NIMEIPATA BAHATI - (JOHAYNA ABDALLAH) Qaswida Mpya 2017

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Qaswida ya JOHAYNA ABDALLAH
    Qaswida | Qaswida | Qaswida | Qaswida | Qaswida
    Nasheed | Nasheed | Nasheed | Nasheed | Nasheed
    Tanzania | Tanzania | Tanzania | Tanzania | Tanzania
    Zanzibar | Zanzibar | Zanzibar | Zanzibar | Zanzibar
    Tanga | Tanga | Tanga | Tanga | Tanga | Tanga
    Africa Qaswidah | Africa Qaswidah | Africa Qaswidah

КОМЕНТАРІ • 400

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 2 роки тому +30

    Hongera sana dada,hiyo nyimbo haisikilizwi na waislam tu,sisi pia tupo nyuma yako kwa sauti nzuri na ujumbe mzuri,Mungu azidi kukubariki.

  • @asteriajoseph815
    @asteriajoseph815 2 роки тому +21

    Waooooo,yani me sista mkatoliki lkn naipenda sana na kurudia rudia kusikiliza huu wimbo,Ubarikiwe sana kipenzi chetu❤️❤️❤️❤️

  • @onee3517
    @onee3517 Рік тому +10

    Mimi ni mtatoliki naikubali sana hii Qaswida, nilikua sijaona video yake leo nimeiona naipenda zaidi Muimbaji mzuri na wimbo mzuri. asante kwa ujumbe mzuri 🙏🙏🙏

  • @nicsongasper3686
    @nicsongasper3686 4 місяці тому +5

    I'm christian but this Qaswida is veery good 🙏

  • @Mrbwaktz2023Charles
    @Mrbwaktz2023Charles 7 місяців тому +7

    Da johaynah tatuletea qaswida nzur sana inapenya vema kwenye maskio ya kila mmoja wetu

  • @fatumamohammed3734
    @fatumamohammed3734 Рік тому +7

    Masha Allah 👌 shukrani kwakutuzinduwa 💯💯❤️😭

  • @AbdallahShukura
    @AbdallahShukura 3 місяці тому +3

    Allah nisadie niwe na mwisho mwema. Amiiin🙏🙏🙏🙏

  • @wardamohamed2458
    @wardamohamed2458 Рік тому +3

    Qaswida nzuri Sana hii,siichoki kuisikiliza,Mungu akupe umri na Afya njema.

  • @abdulsaidi7007
    @abdulsaidi7007 3 роки тому +4

    Mashallah mi nampenda huyu msichana na qaswida zake hasa hii na subira jambo la kheri na nyingine nimesahau jina lake

  • @jumaomary2392
    @jumaomary2392 Рік тому +11

    wangapi tunaisikiliza hii qaswida 2023 naomba tujuwane kwa like hapa

  • @bakarimohamedi5814
    @bakarimohamedi5814 5 років тому +12

    Mashaallah Mungu akuzidishie nakupenda Juju kwa ajili ya Allah

  • @neemamsovela
    @neemamsovela 9 місяців тому

    Mashaallah nakupenda mungu ni mwema na akulinde siku zote kwenye maisha yako na una sauti nzur mashaallah mashallah ❤❤❤❤❤❤

  • @mashamadinda5817
    @mashamadinda5817 4 роки тому +9

    Mungu akuzidishie caswida nzur sana Masha Allah.

  • @muhammadsulayman5501
    @muhammadsulayman5501 4 роки тому +12

    Mashallah Allah a2pe mwisho mwema na qauli thabiti

  • @khadijamansour4217
    @khadijamansour4217 3 роки тому +20

    Wanaosikiliza hii qaswida 2021 tujuane😍😍😍

  • @neemamollel6235
    @neemamollel6235 2 роки тому +22

    Am Christian bt I can’t stay without this content 🙏

  • @MsamaaJuma
    @MsamaaJuma 3 місяці тому

    Kwakweli alhamdulillah namshukuru Allah Kwa kuipata hii qaswida Maana tokea Nina miaka kama 10 naipenda Hadi leo

    • @MsamaaJuma
      @MsamaaJuma 3 місяці тому

      Allah akulinde kila la shari

  • @yonakottpe8346
    @yonakottpe8346 6 років тому +7

    Mungu awabariki nyote wandalizi wa kazi hii! Ni qaswida nzuuri sana

  • @akelloaisha443
    @akelloaisha443 5 років тому +25

    Masha Allah sister, this kaswida z my favorite I love it so much n z so touching, may Allah reward u abundantly

  • @saidseyyid1750
    @saidseyyid1750 3 роки тому +11

    Much love from Mombasa Kenya 2021....MashaAllah

  • @selmezahor4696
    @selmezahor4696 Рік тому +1

    Ma Sha Allah sauti tamu 😍 na mzur sana 🥰 na Ina mafunz meng Allah akuzidishie na akubarik pia.🤲

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 4 роки тому +2

    Mmmmmh asee ww kwli johyana asee nataman uje uwe mke wangu milele mpk mauti yafike kwakwli mzuli sauti sura safi mashallah nimekupenda mnoo ukht 🤗🙏🙏🙏

  • @norbertsungu3922
    @norbertsungu3922 6 місяців тому

    Hongera kwa kuimba wimbo wa Toba balikiwe sana Mwenyezi Mungu akuinue akupatie kiwango cha juu uimbe zaidi kakujalia sauti nzuri 🙏

  • @ramitodaguilhermina8126
    @ramitodaguilhermina8126 5 років тому +15

    Masha'allah, ni Qaswida nzuri saana

  • @huntertouchezq6644
    @huntertouchezq6644 5 років тому +14

    Allah azidi kuendeleza kipaji chako cha uwimbaji wa qaswida nimeipenda 🙏

  • @maliamjuma3418
    @maliamjuma3418 5 років тому +45

    Sikuwa na wasiwasi kuitizama dunia leo ningekuwa wapi mauti yange nijia jamani waislam wenzagu hebu tufikilie maneno haya na 2yatendee haki

  • @mussakishasha4795
    @mussakishasha4795 4 роки тому +8

    AM very impressed with your Qaswida may Allah be with u

  • @billyupdates4325
    @billyupdates4325 5 років тому +15

    jazakkallahu khairan dada johayn

  • @mohamedjuma2987
    @mohamedjuma2987 3 роки тому +7

    Hii ndio qaswida ya kwanza duniani ninayoipenda Safi na salama dada

  • @jamilamasoud4443
    @jamilamasoud4443 4 роки тому +3

    Mashaallah habibty dadaangu Allah akuzidishie

  • @just_zainab5139
    @just_zainab5139 5 років тому +17

    mashaallah johayna qaswida nzuri my cc

    • @petumary712
      @petumary712 4 роки тому

      hongera san dada yangu ila samahan mwenye Qaswida hii naomba a nitumie kwenye namb 0624400143

  • @zainabmsuya7022
    @zainabmsuya7022 5 років тому +24

    Naipenda sana hii qaswidq huwa natokwa na machoz nikiwa naimba hii qaswida

  • @zubaidamussa9285
    @zubaidamussa9285 5 років тому +1

    Allah akuzidixhie kipaji chako kiendelee hivyo hivyo hongera daDa

  • @maliamjuma3418
    @maliamjuma3418 5 років тому +11

    Naipenda sana qaswida hii jamani waislam wenzagu mko wapi jamn

  • @abbassaidi795
    @abbassaidi795 Рік тому

    Maneno yeny ladhaa,mashaa shaaa Allah.Allah akuhifadhi sister wang

  • @CalstarHuligha
    @CalstarHuligha 2 місяці тому

    Dah johayna allah akupe rehma zaid utuletee nyengne❤❤❤❤

  • @JOLSONSON-t2q
    @JOLSONSON-t2q Місяць тому

    qaswida hii umejua kuimba sana dada❤❤💞💕

  • @hassanandonne2668
    @hassanandonne2668 5 років тому +15

    Mashaallah sauti tam mng akuzidishie kipaj

  • @FatmaZuberi-bk2st
    @FatmaZuberi-bk2st Рік тому

    Mashallah Allah azidi kukuongoza naipenda hii kaswidaa 🙏🙏

  • @luqmanmvungi6021
    @luqmanmvungi6021 5 років тому +16

    Alhamdulillah kwa kupata ujumbe wa toba

  • @babayusuf68
    @babayusuf68 5 років тому +35

    Poleni lakini hii nyimbo inanikumbusha kuhusu siku ya qiama mashallah johayna allahubarik

  • @michaelabdallah5497
    @michaelabdallah5497 Рік тому

    Iko vzr mwenyez mungu azd kukujaalia kher

  • @ZamdaNgoy
    @ZamdaNgoy Місяць тому

    Nikiitak Aman katk nafs yngu BC huwa napenda kuckiliza hii qaswida alihamdullah

  • @jenipheredwardy9747
    @jenipheredwardy9747 5 років тому +16

    dada una sauti nzuri sana yan na hongereni sana waandaaji wa Qaswida hii

    • @ramuumdiu7556
      @ramuumdiu7556 5 років тому

      Ramadhan MDIU.dada hongera mungu akubarkii

  • @jacksonmush5891
    @jacksonmush5891 5 років тому +12

    Pa1 dada Allah akutangulie katika safari yako ya hapa duniani na kesho tukutane peponi

  • @msjammie9260
    @msjammie9260 6 років тому +10

    MashaAllah... Hii qaswida huwa inanifanya chozi linitoke kila niisikiapo.

  • @fatumaChuchu
    @fatumaChuchu 3 місяці тому

    Naipenda sanaaa hii kaswida yaanii❤❤❤

  • @jafarisintoo3743
    @jafarisintoo3743 5 років тому +13

    MashaAllah,
    Vyema Sana ukhuty.

  • @neemamuhisini7900
    @neemamuhisini7900 5 років тому +8

    mashallahh uko vizuri sana Allah akuzidishie

  • @shabanirashidi5841
    @shabanirashidi5841 2 роки тому

    Inshaallah mola atuongoze wote kwenye njia iliyonyoka na si pamoja nawalewalopotea

  • @munimuni3365
    @munimuni3365 3 роки тому +7

    Mashallah from🇧🇮🥰

  • @abdullahimuhamed9610
    @abdullahimuhamed9610 Рік тому +4

    2023 naskiliza Bado favourite

  • @MohamedLutete-kb7kt
    @MohamedLutete-kb7kt 4 місяці тому

    Cette chanson donne beaucoup d'iman ❤

  • @shanikidashar160
    @shanikidashar160 6 років тому +10

    Nziri sanaaa AMINA hasa sisi washana au wanawake

  • @azizahasani4188
    @azizahasani4188 6 років тому +14

    Mashaallah dada unaimba vizuri nimependa

  • @jamilamasoud4443
    @jamilamasoud4443 4 роки тому +1

    Shukraan Dada nice song habibty

  • @HamisaRajabuMaulid-wq7pq
    @HamisaRajabuMaulid-wq7pq 9 місяців тому

    Mashallah allah atujaalie mwisho mwem

  • @amosnabikhuli3822
    @amosnabikhuli3822 Рік тому

    Mimi ni mkristo lakini qaswida zenu taamu kweli.

  • @selmezahor4696
    @selmezahor4696 Рік тому

    Lkn pia natak ni download haikubal na tafut audio yke sijaipat nakupenda 😍 San Wala sichok kuiskiliz,

  • @SalmaMohd-u7l
    @SalmaMohd-u7l 8 місяців тому

    Mashallwa Mashallwa Allah akubark

  • @DomitienBanyiyezako
    @DomitienBanyiyezako 5 місяців тому

    Jazakallahu khaira fii dunia wal akhera

  • @ShadyaYusuph-k3s
    @ShadyaYusuph-k3s Рік тому

    Mashaallah anaimba kwa hicya anahamasisha

  • @ashuralihinda9065
    @ashuralihinda9065 2 місяці тому

    Allah nipe mwisho mwema 😢

  • @KilalamaMmary
    @KilalamaMmary Рік тому

    Nzuri sana aisee❤❤❤

  • @IbradamFrada
    @IbradamFrada 6 місяців тому

    Mashaallah johayna mimi naitwa ummu kulthum napenda sana kaswaida zako yaan naomba tujuane niimbe kaswaida na wewe please johayna

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 роки тому +1

    Mashaallah tabarakaallah sauti nzuri sana Ongera johayna

  • @AishaGeofrey-t5k
    @AishaGeofrey-t5k 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤ nakupenda sanaaaaaaa hongel mi naitwa alsha

  • @djumaineomar3294
    @djumaineomar3294 5 років тому +6

    ❤ napenda sana kaswida hiy

  • @tausiswalehe4000
    @tausiswalehe4000 2 роки тому

    Mashallah mung akupe maish marefu

  • @zackysaid7981
    @zackysaid7981 2 роки тому +1

    Mashallah naipenda sana ina ujumbe mzito

  • @FatmaShime
    @FatmaShime 6 місяців тому

    Ni zaid ya ukumbusho Allah akupe kauli thabut

  • @ramadhaniakram3881
    @ramadhaniakram3881 6 років тому +20

    Nice I'm so impressed with this qaswida

    • @aynamkwinzumkwizu4461
      @aynamkwinzumkwizu4461 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @zainabchatta9272
      @zainabchatta9272 3 роки тому

      MashaAllah🥰❤️❤️

  • @zuwenasaid4589
    @zuwenasaid4589 4 роки тому +2

    Mashaallah naipenda saana hii qaswida

  • @moodmangenya8066
    @moodmangenya8066 2 роки тому

    Jazaka-Allah kheir the best qaswida

  • @HusseinKilatu
    @HusseinKilatu 12 днів тому

    Mashallah kaswida nzur san

  • @mwanalimaramadhan3834
    @mwanalimaramadhan3834 3 роки тому +3

    mashallah walai this qaswida is amazing my favourite

  • @lhommesimple8398
    @lhommesimple8398 Рік тому

    Asalamwa allahikkum warahmatulahi wa barakatuh Mimi 😢😢😢😭😭😭🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @maryamsalum1534
    @maryamsalum1534 5 років тому +7

    Masha-ALLAH my cc

  • @seniourmohaa4724
    @seniourmohaa4724 7 місяців тому

    mashaAllah..
    I Love this

  • @anifaabubakar2067
    @anifaabubakar2067 4 роки тому +5

    Mashaallah nasheed nzur sana

  • @subirakafunya1947
    @subirakafunya1947 5 років тому +4

    allah akutangulie juu ya kila jambo jema inshaallha

  • @summaryomar2028
    @summaryomar2028 Рік тому +3

    Mashallah very nice

  • @greezlyarobauz8359
    @greezlyarobauz8359 Рік тому

    Watu ambao mpaka Sasa 2023 bado wanaisikiliza hiyi qaswida bas njoo tujuwane mashallah 🤲❤️🥺

  • @مريممريم-ح9ق5غ
    @مريممريم-ح9ق5غ 4 роки тому

    mansha allah dad yngu mung akuwejey wepes kwa kipaji chako

  • @mmh7588
    @mmh7588 4 роки тому +2

    Masha Allah. Imenigusa kabisa

  • @NelsonMabura
    @NelsonMabura Рік тому

    kwa kweli nimevutiwa na nyimbo za huyu mwana dada

  • @stanboydoer3405
    @stanboydoer3405 2 роки тому

    Allah ukupeee barka na kheri johayana

  • @fatiiosman4245
    @fatiiosman4245 3 роки тому +1

    Masha Allah Jazakallah kheiran 😊

  • @TM-hz7ix
    @TM-hz7ix 5 років тому +12

    MAASHAALLAH

  • @mussasmusaa5812
    @mussasmusaa5812 4 роки тому +1

    Mashaallah Allah akuzidishie

  • @bakarimahenge
    @bakarimahenge Рік тому +1

    tunaoskiliza mwezi wa ramadhani taree 23 mwezi 3 mwaka 2023 tujuane alhamisi

  • @SheilaShemzungu
    @SheilaShemzungu Рік тому

    Mungu akubarik💔💜💚💙

  • @FauziaAbubakar
    @FauziaAbubakar Рік тому +1

    Masha Allah good bless you 🙏🙏❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🖐️🖐️🖐️

  • @lizertv5595
    @lizertv5595 7 місяців тому

    napata utulivu sana na Qaswida zako

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 2 роки тому +3

    Mashaallah mashaallah

  • @RizikiAthumani-i4f
    @RizikiAthumani-i4f 9 місяців тому

    Mashallah may God bless you

  • @shamimubesta3547
    @shamimubesta3547 3 роки тому

    Mashaaalah johayna waniumiza sana kawida zako

  • @munirasalehahmed7309
    @munirasalehahmed7309 3 місяці тому

    Mashallah dada ❤❤❤

  • @abdallwahmohd741
    @abdallwahmohd741 Рік тому

    Ilove sister mashaallah atufnyie wepes inshaallah

  • @MwajumaMaya
    @MwajumaMaya 6 місяців тому

    Hogera kaswid nzuri.sana