😃😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mi nimecheka hadi tumbo ikaregea. What a mess ? The devil who used this boy's is very tough😆😅😅😅 hapo Kwa ngombe ....hahahahaaaaaaaaaa . Anaeleza vizuri vile walichoka . That was the part that killed me. Anipe namba ya huyo mzee Wa ngombe 50
Mungu wangu kwa kweli wizi haufai jamani cz hujui unacho iba mwenyewe kakipataje fanyeni kazi vijana,eee Mungu waepushe ndugu zetu na watoto wetu wakuogope waweze kutenda yakupendezayo🙏🙏🙏
Davistar Mata, tunashukuru sana kwa channel yako nzuri sana ❤ ila inaezekana wewe kuandika mfano part 1 of 20? Sababu ni vigumu sisi kujua kama tumewatch last part of video or not 🙏🏿
Acheni kutuchanganya na bangi zenu Kila mtu wa Kwanza mnatuchanganya Kama hamuwez kuangaria au kukoment Mara mmekuwa wa kwanza iliiweje acheni kutusumbua
Azabu hiyo ilikuwa yamaana sana ndokesho mtafute kwanguvu xenu tena shukuru mamayako alikupelekaa kwaza amemaliza pesa ndani yamwaka husemi jamani haya kaibe bank ukalipuliwe kichwaaa
Pole kijana umepata funzo mshukuru sana Mungu kwa kukuokoa kwa yote uliofanya.
Picha linaendelea sasa ngingiii
Waka wekwa chini pale ngingi
Wakatembezwa uchi sasa ndo mkome na wizi wenu....gonga like kwa mkandala
🇹🇿🇴🇲
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up hahaha eti namtingishia😂😂
😃😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mi nimecheka hadi tumbo ikaregea. What a mess ? The devil who used this boy's is very tough😆😅😅😅 hapo Kwa ngombe ....hahahahaaaaaaaaaa . Anaeleza vizuri vile walichoka . That was the part that killed me. Anipe namba ya huyo mzee Wa ngombe 50
STORY poa kabisa WATCHIN FROM BUJUMBURA burundi
Watching from Kenya 🙆🙆🙆
Ati unamtingishia sehemu za Siri..n hukujua anakuona😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Mungu wangu kwa kweli wizi haufai jamani cz hujui unacho iba mwenyewe kakipataje fanyeni kazi vijana,eee Mungu waepushe ndugu zetu na watoto wetu wakuogope waweze kutenda yakupendezayo🙏🙏🙏
Dada Mkuu wa kila siku
Duuh hatari sn kwakweri
Davistar Mata, tunashukuru sana kwa channel yako nzuri sana ❤ ila inaezekana wewe kuandika mfano part 1 of 20? Sababu ni vigumu sisi kujua kama tumewatch last part of video or not 🙏🏿
Kkkkkkkkk !!! Watanzania nomaa . Majini nyinyi , uchawii nyinyii !! Nyie nomaa Sanaa . Duuuuuu !! 😀😀😀😀
No 2 mwenyewe leo
Hii story noma sana
Nilikuwa nachungulia tu🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Aisee hii story noma sanaaa
Duh! mzee alkuwa kiboko pole sana
Hizi story ni very interesting. Am from Kenya
Wizi noma sana duu... Hatari
Duuuuu hii nomaa .
Mali ya dhulma mbaya sana mungu awasamee kwakweli
Davistar kijan wako mtu mwenye utu wang respect 👊
Allah atakusaidia kijana
Umeniacha hoi hiyo kutingishia 😂😂😂
🤣 🤣
Yaani anasmlia vzur hadi raha 🤣🤣
Fundisho kubwa. Pole saaana Bwana mwizi.
Wazungu wameiba kila kitu afrika. Inabidi tuwaloge.
👍🏾
Leo nimejitahidi kuwahi 14
Do mbona mnamtihani hamkomi duniani nimapito tuache tamaa 😭😭
🤣 🤣 🤣 🤣 Dah rah davister moto
Yani huyo mzee kiboko
Nimewahi pia leo😂😂😂😂
Pole kijana
Najikuta nacheka😀😀😀😃
Hii kal😂😂😂
Mtu makini katika ubora wako tamaa mbaya Mbona ni kijana mdogo unanguvu za kutafuta ebu rudi kwa Mungu wako kwa imani yangu utapata liziki ya alali
Kkkkkkkkk !! Mbonaa hii nomaa
😂😂😂😂 wapili leo
😂😂😂
Leo wakwanza mimi jamni like
Acheni kutuchanganya na bangi zenu Kila mtu wa Kwanza mnatuchanganya Kama hamuwez kuangaria au kukoment Mara mmekuwa wa kwanza iliiweje acheni kutusumbua
Yaan kukamatwa kote hukukoma
Mungu awalinde
M.meyakanyaga
Hii nimecheka kweli😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣 wizi mbaya Mmezunguka weeee mkarudi zizini
Baada ya kuiba kwa masta 😁😁😁
😂😂😂😂 mambo ya kutingisha😂😂😂
Insta unatumia jina gani Angel nataka nkutumie kitu
Kudadeki 😂😂 😂 nimecheka kisenge
Nikamtingishia😁😁😁
@@ninasheby0159 😂😂 yani kam naona hiyo ikulu inavyo tingishwa🤣
@@mbarakausein6534 😂😂😂😂Hebu vuta picha kama ndo unaliona hilo tukio 😃
Duu hayo yotee hamkomi jamani kupenda bure mwisho hata unaeza kupewa kilema upigwe nyeti ukose kuzaaa
Anamtambia mboro hahaha
Duuuuh aiseeeeeee umeach kwer
Wakwanza
Nani kahisi sauti ya mbosso kw huyu kaka?
Daah!Noma sana 😂😂😂😂
Azabu hiyo ilikuwa yamaana sana ndokesho mtafute kwanguvu xenu tena shukuru mamayako alikupelekaa kwaza amemaliza pesa ndani yamwaka husemi jamani haya kaibe bank ukalipuliwe kichwaaa
Hamjakomaaa duuh
Duh nimechelewa Tena. Nilidhani wa Kwanza leo kumbe wa 35 duh
Jmn hawajakoma tu🙆🙆🙆🙆
Usipofunzwa na mamako utafunzwa na ulimwengu.
Kbsaaa aniii
Oyooo team kuchelewa leo mewah💃💃💃💃💃
Hongera
Asantee 🤣🤣🤣dv Atoe tuzo
Muibe yesu muweke moyoni
Davistar Una maswali ya uchokoz..eti unamtingishia nn
😀😀😀😀😀😀
Duuuu wizi mbaya nifunzo hilo kwa mwenye akili
Dooo Aisseh mlikuwa amkomi duuu Aisseh
🤔🤔
Hii kal😂😂
Haise inashangaza
Toka umeanza kuiba nifedheha tuuh mana hata hamjapata kitu zaidi yakuaibika
Mkome nguvu za watu hazichukuliwi hivi hivi mtaka cha mvunguni nilazima ainame poleni 💔
"KOMAA KABISA WIZI"
Usiwahi kurudia uizi tena. Mmeponea chupuchupu.
noma
😂😂😂😂😂eti namtingishia duh!
😂😂😂😂
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Hiyo kutingishia hahahahaha aibu tupu
Unamtingishia binti pumbu
Dakka 3 watu 12 hamlali
Kabisa Yani
😁😁😁😁😁
Bado wamtikisia sihem zako za nyeti
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nyote mlikuwa ng'ombe
Kabisa ng'ombe wengi😂😂
Wakwwnza
Davistar naomba tuwasiliane 0623832930
tupe email adress zako Davistar tafadhali.
Hahahahaha