina miaka selasini sijaolewa bado pia na umwa marakwa mara
Asante mtumishi wa mungu
Mungu Azid kukutunza mtumishi
I like it
This man deserves UKUU,😊
Tena hao wanawake hamna hata haya ovyooo
I connect..
Mungu akuinue viwango vya juu zaidi na zaidi
Mungu azidi kukutia. Nguvu
I connect
Mnachekesha nyiee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😏
Mtumishi mm kila nkiandika barua ya kazi sijibiwi nmeshindwa kuelewa ni nini kinanisumbua
Wengine muwaibie cm na pochi
Tatizo wakiristo hamna akili munaipenda dunia munawadanganya watu kwa ajili ya kijipatia kipato munayapenda aloyakataza mungu kwani mungu wnu nyie hasa Yuko wpi
mtumishi naomba number number