Mashallah ila kiukwel Kam tunakusudia kuio goza jamii hiyi mikato mengine haifai kabisa kweny din yetu kwa Nini munshidina wetu mnakat mikato ambay dini inakataa? Please tusikat mikato hiy Kwan din inakataa na vijan wengi wataiga Kwan wataona kua ni sahihi
Mimi ni mraibu wa sauti ya Salim Ally. Kila kitu kuhusu yeye ni cha kushangaza
Mashaallh tabarak allh akuzid kukuwezesha kipenz Salim Ally and Abdull kadiri ❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉daaaaaah kwanini mm sijakujuw mapema na tunakaaa pamoja❤❤❤❤❤❤❤
Nakupenda sana Salim Ally njoo unipose mimi nakutaka sikukatai
😅😂 jamaniii
Sahau yote yaliopita kipenzi...mm nipo kwa ajili yako sasa hautaumia tena salim wangu 🥺❤
Utu wangu hawakujali na moyoni nasulubika
Siwezi kusubiri kipenzi changu. Nasheed yetu ni ya kustaajabisha
Mashaallah Nasheed nzur sana👏👏👏
Mungu ampe umri mrefu Salim ally. Ananitoa machozi kwa mara nyengine
Maaashallah nasheed ipo kwenye uhalisia. Haya ndo mambo ambayo vijana wanapitia
Masha Allah
Salim Ally nampenda sana nasheed zake ni nzuri mashaallah bro.
Salim Ally ni munsheed wa ajabu. Hapa sijaangalia ila nadhani ni ya kuhuzunisha
Yan wal usiseme daah uyu kiumbe bhan apewe 2 mauwa yake Allah azid kumuomgoza amiin
mabrouk adam khamis hkk kz ipo vzr san maashaallh allh azid kuwapa kl la kheir ktk kaz zenu ❤
Maashallah❤😢
Yan niliisubr san iki kitu kw hamu leo ndo naburudika kw kwl uyu kijana ban ni hatar mungu amzidixhie kw kila jambo lilo la kheir amiin 🤲
Mapito ya Salim aya😅🎉🎉 hongera sana😊
Good job 👌
Mashallah
Mashallah ❤
Maasha allah ❤
Kaka angu kwenye ubora wake allah amsimamie aweze kufanya kaz zak kwa uweled zaid lov you brooh 🎉❤
Aaamin ya Rabbi. Asante ndugu yanu mpendwa. Ninakupenda pia
❤❤❤❤❤❤ we have a strong disire to wait for It
Exactly 🎉
Nasheed nzuri Sana MashaAllah 🥺🙌🏽
ndio uhalisia haswa!.
🎉🎉 Masha Allah
Maa shaa Allah ❤
Kazi inagusa sana jamii 😞hongereni kwa kazi nzuri nyote
Maa shaa Allah
Jamaniiii 😢
Mashaallah
Mashaallh kaz nzr sana lait ningeposa
Salim ally jamaa mkali sn kwenye hiziii nashidiii
Mashaallah best of the best
🥺🥺🥺🥹🥹🥹subhaanallah 🤝🤝🤝🤝amazing maashaallah Maashaallah ❤❤❤💯💯 kazi ina hisia hongera
Imenigusa
❤😢
Maşallah...Hapa kuna jambo ila anyway namuachia mtunzi 😄
Mashallah ila kiukwel Kam tunakusudia kuio goza jamii hiyi mikato mengine haifai kabisa kweny din yetu kwa Nini munshidina wetu mnakat mikato ambay dini inakataa? Please tusikat mikato hiy Kwan din inakataa na vijan wengi wataiga Kwan wataona kua ni sahihi
Inshallahu
Mimi ni mraibu wa sauti ya Salim Ally. Kila kitu kuhusu yeye ni cha kushangaza