1/2 kikombe cha mafuta (ghee) Vikombe 4 vya supu Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa Nyanya ya maji Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi Kijiko 1 cha unga wa coriander Kijiko 1 cha mbegu za cumin Vijiti 2 vya mdalasini Iriki nusu kijiko cha chai Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima 1/2 kijiko cha karafuu nzima Nyama 400g
Mahanjumati ❤
Karibu jirani uje na kachumbari
@@MisosimitamuC Nagonga mlango hata sikaribishwi, au umemaliza chakula?
Tumehairisha kula titakula jmosi
@@MisosimitamuC Really? Unanibania tu wewe..!
@CollinsMtita hihihihihi
Taja majina ya viungo
Mdarani, binzari nyembamba, iriki, pilipili manga na karafuu. Alafu chini ya video kuna viungo vimeamdikwa
Mbn hujataja majina ya viungo?
Salama dear mzima. Karibu misosi mitamu ukiangalia chini kwenye discription bix utaona majina ya viungo na vipimo vyote
1/2 kikombe cha mafuta (ghee)
Vikombe 4 vya supu
Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g
Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa
Nyanya ya maji
Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi
Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi
Kijiko 1 cha unga wa coriander
Kijiko 1 cha mbegu za cumin
Vijiti 2 vya mdalasini
Iriki nusu kijiko cha chai
Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima
1/2 kijiko cha karafuu nzima
Nyama 400g