Ramadhan mashaallah mwenyezi mungu anakupenda na yeye mwenyezi mungu atakulipa maghfira unafanya daawa fii sabii li laah utawaokoa wengi kwa hii daawa na ya kua hii jahazi yao inayo endelea kuzama na kwa hakika wako katika upotovu wazi na subhanalla mweyezi mungu ametukuka kwa wanayesema juu ya mwenyezi mungu hawasemi hiyo ila ni khathib uwongo tu , wana imani mbovu ambaye walidanganywa na makatholiki wakati ya ukoloni alhamdulilah tunam shukuru allah kwa kutuepusha na hizo shirki zao, na wao mungu awanusuru na kuwafungulia vinywa vyao.huyu mze mbishi anahubiri hata kitu hajui ana tunga tu kutoka kichwani mwake.
MashaAllah shekhe wetu. Allah akupe kila kheri katika hii dunia na kesho akhira. Naonelea hungemuacha huyo mwenye reflector... labda ungemlingania atleast more.
Sheikh Ramadhan may Allah bless. It seems you are a very patient person, you are listening and taking in this crab from this guy who does not give any evidence and does not know his own book. Just his own opinions.
Wakristo wamepotea kabisa wallahy.. now I understand iblis aliposema atafanya juu chini apotoshe watu na hakuna kupotosha kubaya kama kumletea mtu dini akajiona yuko kwenye nuru maskini kumbe ndio kapotea kabisa.
Wapendua maandiko kwa mawazo yao bibilia inasema hii watu wanageuza na mawazo yao weeee yani ukristo balaa Allah awafungue macho waone vizuri waache kuvaa miwani ya mbao😂😂😂😂
Ramadhani umenichekesha sanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂na pikipiki wanaweza kumzika nayo. 😂😂😂😂😂😂ila ni kweli kuna mm mmoja inasemekanika walimuwekea dhahabu zake zote kwa sanduku.
For Christian’s when it comes to maandiko it’s always they need a revelation. Ajaabu. How come they can’t read , comprehend and understand their scripture.
Jesus Alpha n he decided to come 2000yrs ago Omega n he no where to be found😂 n when he was abt to leave said I will send another Comforter. Christians r funny!
Pole ndugu Quran haiwezi kutambuliwa kwa bibilia koz sio kitabu cha mungu na kilitiwa mikono wakaharibu wakatoa ukweli na kuweka urongo halafu yafaa ujue yesu alipewa injili sio bibilia
Si shida wala si ajabu kutambulika bibliya nqurani mbona ata bibliya inatambuwa kuwa kuna mashtani,kwa iyo inamaanisha kwa sababu bibliya inatambua shetani ndo itakuwa shetani ni kiumbe kizuri?
@@hamisijm8437 Koran yasema mkajadiliane na dini ambazo zilitangulia ambayo ambayo ni kristo na ukristo ni kwenye biblia ...Sasa mbona useme biblia sio kitubu kitakatifu.....token huko Kwa uislamu hakuna Uzima...
Masheikh Allah awalipe dunia na akhira na awawezeshe katika hii kazi ya daawa
Subhanallah ndugu yangu Sheikh Ramadhan shukran kwa Daawah tumepata kujifunza mengi kupitia hii channel yetu Mola akuzidishie nguvu
masha Allah uko nyumbani sheikh Ramadhan Allah akuzidishieni kwa kulingania wasio waislamu kwa dini ya haki
Allah awazidishie nguvu ya kutangaza daawa mashekhe wetu..Insha Allah mungu atawalipa kesho akhera..Sheikh ramadhan Allah akuhifadhi Insha Allah
Bado tunakufuatilia kaka ramadhan ALLAH azidi kukujaalia nguvu na uwezo kueneza dini ya ALLAH
Mafikira ya watu wanono ni hatari sana, Hawana lolote ufikilia yaliovichwani tu. Sheikh ramadhan uko kibarua, Allah akukinge
Masha Allah sheikh Ramadan usichoke kuwalingania waujuwe ukweli
Masha Allah tabaraka Rahman Allah bless you all straight path channel Allahumma Ameen yaarabil Aalamiin
Niko Zanzibar nafuatilia vizuri mafunzo yako Allah akupe afya njema ili wasio waislamu wajifunze uislamu
Ramadhan mashaallah mwenyezi mungu anakupenda na yeye mwenyezi mungu atakulipa maghfira unafanya daawa fii sabii li laah utawaokoa wengi kwa hii daawa na ya kua hii jahazi yao inayo endelea kuzama na kwa hakika wako katika upotovu wazi na subhanalla mweyezi mungu ametukuka kwa wanayesema juu ya mwenyezi mungu hawasemi hiyo ila ni khathib uwongo tu , wana imani mbovu ambaye walidanganywa na makatholiki wakati ya ukoloni alhamdulilah tunam shukuru allah kwa kutuepusha na hizo shirki zao, na wao mungu awanusuru na kuwafungulia vinywa vyao.huyu mze mbishi anahubiri hata kitu hajui ana tunga tu kutoka kichwani mwake.
Sheikh Ramadhan ALLAH AKUHIFADHI akujaalie kila la KHERI, AMEEN.
MashaAllah shekhe wetu.
Allah akupe kila kheri katika hii dunia na kesho akhira.
Naonelea hungemuacha huyo mwenye reflector... labda ungemlingania atleast more.
MaashAllah shekhe Allah akuzidizhie umri dini isongee mbele
I love your program the man of God.. And I would really love to meet u one of this fine days.. Am in Mombasa.. Shanzu
Insha'Allah
Mashaallah Allah awabariki
MashaAllah Allah akulipe Kila la kheir
Masha Allah
Brother sheikh Ramadan. What you are doing is unbelievable. My Allah give you long life to do Daawah
Allah awahidha awape subra
Asalam aleyku warahmatulla
kabisa kama mtu hunasubra unaweeza kumpamtu makofi bureee
SubhannaAllah ukiona nuru ukaifuata hakika Allah amekupenda sana
Majamaa ni ushuhuda tuu. Mabruk Rama❤❤
Alhamdulillah Allah akufadhilishe.
Jazak Allah Kheiran
Jazakallahu khair ustad
Mashaallah brother❤
Njia kuu 😅 SubhanaAllah!
Mashallah kaka Allah akuzidishie umri
Subhana Allah aki kenya iko namadhehebu mengi ya wakristo nawote wanatumia kitabu kimoja
Sheikh Ramadhan may Allah bless. It seems you are a very patient person, you are listening and taking in this crab from this guy who does not give any evidence and does not know his own book. Just his own opinions.
Asalama alaiykum jazzakallahu kheir
Maashallah wataelewa tu wakikataa watajilaumu wenyewe lakin hoja ziko wazi kabisa
Shukurani sheikh ramadhan, safi ❤❤
Huyo kaka alieongea fairly Allah atamuongoza
Maasha Allah
Mashallah Allah akuongoze
Masha Allah ❤
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Wakristo wamepotea kabisa wallahy.. now I understand iblis aliposema atafanya juu chini apotoshe watu na hakuna kupotosha kubaya kama kumletea mtu dini akajiona yuko kwenye nuru maskini kumbe ndio kapotea kabisa.
Masha Allah Ustaz Ramadhwan
Umemp kibano
Uyu Jamaa Anakiburi Sana . Pia jinalake pia daa
Mafundisho mazur zaid hustadhi ramadhani ❤
Allahu Akbar.
Nimechekaaa
Wakirto wanaumwa na ukweli
Duh yesu ni mungu
MashaAllah😊
MashaAllah
Yaani hadi sasa wakristo hawamjui Mungu .
Assalam alleykum. Sio ATI HAWAMJUI ILA HAWATAKI KAMWE KWA SIBABU YA CHUKI ZAO NA UHASIDI DHIDI YA UISLAM NA AR-RASOOL
Huyu mzee mrongo kweli!
Asc sheikh Ramadan
Wa aleikum salam warahmatullahi wabarakatuh
Mashallah
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu sheikh RAMADHANI HUYU JAMAA UNGEKUWA UMEMTOLEA LILE ANDIKO LA ISIAH UFUNUO JUU YA ARABUNI UNGEKUWA UMEMLETA VIZURI SANA
Wapendua maandiko kwa mawazo yao bibilia inasema hii watu wanageuza na mawazo yao weeee yani ukristo balaa Allah awafungue macho waone vizuri waache kuvaa miwani ya mbao😂😂😂😂
Baba tumbo njugu, hana maana bure,
Niko saudi arebia nakufwatilia sheikh
Ramadhani umenichekesha sanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂na pikipiki wanaweza kumzika nayo. 😂😂😂😂😂😂ila ni kweli kuna mm mmoja inasemekanika walimuwekea dhahabu zake zote kwa sanduku.
Uisilam ni imani ya watu kama imani zingine kwa kua kati yetu tunaio ishi hakuna aliye thibitisha yanayo hubiriwa tulip hai tunaishi kwa imani tu
Ramadhan dont let that guy look like his winning when hes actually not proved nothing right to the viewers 😅😅😅
MAASHA ALLAH
Sheikh Ramadhan Kuria punguza nao story wape fact waelewe haraka ukienda nao hivi sana wanaleta mazowea
Eti wakabeba mifupa ya Yusufu wakaenda nayo... 😂😂😂
Watu zedukeni someni vitabu muabudu Mungu aliyeumba manabii wote
Huyo jamaa wa kitambi ana-behave kama akili punguani. Alipewa mwili akanyimwa akili.😂😂
Huyu akiwa babngu siwezi sikiza yeye, hila ako muongo sana
Shekhe ramadhani Kuna andiko linalo SEMA Kuna dhambi yaasili au nikuwekewa maneno
Uyo jamaa ni mjeuri kweli ati hajui jinake😮
Be where with preachers who don't believe in Christ
Hehehe. One minute jesus is bwana another minute jesus is God? 😅😅😅
Huyu sheikh anachanganya watu wenye hawa elewi mandiko.
Hao mashehe hawaijui Biblia
One woman with others in secret 😅😅😅.
For Christian’s when it comes to maandiko it’s always they need a revelation. Ajaabu. How come they can’t read , comprehend and understand their scripture.
Jamaa hawafati maandiko wanafata akilizao
😂😂😂 Ati maandiko inataka kuwa na revelation..
Hakuna mkristo hasemangi hivyo...loo😂😂😂😂😂
Du! Yaani dawa dawa ngumu maana hao jamaa pasua kicha
Wallahi wanaongea sana alafu ukweli hawana maandiko wanakariri yale wamesikia wababa zao wakale wanasambazi
Uongo huo dah
Yaani wakristo hawana akiri kabisa yaani 0
Muonyeshe kafiri ninani katika bibilia kama yeye sio kafiri
Jesus Alpha n he decided to come 2000yrs ago Omega n he no where to be found😂 n when he was abt to leave said I will send another Comforter. Christians r funny!
Matiti? 😅😅😅😅😅
Confused Christians must focus more on who exactly was Jesus sent to instead of beating around the bush.
🙄 Promo SM
Swali langu mbona Koran yaitambua biblia lakin biblia haitambui Koran .waislamu mwapotea Kwa kukosa ufahamu...
Pole ndugu Quran haiwezi kutambuliwa kwa bibilia koz sio kitabu cha mungu na kilitiwa mikono wakaharibu wakatoa ukweli na kuweka urongo halafu yafaa ujue yesu alipewa injili sio bibilia
Quran kutambua Bible kwa Sababu Quran Nikitabutukufu lakn Bible Unaezasema Nikitabu Cha nn Unaezasema
Si shida wala si ajabu kutambulika bibliya nqurani mbona ata bibliya inatambuwa kuwa kuna mashtani,kwa iyo inamaanisha kwa sababu bibliya inatambua shetani ndo itakuwa shetani ni kiumbe kizuri?
@@hamisijm8437 Koran yasema mkajadiliane na dini ambazo zilitangulia ambayo ambayo ni kristo na ukristo ni kwenye biblia ...Sasa mbona useme biblia sio kitubu kitakatifu.....token huko Kwa uislamu hakuna Uzima...
@@ambarnelly6071 hakuna kitu ya maana umesema
Ma Sha Allah
Masha allah❤
Mashalla Allah ❤❤❤
Mashallah
MashaAllah