NYUMBA ALIYOPIGIWA RISASI LISSU NI YA MBOWE/ MBOWE NI ALFA NA OMEGA WA CHADEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 110

  • @arlonmasanja7797
    @arlonmasanja7797 9 днів тому +7

    na Mavitabu yako Soma ww mwenyewe JINGA www, Jinga hili

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 9 днів тому +6

    😂😂😂😂😂😂nyerere yeriko 😅😅mzee wa mizimu booooonge la zero brain😅😅😅😅

  • @ruwaidamabrouk1797
    @ruwaidamabrouk1797 10 днів тому +18

    Yericko unajidhalilisha kumbuka wengi wanaosikiliza ni chadema na ni wasomi sana una hoja za kitoto sana unamtetea mbowe kama anakupiga miti

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 10 днів тому +3

      Huyu mjamaa ni mtu mwenye uwezo mdogo sana , porojo nyingi na kwakua watz wavivu tu ila hata huo unguli wa vitabu anaojiita ni mkopi taarifa tofauti na kuzikusanya pamoja na kuita vitabu , uwezo wake mdogo mnoo ispokua anaji overestimate

  • @NuruNswebe
    @NuruNswebe 8 днів тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti ni alpha na omega😂😂😂😂😂😂😂😂 huyu kajinyea sijui Nyerere wawapi huyu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hana akili

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 10 днів тому +14

    Huyu ndo et anaandika vitabu vya ujasusi😂😂

  • @mkorinto7629
    @mkorinto7629 10 днів тому +10

    Ukitaka kujua mjinga mpe microphone

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 10 днів тому +8

    Yeriko yaani hovyo sijawai kuona kabisa mjinga kweli kweli ovyo ovyo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 10 днів тому +8

    Njaa mbaya na uchawa mwisho wake kuliwa tuu

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 10 днів тому +5

    Huyu jamaa anajidhalilisha mnoo alijijengea jinakubwa sanaaaa kabla hajafungua mdomo baada ya kufumbua mdomo nimegundua ni sifuri yakushoto kabisa 😢

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 9 днів тому +2

    Huyu mjama chizi kweli,
    Sijui kama ni kweli ni mjuku wa nyerere !! Kichwani haja rithii hata seruthi moja ya mawazo ya babu yake kuhusu siasa,

  • @linogodson6478
    @linogodson6478 10 днів тому +4

    Sikutarajia kama yeriko ataongea haya maneno.yaan mm nilikua namkubali Sana ila apana NI MTU asie penda mabadiliko.

  • @novatv5575
    @novatv5575 10 днів тому +5

    Mpuuzi sana wewe mpagani alpha na omega ni Mungu pekee SIO mwanadamu

    • @arlonmasanja7797
      @arlonmasanja7797 9 днів тому +1

      Yeriko ni Jinga ni Kipara chake, linavaa Suit lakini kumbe ni lijinga

  • @ruwaidamabrouk1797
    @ruwaidamabrouk1797 10 днів тому +6

    Ni aibu kwa yericko Nyerere kuwa chawa kwa mbowe inaoneoana ananufaika na mbowe swali je kama Leo mbowe akifa nani atashika wazifa wake ambaye Kila mwanachama atamkubali na kama yupo ndo tunaemtaka awe mwenyekiti

  • @mosesmnape9444
    @mosesmnape9444 10 днів тому +6

    Inatia wasiwasi hata vile Vitabu vyake ni mtihani kama akili yake ni hii

  • @aloycejames4862
    @aloycejames4862 10 днів тому +7

    yeriko ni jinga

  • @AmosiMsomba-v7q
    @AmosiMsomba-v7q 10 днів тому +4

    Bwana yesu pekeake ndiye Alfa na omega

  • @SaidaMaligwah
    @SaidaMaligwah 9 днів тому +2

    Basi kumbe amepigwa lisasi kwa mboe. Anawajuwa basi.waliyompiga lisasi siyo ccm mnajuwana kwaeli

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 8 днів тому +1

    Huna lolote,mshenzi mkubwa😊

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 10 днів тому +5

    Kumbe mbowe anaijuawa vizuri nyumba aliyopigiwa risasi mbowe duh!!😂

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 9 днів тому +2

    Mtangazaji leo umefeli kuhusu muda wa unaowahoji maana hakuna specific time, huyo jamaa mmkosea sana kumwalika maana huwezi kuaccuse unaoshiriki nao kwamba siyo siyo viongozi bali umewaokota tu, nosense, mimi siyo chadema lkn the guy his Hurrigan.

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 5 днів тому +1

    😂 hivi huyu nae kichwani mzima kweli.

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 10 днів тому +3

    Nyerere ni agano la kale.

  • @GABRIELYKALWANI
    @GABRIELYKALWANI 8 днів тому +1

    Kweli nimeamini akili yake inaendeshwa na mizimu 😂

  • @willsoniissaya
    @willsoniissaya 10 днів тому +4

    Uyu yercko sio mzima kwanza anarazimisha

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 10 днів тому +3

    Kwahiyo Lissu katengenezwa na Mbowe kazi ipo aiseee😂

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 9 днів тому +1

    Alfa na omega ye mungu acha uchawa chama hajakijenga peke yake tunamtaka lisu kwani mbowe alimsomesha mbowe funga domolako mjinga wewe lisu hana uwezo wa kujenga nyumba we vipi kakilinda yeye au sisibwanachama hstumtaki mbowe tunamtaka lisu chadma haijafa asiwadanganye huyo wagombra kwani alitutafuta yeye tulijitokeza kuchukua fom wenyewe hatumtaki mbowe

  • @abelmakalwe
    @abelmakalwe 9 днів тому +1

    Yani kumbe hamna kitu haka kajamaa. Eti ndo mpokea tunzo. Mbona hana chochote kwenye ubongo?😂😂 .kanaleta mipasho lisu hajatengenezwa na mbowe wewe. Kama hujui Lisu alikuwa Nccr basi hapaswi kuwa hata mpiga debe.

  • @user-tv4pq2lp5s
    @user-tv4pq2lp5s 9 днів тому +2

    Hana hoja huyo, team mbowe huyo

  • @evaristandimubenya1647
    @evaristandimubenya1647 9 днів тому +1

    mbowe adamu ya udicteta kabisa.sasa uenyekiti inakuwa ivo angepata uraisi ingekuwaje jamani

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 8 днів тому +1

    Acha mtu kujengwa sio points hata magu alitengenezwa na CCM akaj akajenga vitu vyamsingi sasa wewe unaleta sela gani😢😢😢

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 9 днів тому

    Sijawahi juwa kumbe huyu jamaa ni mjinga kiasi hiki,,sawa kamtengeneza Lissu,yeye katengenezwa na nani ama yeye ana kipaji cha kutengeneza watu,,na unawatengeneza ili nini

  • @JeiKei-u9l
    @JeiKei-u9l 9 днів тому +2

    Wewe ni kaka yangu wa kijijini maduma,ila unaongeapumba tupu.

    • @josephmarole5159
      @josephmarole5159 7 днів тому

      Hyu jamaa hivi nikwel yko na vinasaba na mwl Nyerere

  • @lawimichaelwerewere7619
    @lawimichaelwerewere7619 9 днів тому +1

    Fala Sana wewe yeriko Alra na Omega ni Mungu tu acha uchawa unajidhalilisha

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 8 днів тому +1

    Mh huna sera 😂

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 9 днів тому +1

    Afute jina la Nyerere huyo kilaza

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 9 днів тому +1

    Iv mmeliona hilo lintobi linavyocheka cheka hapo pembeni

  • @boniphacesululu5428
    @boniphacesululu5428 10 днів тому +3

    Ujui neno ALFA NA OMEGA ,Rudi ukasome vitabu vya Mungu uone

    • @wanguwangu34
      @wanguwangu34 9 днів тому +1

      KWELI NI NJAA, MAANA MPAKA ANALINGANISHA MTU NA MUNGU?

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 10 днів тому +2

    Mbona anazuia chombo kinachomhoji kisimuulize swali why!?

  • @ev.johnndahani3990
    @ev.johnndahani3990 10 днів тому +1

    Acha ujinga kama huwezi kuongea toka hapo Mbowe sio Alfa na Omega wewe hiyo ni sifa ya Mungu peke yake

  • @NuruNswebe
    @NuruNswebe 8 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 hili tako bana

  • @mosesmdindile332
    @mosesmdindile332 10 днів тому +1

    😂😂😂uyu jamaaa daaaah

  • @Mohamed-j5w6w
    @Mohamed-j5w6w 10 днів тому +1

    dah! mm niko kigamboni nimeshangazwa na hoja za kiongozi wng ni dhaifu xana. Yeriko umekosa kura yangu km utatia nia ubunge

  • @leonardchoma3765
    @leonardchoma3765 10 днів тому +2

    Dah, inasikitisha Sana.Kwa hali hii ccm itatawala Siasa za Tanzania mpaka mwisho wa Ulimwengu.Wapinzani wa Tanzania wanawaona Watanzania kama wajinga wajinga.Hawaeleweki ndiyo maana Watu wanaona bora ccm iendelee kuitawala Tanzania kuliko Hawa jamaa wanao tia shaka kwa Matendo yao.

  • @abdullahshekwavi696
    @abdullahshekwavi696 8 днів тому

    Msimtukane bila kuangalia au kumsikiliza hoja zake

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 3 дні тому

    Lisuuu

  • @IssaKaminyoge
    @IssaKaminyoge 9 днів тому

    Wewe nichawa wa bowe utabaki na bowe wako na kovidi kumi na natisa

  • @MerryFishingRod-vq1kw
    @MerryFishingRod-vq1kw 10 днів тому

    Tatizo watanzania tuna fikra duni sana, angalia na utafakari Kwa makini yupi mwenye sera safi kati ya mbowe na lisu

  • @StephanoMashauri-b5i
    @StephanoMashauri-b5i 10 днів тому +1

    Huyo yericko ni Kuma TU

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 9 днів тому

    Sikujua kuwa Yeriko ni mbumbu kiasi hiki

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 9 днів тому

    Twenzetu na Lisu

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 8 днів тому

    😂😂😂😂😂😂Una mpya

  • @VailethKaali-hx8yh
    @VailethKaali-hx8yh 7 днів тому

    Nyerere mbona hakuwa na akili chafu namna hii au ndo makapi ya mwisho?

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 10 днів тому +1

    Marehemu Nyerere alikuwa taji li mbona huna akili wewe

  • @henrymoghu6556
    @henrymoghu6556 10 днів тому

    mpumbavu wewe,moyoni mwake mpumbavu amemwita mwanadamu mwenzio ni alfa na omega.Alfa and omega is only living God.

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 10 днів тому +2

    Yaani yerico ni zero brain anajua maana ya alfa na omega sifa ya mungu unampa mwanadamu

  • @KisinzaNewton
    @KisinzaNewton 10 днів тому +1

    Mpumbavu sana huyu jamaa.

  • @JumaLitto
    @JumaLitto 10 днів тому

    Huyo jamaa aliesema ni alpha na omega boya sana,sisi tunataka damu mpya ili tuone hiki chama kinaendaje

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 днів тому

    MBONA WENZENU HUKO NCHI ZA NNJE HAWAFANYI KAMA NYINYI NA NDO WENYE DEMOKRASIA YAO . LAKINI HAWAROGANI, HAWAUWANI WANAPAMBANA KIMAMBOLEO. LAKINI SISI WATU WEUSI NI HOVYO SANA.

  • @JosephineKiminjo
    @JosephineKiminjo 9 днів тому

    Yeriko Huna hujitambui ni chawa ww

  • @MiriamKhalid-z6o
    @MiriamKhalid-z6o 9 днів тому

    Huyu jamaa ni pono

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 9 днів тому

    Chizi yericko

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 10 днів тому +1

    Yeriko mjinga

  • @mongogwelaanthony6867
    @mongogwelaanthony6867 4 дні тому

    Lissu anatosha, lisu na heche ndo wanafaa kutwaa hatamu za uongozi

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye 9 днів тому

    Nimejufunza kitu kwa huyu bwana. Kweli wana comment humu asilimia kubwa kabisa siyo wapiga kura wapiga kura wenyewe wametulia na wanajua watamchagua nani siku hiyo ikiwadia ili chama kiendelee kuwa salama kutimiza malengo yake na siyo kuwaruhusu wavurugaji kukiteka chama

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 9 днів тому

    Huu sio umafia kweli nyumba kumbe nyumba ilikuwa ya Mbowe wakamweka Lisu uchunguzi wa kupigwa lisasi uanze make sehemu ya kuanzia ni hiyo.

    • @MwakaHappy
      @MwakaHappy 9 днів тому

      Yeriko mnsjifanya mnajua kuchamba mtsshika naavi mungu amewahaula mtaropoka yote si tunamtaka lisu

  • @Malimba_M.L.B
    @Malimba_M.L.B 5 днів тому

    Hana hoja ya msingi

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 9 днів тому

    Yericko chizi kabisa wananchi wanajichangisha chiji huyu

  • @jumamathias8903
    @jumamathias8903 3 дні тому

    Kumbe jamaa ndo kichwani ni zero hivi

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 9 днів тому

    Pumbavu muone na li sura lake kama marehem bulicheka

  • @HonestMchau
    @HonestMchau 9 днів тому

    Wasomi wa tz duuu

  • @nuke6081
    @nuke6081 10 днів тому

    Chama kilikua hakijafa ndani ya kipindi hicho cha miaka saba, chama kinapo kufa kinakosa wafwasi. Lakini chadema wafwasi walikuepo, swala ni nguvu kubwa ilikua inatumika kuzuia shughuli za chama zisifanyike. Yericko wewe ni kenge😂

  • @KhalfanChaula-p7y
    @KhalfanChaula-p7y 9 днів тому

    We do not need new wine in an old wineskin, new wine,new wineskin,yericho shut up

  • @johnsonmaina5767
    @johnsonmaina5767 10 днів тому +1

    Unakufuru, please, futa kauli ya kumwita "Mbowe" ni "Alfa na Omega"!

  • @MwesigeMwesige
    @MwesigeMwesige 9 днів тому

    Kawaleya je hamtaki wawekiviongozi

  • @hppelias
    @hppelias 10 днів тому

    Kusema Mbowe ni Alfa na Omega ni upofusho na upungufu wa akili! Kwa maana hiyo Mbowe akifa chadema inakufa!

  • @JuliusTluway
    @JuliusTluway 9 днів тому

    Wewe ni matako

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 10 днів тому

    Unatulazimisha tumpende mbowe

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 10 днів тому

    Siasa hii leo mnasema Yerico ni mjinga amakwwli

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 3 дні тому

    LISU

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye 9 днів тому

    Odemba usilazimishe aseme unachokitaka wewe

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 9 днів тому

    mjinga wewe mizimu inakutumikisha

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 6 днів тому

    Kama ni harufa na omega basi hicho sio chama bali ni bwawa la samaki ikikuwa inaliwa sasa mbowe watu wakikua kisiasa wanafukuzwa

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi 7 днів тому

    Huyu ni ng"ombe kabisa

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 10 днів тому

    HUO NI UJINGA WA HALI YA JUU KWAHIO WENGINE HAWAWEZI KUONGOZA, MPENI LISSU TUONE MABADILIKO, TUNAMTAKA LISSU ✅✅

  • @SelemaniHamiss
    @SelemaniHamiss 10 днів тому

    Makamanda.tulikua.kazini.tukikoma.makamanda

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 10 днів тому

    HUYU NAHISI JINA LA NYERERE HALITENDEI HAKI

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 10 днів тому

    Yeriko kumbe 0

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 9 днів тому +1

    Wanafiki wakubwa mbona siku zote hamkusema mnakuja kusema leo!! Tena mumshukuru sawa mbowe kawafanya mjulikane

  • @nzeyyunus5990
    @nzeyyunus5990 9 днів тому

    ALPHA & OMEGA ni MUNGU tu, tatzo kwenye huo mdahalo wewe ndio mwenye jina, so you speak with arrogance & pride.

  • @ChifuMwakatobe-o8x
    @ChifuMwakatobe-o8x 10 днів тому +1

    Unakufuru wewe

  • @JamillahMhina
    @JamillahMhina 9 днів тому

    Mjinga mkubwa huyu

  • @StivenMwambenja
    @StivenMwambenja 10 днів тому

    Mbowe atashinda kwakishindo hamtaamini

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 7 днів тому

      Pesa inatembea barabarani

  • @ChifuMwakatobe-o8x
    @ChifuMwakatobe-o8x 10 днів тому +1

    Unakufuru wewe