CPwaa Feat Ngwair & Chege - Fire (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 15 жов 2024
- Official Music Video from CPwaa after 6 years of silence in the Bongoflava Music Industry. The song is part of his EP which is scheduled to be released before the end of year 2020.
Composer :Ilunga Khalifa a.k.a CPwaa
Music Producer: Daxo Chali (MJ Records)
Video Director: Travella - Kwetu Studios
Published Date: 08/06/2020
#Cpwaa #Fire #Chege #Ngwair #SlideDigital
(c)Slide Digital
Cpwaa Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Cpwaa
Follow Cpwaa on:
/ cpwaa
/ cpwaaa
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Cpwaa international music 😭 😭🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
media mnaua vipaji duuh!! kama umemjua baada ya kifo kama mimi eke like tuhuzunike pamoja R.i.p
Wew utakua mtoto wa 2006 kuzaliwa
Rest in peace bro Cpwaa! Hakika tutakukumbuka sana
Rip cpwaa 😭😭😭😭 MAsikini Kila kitu kinapita dunian
I'm happy C pwaa is back ilaa Daaa ngweaaa alikuwa Mbele ya Mda sanaaaa..
Kaobama level yake haikua ya Kawaida,,, RIP
Real fire... Good music, good vibe. Mwishoni mngeweka picha ya Ngwair na R.I.P ingekuwa poa sana
Daah.....Kama watu wakifa wakutanaga😥 Basi nao wamekutana😭😭 R.I.P CPWAA
R.I.P.NGWEIR🙏🏽🙏🏽
BABA DIAMOND KAACHIA WIMBO MPYAA HUU HAPA👇
ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
BABA TIFFAH - NIMEKOSA
Nawakilisha ukerewe Mwanza like kama unamkubali ngwair
Nice kuona bado upo kwenye game
Dah kaka umenifundisha ktu kbwa sana kaka kumbe unaweza ukaweka ngoma hata miaka kumi afu ukaja ukaachia na ikawa hit hatariii
RIP CP CPwaaa! Won’t forget those days at IFM...Tangulia brother, mbele wewe sisi nyuma yako!
nimetembeza like kwa kila aliye comment, nirudishieni comment kama zote 👍👍👍👍
Ni ya moto mbayaaaa
Ngoma kali sana. Pumnzika kwa amani CPWAA
R.I.P Ngwair R.I.P CPwaa😭
Kifo noma noma sana
Kumbe jamaa alikua anajua ngoma Kali sana
Nani amegundua kama verse nzima ya ngwear haina neno hata moja lakiswahili💪🏾 afu ni verse nyoko sana, kama mzee Baba yupo around. R.I.P Albert!
Nomaa sanaa Mzee baba utadhan Ngomaa ya jana
Habar yako I hope ni mzma wa afya kabsaa
Leo nina habari inayo habarisha nmekuletea SIMULIZI kwa njia ya sauti ua-cam.com/video/uJU-l2ZbMio/v-deo.html
Usisahau kusubscribe nakubofya kengele ahsante
E bana ngwear
REST IN PEACE CP & NGWAIR
Rip... mbele yako nyuma yetu🙏
Rest Easy Peace Mfalme Wa Mitindo Huru🎙🎶🎧🎤..,,Albert Mangwea Chamber Squad East Zoo🙇♂️
Msafiri kasahau kuandika RIP NGWEAR mwishoni
C Pwaa ni Romy Jones alienenepa....
Cpwaa pin yako ni nzuri sana sana. Sema tatizo boss wangu Music wasasa unaendeshwa na promo sana Sio kuweka UA-cam na Redio tu. Yan leo ndo naona wimbo wako na umetoka 2 months pasted. Nanimejua baada ya kuona kwenye kipindi cha *Salama na Cpwaa* badilika boss wangu. Wimbo wako nimkali na kuna *living legends* humu.
Ka ubama fire sana
Respects for legends
King of freestyle nimekuja sababu ya ngwear
nimeenjoy kusikia sauti ya ngwear nice song though
Maktaba ya taifa ya burudani inaelewa who are you kwenye hii mambo
mzee wa crank nakuona kwa kasiiiiii
Umeua sana bro NAKUBALI
Qmamaeee nimesikiza hii ngoma mpaka mwenye nyumba kanimaindi ety punguza sauti ya radio
Kimziki Ngwair ataendelea kuishi
Yawezekana ngwair alikua mzuka yaaan hiyo mitembeo aliyotembea hum utazad karecord america huko
Rip C pwaa
Innahlillah wainnah lillah rajiun Allah Allah awarehemu wote
Uyu jamaa namkubal kichiz cpw
Pumzika kwa aman kaka
daaa kazi safi ndo maana nimecomment kabla ya kuchek
R.I.P Ngwair....kwanini asimchukue Nay wa mitego akamurudisha Ngwair
cpwaa usipotee tena mzee fanya kama kipindi ilee we miss you dude
R.I.P blood gwear kaka ngoma umeua ni fire kweli cpwa
Qali sana
Fireeee
Good job brother usiachie gape sasa
Kali
Ngoma ni fire kama jina la ngoma fireeee
Albat mangwer ni Kama 2pac shakur
Cpwaa ..nakubali bro ngoma kali amin kwamba
Ngwair alikuwa na level ya peke yake..
RIP cow Obama
RIP BROTHERS.. ngwair n CPWAA
LEO NDIO NAMJUA NICE SONG ANYWAY REST IN PEACE
Ngoma Kali sanaaaa mzee baba cpwaaa
Mkwaju mkali,hiki kimya kimekupa time ya kufanya Creativity zaidi ktk sanaa yako on a Different LeveL
Hakika hii Dunia sio ya kwetu
Ngwair alkua mbele ya tasnia b4 he died yaan km kaimba akiwa hai.rip legend
Ngwair anaish mioyon mwetu
Hii ni hit🚀🚀🚀
Fadhili Kangusi commented for Ngwair
Ngoma kali+video safi saana
Nimoto
Ngwair yuko around mazeee
Walokuja kusikiza verse ya Ngwair tena Kwa mara nyingine baada ya CP kumwambia Salama hii verse ilkuwa kwenye Ngoma ya Action miaka 10 ilyopita tujuane hapa
Mtoto wa vitoto eidoo was here
Nmesikia *mademu tu wanadanga*
Dah na ni yamoto sana mzee 🔥🔥
Fireeeee💥💥💥💥💥💥💥💥 balaaaa zitoooooooooo 😂😂😂😂🤣
ngwea katokea wp tena
Oyaa likes hapa
Pumzika kwa amani Cpwaa
Shavu boss...umenitenga
Pumzika kwa amani cpwaa
#rip KaObama
Sikia dude hiloooo...hapa Cpwaa Ngwair chege mtoto wa mama said fire 🔥🇦🇪
Tutoe stress Babaa
RIP NGWAIR
Here is another story from local little hustler... 🔥 🔥 sana CP. Angalau picture ki dogo ya Alberto Mangwea ukutani hivi ingekua ya Moto zaidi
Goma liko so pwaaa nimewaka🔥🔥🔥🔥
Cpwaa amerudi tena upyaaaaaaa
R.I.P NGWAIR
Umetisha kinomaa
Oh now we typing RIP CPWAA😭😭😭
Too sad
First 10 to watch nice song
Cpwaaaa is back mwenye mziki wakeeee wa trap&crunk zake bongoland
Mbele ya muda sana ngwair kma ngwair....rest easy brah
WA KWANZA
Umeua cp
Rest In Peace Ngwair😪
John makini abadili mzki pengine mdundiko
Da! Ngwea alikuwa master sanaaaa
R i p cpwaa na ngwair pumziken kwa amani😢😢
Hawa majaaa walikuaa mbele ya mdaaaaa.. Magwea karekodii iyoo verse zaidi ya miaka 8 ilio pitaaaa ila inasound so lit
Umeonaaa eee ana ki vibe yaaan fireee
dah mungu ailaze roho yake pemA
😄😄😃😅😃😅 bila shaka ulisikiliza wasafi nn maana ya mbele ya mda
Maqwear still around in this wonderful world 😎,, I'm watching bcoz of MaQwear🔥
Hizi ndio nyimbo org sio jeje na rhumba
Unyama mwingi Sanaa
Nomaaaaa
It's so ♨️♨️♨️♨️♨️ ujuo mpya kwa kishindo Nakubali cp mkali kitambo fiiiiiiiiiiire.
Mzee ngoma kali sana , daah mangwair miss that guy
Alikuwa hatari na Moto mazee
Kali Sana
Ngwear always yupo around mazeeee🔥🔥
Living Ngwear