Kaka Mbaringo kutoka Arusha .... Ninashukuru sana sana kwa ombila langu kulifanyiaka ... Tunaombole msiba wa rais wetu ila umetulainisha mioyo.... Naishare CHIEF MGWAMI nae afurahi
U ko na fanya ma kosa mingi, surtout mu ma nimbu ya koffi-olomide. Eti: mama Yemo: général hospital. Mayi-ndombe: rivière, moya, i fanyaka bi baya sana ku ma driver.
Uko vizur.LAKINI mie naomba nikushauli unaniboa sana wewe kuiba Kwa kufatisha wimbo.Hubu jaribu kumsikiliza Zuber msabaha hakua ivyo.unaimba wewe mpaka unaifunika nyimbo yenyewe
yes kaka nakusikiya saana, tena nashukuru kwa ushauri wako, ila kaka unajuwe mimi siwezi nikawa zuberi, na mimi nataka niwe mimi PRINCE BOCKSON, Na tena nikwasababu tu ulikuwa unamuzoweya zuberi, ila ungenijuwa mbele yaku mjuwa Zuberi, naye ungemuambiya afanye kama mimi, ila ushauri nausikiya.
Kazi nzuri kaka. Naomba sana sana unitafsirie Wimbo wa tour eiffer wa wengé BcBg na wimbo wa Champion kapangala by Goodluck Ndimbo from Songea-Tz
Upo poa sana prince bockson ukweli watunzi huko Congo wanafanya kazi nzuri maana sasa napata kujua ujumbe
Matokeo joel niko Katavi nakuelewa sana mzee
Mkuu pamoja sana nitafasilie Inchala wa koffi Olomide
Tunashukuru ujumbe inafika asante
I have been waiting for so long Werrason jugement
salut bro kombo na ngai etosami depuis kenya merci mingi pona kosala traduction,na boboto traduire pona ngai panzi likolo par felle gola
Felicitation vraiment mon frere
Price bockson nakusililiza toka Tanzania, upo juu Sana, naomba tafsiri ya wimbo wa fally ipupa canne a cure
Je ne peux que t'encourager. Bravo.
Iko powa sana
lete vitu mokisoni tafasili hiyooooo❤😢
Piga kazi mzee huwezi ukakubaliwa na watu wote
Ndiyo vile vile unavyo tafsiri Ila ka ukijuwa Fally Ipupa ana mupinzani barani Africa
Shabani isdory toka tz dar es salam naitaji tafsiri ya wimbo orgazi ya fally
Kaka nitafsirie egerie elegance ya cindy
Merci, tokosala yango
Nitafuruahi sana kama utatuletea kitu ya Aminata ya Madilu system.
From Kenya I love Aigle to death 😂🇰🇪🙌
Imani toka shinyanga naomba Babylon ya feregora
Naitwa shaibu tegeishaibu
Bockson naomba unitafasilie Inchala wimbo wa koffiolomide nafikili utakuwa kwenye Alubam ya Mopao ninakukubali sana mzee
Nakubali xana wewe mkali. Nitafsilie wimbo vinaigre yake ferre gola
Bro niaje?naomba nishushie kitu ya Aminata silya toka kwa Jb mpiana na wenge music bcbg
yes ndugu karibu sana, usijali itakuya
Weka nyingine ya fally ipupa nourrisson
Au siyo
Kaka
Mbaringo kutoka Arusha ....
Ninashukuru sana sana kwa ombila langu kulifanyiaka ... Tunaombole msiba wa rais wetu ila umetulainisha mioyo....
Naishare CHIEF MGWAMI nae afurahi
Vizuri sana naitwa Fally niko burundi
Wewe Na na zarie ya soro
Poa sana
Hassan morogoro tanzania
Asante sana papaa
Ujumbe umefika
Hili sasa ni ombiblangu
Ukipta muda nitafsirie wimbo wa koffi olomide RIZIKI
😂😂👍🇹🇿
🇺🇸 Nobati
Naomba tafsiri ya wimbo wa Ferre gola viuex jaloaus
Naomba tafsiri ya "medicament" ya ferret Gola🇹🇿🇨🇩
Nimekukubali kiongozi nitafusilie nyimbo inaitwa BA FOLIE
5eme race yake fally ipupa please
Naomba tafsiri ya nyimbo par amour werrason
U ko na fanya ma kosa mingi, surtout mu ma nimbu ya koffi-olomide. Eti: mama Yemo: général hospital. Mayi-ndombe: rivière, moya, i fanyaka bi baya sana ku ma driver.
Naomba tafsiri nyimbo ya Tshala Muana "Kokola"
Naomba tafsil ya wimbo unaitwa ndoki
Uko vizur.LAKINI mie naomba nikushauli unaniboa sana wewe kuiba Kwa kufatisha wimbo.Hubu jaribu kumsikiliza Zuber msabaha hakua ivyo.unaimba wewe mpaka unaifunika nyimbo yenyewe
yes kaka nakusikiya saana, tena nashukuru kwa ushauri wako, ila kaka unajuwe mimi siwezi nikawa zuberi, na mimi nataka niwe mimi PRINCE BOCKSON, Na tena nikwasababu tu ulikuwa unamuzoweya zuberi, ila ungenijuwa mbele yaku mjuwa Zuberi, naye ungemuambiya afanye kama mimi, ila ushauri nausikiya.
asante papa. kwa kutupa v2 adim..naomba..nyembo.ya.jb.mpiana.omba..kwa.kiswahili
@@princebockson5299 sawa ila sauti yako nikubwa kuzidi mwimbo jaribu kubalance saut yako na ya myusc wenyewe.
@@princebockson5299 , kazi nzuri sana. Tafsiri wimbo Fouta Djalon -Koffi na Maria PM- Fally Ipupa.
Nyokalesse meaning please?
Na omba tena 5eme race yake fally ipupa