Our Almighty God is at work. He is in the process of doing the impossibles in this country. God has his own way of doing things, he can use 'the Joshuas' just temporarily to perform his work. He is about to do miracles in this country let's wait and see. We re going to see tremendous transformation we never expected and I can tell this 'chadema thing' is just one of the big sign. It's the beginning of God's miracles. Let's get ready for more. This year is a year of huge transformation in our history, I can see it. Thanks God. Do as you wish.
Chadema pleaase acheni kutetea manufaa binafsi, wakati huo umeisha pita. Teteeni chama na watanzania waliopo nyuma yenu. Acheni figisu mtaua hicho chama. Msitutoe imani
Mimi ni CCM ila natamani Lisu ashinde ili Tanzania 🇹🇿 tuwe na upinzani wa kweli kwakuwa Mbowe ni mwana CCM mwenzetu na viongozi wa CCM wanamtumia ili kukuua chadema
I trust Lissu more than Mbowe for now with the chadema part but not with the whole country...No...No...No.. I didn't like the way he was fighting so hard against anything good Magu did instead of supporting his hard work of transforming this country's economy and introduced good culture of responsibility. He did an awesome job which produced amazing results we all knows, and it wasnt easy at all. Lissu didn't see any of those, why? Magufuli should be acknowledged and praised for that not condemned and mocked all the time. He earned huge respect inside and outside Africa ....that's for sure. Mabeberu will always pull his memory down and we all know why. I get trouble trusting Lissu's intentions for this country. I don't know if I can trust him with the safety of our natural resources or issue of drugs to protect out children or building infrastructure or economy. I don't know how big is his patriotism. I don't think he has the courage to fight mafisadi and mabeberu against exploitation, or drug dealers network. Since those are his close friend he trust, right? That's why he was constantly fighting Magufuli' effort. Sorry I don't trust Lissu he might be a sell out. I don't trust those so called 'international friends' behind him. He has a hard work ahead to pove me or us wrong....to make us trust him. He can fit to be chadema leader for now.....but font think of him as a president oh no no nooooo. Not until he is tested and proven.
I support Lissu and Heche to.lead chamema at this period. They're very fit for the job. They're the right mechanism to adjust CCM and shape politics the right way in the whole country. I've big trust and hope in these pair. The other pair is good but not good nough for now.
Wakili mwabukusi wew akili huna ni zezeta kweli unamfananishaje mbowe na takataka lisu anaetetea ushoga je uko tayari kuolewa wew maana pesa za lisu mnazokula lisu analiwa na wazungu hivyo jiandae kuliwa kama kweli unamkubali huyo kichaa mwenzio
Utafikiri aliyesababisha lissu ashindwe uchaguzi wa ubunge ni mbowe.😂. Tatizo ni ccm na serikali, ila mmegeuza kama vile tatizo ni mbowe, wakati mbowe ni solution. Ngojeni lissu akimbie tena ubelgiji na kusindikizwa na balozi kama last time, wakati nyie huko nchi inawaka moto na mnavunjwa miguu na polisi tanzania.
Lisu alishimdwa kwa sababu wtz, hawakuamini sera zake. Siku wakimwani huko mbeleni watampa uongozi wa nchi. Kazi ya chama ni kushawishi Raia kuamini sera zake.
Kila kitu na wakat wake tulipofikia Sasa inahitajika Kila mtu awe mropokaji maana kama kweli ni uropokaji bac mwana Mageuzi yeyote lazima awe mropokaji.😅😅😅😂😂😂😂
@@bahatielias6443Eti Mbowe ana busara, Busara gani anatuuza kwa mcc wanatufanya wanavyotaka kwenye chaguzi 😂😂😂 Sasa yeye anabusara kwa mcc wakati mcc hawana busara nae😅😅😅 huo ni ujinga kuhubiri amani wakati watu unahubiri nao wameficha mapanga
Ulevi kwa jamii. Uchague kushiriki ulevi au huache. Nyakati hizi mambo ya kufikirisha kwenye ulimwengu huu hayapo. Na hii sio bahati mbaya. Ni kazi ya ukoloni mamboleo na Makuhadi wa soko huria. Jamii mzima inatengenezwa kufuatilia mizaha, kwa upande mwingine Mrija wa ubepari na ufisadi ukifyonza taratibu.
Wanaoamini kuwa Lisu na heche wanafaa gonga like
TUNAWATAKIA KILA LA HERI
ANAEAMINI LISU NA HECHE WANASHINDA AGONGE LIKE
Usicheze na Siasa Anna hujui roho za wapiga kura wengine wanabadilikia ukumbini
Anna Siasa unaweza ukakombwa na kura usipate chezea wapiga kura watu wanauza mpaka nyumba zao akitoka hapo anakufa kwa ugonjwa wa Moyo
@ uzur jamaa Lissu hatoi mia mbov
@ najua sana nlishakomeshwa nao
LISSU ✅✅
Our Almighty God is at work. He is in the process of doing the impossibles in this country.
God has his own way of doing things, he can use 'the Joshuas' just temporarily to perform his work.
He is about to do miracles in this country let's wait and see.
We re going to see tremendous transformation we never expected and I can tell this 'chadema thing' is just one of the big sign. It's the beginning of God's miracles.
Let's get ready for more.
This year is a year of huge transformation in our history, I can see it.
Thanks God. Do as you wish.
Lisuuu juuu
🎉lisu 4 life
Utnitambuaje kuwa ameokaka?utanitambuaje kuwa mm ni mwadilifu.Tundu mpango wa mungu
Ila lissu ni mashine jamani
MUNGU AENDELEE KUMTUNZA NA KUMLINDA DAIMA
Lissu ni 🔥Fire
Lissu 🎉Lissu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Lissu ❤❤❤❤
Haipingiki Hawa wajumbe wa kamati kuu wasipo mchagua tundulisu chama kitarudi nyuma maana miaka 21 ya mbowe amefanya mengi ila Kwa sasa awe mshauri
Lisu🎉🎉🎉
Lissu 🎉 Lissu 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Lissu ❤❤❤❤❤
Chadema pleaase acheni kutetea manufaa binafsi, wakati huo umeisha pita. Teteeni chama na watanzania waliopo nyuma yenu.
Acheni figisu mtaua hicho chama. Msitutoe imani
Bora asikofu
Mabadiliko yanaitajika tena ilikuwa muda mrefu mh mbowe kama chadema Haina ukomo wa uongozi Hasa cheo Cha juu ni makosa mmefanya,
Twende na lissu wajumbe mnaniona hii msje mkatukosea tena
Mimi ni CCM ila natamani Lisu ashinde ili Tanzania 🇹🇿 tuwe na upinzani wa kweli kwakuwa Mbowe ni mwana CCM mwenzetu na viongozi wa CCM wanamtumia ili kukuua chadema
Mbowe inatosha,,mwachie lissu atukimbize kidogo,,tubadilidhe masikio,,yaani usikivu wa siasa
Lisu tuuu
Lisu pamoja na heche wanatufaa sana
Lissu na Heche kwanza tubadilishe upepo magu, alijikuta pagumu kwenye utawala wake
Hapo ndipo kwenye ile Demokrasia kivitendo !! Baadhi ya vyama hukutana na mgombea hana mpinzani !!
Kweli kabisa
Ni LISU TUU 😂
Lissu
Lissu sawa na Mwambukusi is straight
Heche au lisu
I trust Lissu more than Mbowe for now with the chadema part but not with the whole country...No...No...No..
I didn't like the way he was fighting so hard against anything good Magu did instead of supporting his hard work of transforming this country's economy and introduced good culture of responsibility.
He did an awesome job which produced amazing results we all knows, and it wasnt easy at all. Lissu didn't see any of those, why?
Magufuli should be acknowledged and praised for that not condemned and mocked all the time. He earned huge respect inside and outside Africa ....that's for sure. Mabeberu will always pull his memory down and we all know why.
I get trouble trusting Lissu's intentions for this country. I don't know if I can trust him with the safety of our natural resources or issue of drugs to protect out children or building infrastructure or economy. I don't know how big is his patriotism. I don't think he has the courage to fight mafisadi and mabeberu against exploitation, or drug dealers network. Since those are his close friend he trust, right? That's why he was constantly fighting Magufuli' effort.
Sorry I don't trust Lissu he might be a sell out. I don't trust those so called 'international friends' behind him.
He has a hard work ahead to pove me or us wrong....to make us trust him.
He can fit to be chadema leader for now.....but font think of him as a president oh no no nooooo. Not until he is tested and proven.
Tatizo liko kwenye kamati kuu kwenye Sandusky la kura zao
Sisi twapenda kikwelikweli ila kuleeeee ulingoni
I support Lissu and Heche to.lead chamema at this period. They're very fit for the job. They're the right mechanism to adjust CCM and shape politics the right way in the whole country. I've big trust and hope in these pair.
The other pair is good but not good nough for now.
Askofu Mwamakula ameeleza utaratibu/njia sahihi inayopaswa kufuatwa na wagombea wowote wanaoitakia mema chama chao, na wanaona mbali.
Mh mbowe lisu akimbize wakoloni weusi
Hapa ni lisu tu
Looo!!! Sad News
Kiukweli msishangae lisi ni tishio
Lisu mavi na shoga chama hapewi Ng,ooo
Matusi ya nn toa hoja.
Toa hoja msenge wewe
Hawa ni wanaharakati wanaofadhiliwa na mabeberu
Pole sana!!
Hawafai hatetei chochote Bali mwenye tamaa
Wakili mwabukusi wew akili huna ni zezeta kweli unamfananishaje mbowe na takataka lisu anaetetea ushoga je uko tayari kuolewa wew maana pesa za lisu mnazokula lisu analiwa na wazungu hivyo jiandae kuliwa kama kweli unamkubali huyo kichaa mwenzio
Huna tofauti na ndege Kasuku, KAZI yake ni kuiiga tu bila kujua maana ya anachokiiga ndiye wewe hata ungetakiwa ushahidi wa Hilo la ushoga huna!!!
Tusubiri kura
Rais wa TLS uko kimya au tayar umepewa sahani ya asali,
😢😢😢
Hakuna utawala Bora huko nje Bali huweka vibaraka Kwa kigezo cha demoktasia lakini kwako wauza silaha na watengeneza vita eakubwa
Utakua zuzu mpaka lini
Uongo
Mwabukusi hakuna kitu
Utafikiri aliyesababisha lissu ashindwe uchaguzi wa ubunge ni mbowe.😂. Tatizo ni ccm na serikali, ila mmegeuza kama vile tatizo ni mbowe, wakati mbowe ni solution. Ngojeni lissu akimbie tena ubelgiji na kusindikizwa na balozi kama last time, wakati nyie huko nchi inawaka moto na mnavunjwa miguu na polisi tanzania.
Lisu alishimdwa kwa sababu wtz, hawakuamini sera zake. Siku wakimwani huko mbeleni watampa uongozi wa nchi. Kazi ya chama ni kushawishi Raia kuamini sera zake.
Tatizo Mwambukusi si mpiga kura
Hana jipya mjinga huyu, Kalamba asali
Ila mropokaji
Ndio mzuri kwa sasa
Tatizo akiwachana ukweli mnaona anaropoka,
Kama wew
Kila kitu na wakat wake tulipofikia Sasa inahitajika Kila mtu awe mropokaji maana kama kweli ni uropokaji bac mwana Mageuzi yeyote lazima awe mropokaji.😅😅😅😂😂😂😂
Kama msema kweli ni mropokaji
Mbowe ndio mwenye kiti bora, sio ropo ropo !
Msema kweli lazima apingwe
Mropokàji ktk ukweli
We nichula
@@bahatielias6443Eti Mbowe ana busara, Busara gani anatuuza kwa mcc wanatufanya wanavyotaka kwenye chaguzi 😂😂😂 Sasa yeye anabusara kwa mcc wakati mcc hawana busara nae😅😅😅 huo ni ujinga kuhubiri amani wakati watu unahubiri nao wameficha mapanga
@@ImaniSaid-m8u upovu wa mtu hupimwa kwa kauli yake
Mbona kila siku hayo hayo tumeyachoka tunataka story mpya hao hawawezi kuishinda Ccm tatari wameshasambaratika kama Cuf
Kwani umelazimishwa kufatilia??nenda kalale
Ulevi kwa jamii. Uchague kushiriki ulevi au huache. Nyakati hizi mambo ya kufikirisha kwenye ulimwengu huu hayapo. Na hii sio bahati mbaya. Ni kazi ya ukoloni mamboleo na Makuhadi wa soko huria. Jamii mzima inatengenezwa kufuatilia mizaha, kwa upande mwingine Mrija wa ubepari na ufisadi ukifyonza taratibu.